zahanati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Responded Zahanati ya Kimara iongezewe dawa muhimu, kuwaambia wagonjwa wakanunue dawa nje ya kituo sio sawa

    Wiki iliyopita nilienda Zahanati ya Kimara Mwisho kwa ajili ya matibabu ya kijana wangu ambaye hakuwa sawa kiafya, baada ya kufika tulipokelewa na kufanyiwa vipimo vinavyohitajika. Hata hivyo, baada ya majibu kutoka, tuliandikiwa dawa muhimu kwa ajili ya matibabu yake lakini nikaambiwa...
  2. A

    KERO Zahanati ya Kijiji cha Mbuchi haifai hata kidogo kutumika ila hatuna jinsi

    Wananchi wa Kijiji cha Mbuchi, Kata ya Mbuchi, Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, Mkoa wa Pwani wanapitia katika kipindi kigumu kutokana na hali ya miundombinu ya Zahanati ya Kijiji cha Mbuchi kuwa mibovu hali. Hali hiyo inasababisha utoaji wa huduma katika kituo hicho kutokuwa rafiki hasa...
  3. Roving Journalist

    Samia Suluhu akataa kuzindua Stendi Kuu mpya ya Mailimoja Kibaha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekataa kuzindua stendi kuu mpya ya Mailmoja Kibaha mkoani Pwani, akiwa katika ziara yake mkoani humo. Hatua hiyo ameifikia kutokana na kupata wasiwasi wa utekelezaji wa mradi kuwa na baadhi ya mapungufu ambapo amedai baada...
  4. Roving Journalist

    Songwe: Wanawake watishia kufanya mgomo wa kubeba mimba hadi ujenzi wa Zahanati ukamilike Wilayani Mbozi

    Wanawake katika Kijiji cha Kilimampimbi, Kata ya Kilimampimbi Wilayani Mbozi Mkoani Songwe wametishia kufanya mgomo wa kubeba mimba mpaka ujenzi wa Zahanati ya Kijiji ukamilike ili kuepuka changamoto wanazopitia wakati wa kujifungua. Wakizungumza na EATV baadhi ya Wanawake kijijini hapa...
  5. Just Pray

    GE2025 Mwaifunga aahidi zahanati na barabara kwa wananchi wa kata ya Tumbi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga akiwa katika mkutano wa Kampeni katika kata ya Tumbi leo Septemba 21,2025 amewaahidi Wananchi wa kata hiyo kukamilisha ujenzi wa Zahanati na ukarabati wa Barabara inayotoka Barabara kuu ya Urambo hadi Kijiji cha...
  6. Just Pray

    GE2025 Hawa Mwaifunga: Mkinipa kura nitaenda tonge kwa nyama kata ya tambukareli ipate zahanati

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga akiongea katika mkutano wa Kampeni katika kata ya Tambukareli amewaomba Wananchi wa kata hiyo kumpigia kura awe mbunge akasimamie ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2025/30. Mwaifunga amesema kuwa kupitia ilani ya...
  7. Southern Giant

    Viashiria vya rushwa katika zahanati ya Tambukareli, Temeke Dar es salaam

    Zahanati ya Tambukareli iliyopo kata ya Azimio wilaya ya Temeke DSM, ambayo ni tegemeo kwa wananchi wa kata ya Azimio na maeneo jirani imeanza kugubikwa na viashiria vya rushwa, hali inayotia doa huduma za afya na kuathiri maisha ya wagonjwa na wateja kwa ujumla. Malalamiko kutoka kwa wananchi...
  8. W

    Je, ni kweli kuwa kila zahanati nchini ina CT scan kama Wassira anavyosema?

    Wakuu, nimekutana na hii video wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stsphen Wassira akieleza kuwa kila Zahanati nchini kwa sasa ina CT scan.
  9. R

    PreGE2025 Dakika za jioooni, Eric Shigongo aweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa, Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa iliyopo katika jimbo hilo na kumaliza kero ya muda mrefu ya wanawake kujifungua kwa msaada wa mwanga wa tochi, iliyokuwa ikiwakabili wananchi hao Hatua hiyo imepongezwa na wananchi wa Kisiwa cha Soswa ambapo...
  10. Mkalukungone Mwamba

    Mzee swai aweka historia, atoa shamba lake ijengwe zahanati, serikali kumuenzi

    Huyu ni Mzee Ignasi Safari Swai mzaliwa na Mkazi wa Kijiji cha Momwe Kata ya Mrao Keryo Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro,ambae ameamua kutoa sehemu Kubwa ya ardhi yake anayoimiliki na kuikabidhi kwa Serikali ili pajengwe zahanati itakayosaidia Kutoa huduma za kiafya kwa wananchi wa Kijiji...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 RC Sendiga achukia kukuta zahanati haitumiki, atoa agizo hili

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameagiza Zahanati ya Kijiji cha Muungano, Kata ya Laghanga, kuanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo Aprili 30, 2025. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  12. Just Pray

    PreGE2025 Serikali imetenga Milioni 100 kukamilisha Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Ugele, Iringa

    Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Milioni 100 kukamilisha Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Ugele Kilichopo Manispaa ya Iringa lengo likiwa ni kusogeza huduma za afya kwa Wananchi hususani wakina Mama Wajawazito. Wakizungumza Wananchi wa Kijiji hicho wamesema Zahanat hiyo itakwenda kuwa...
  13. Just Pray

    PreGE2025 Shigongo atoa milioni 10 kukamilisha ujenzi wa Zahanati uliosimama kwa miaka 15 Buchosa

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ametoa kiasi cha fedha shilingi milioni 10 kusaidia kukamilisha ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Majengo, Kata ya Ilenza, ambayo ujenzi wake ulikwama kwa takriban miaka 15. Akiwa kijijini hapo Machi 07, 2025 Shigongo amewahimiza wakazi wa Kijiji...
  14. L

    Ushauri katika kujitolea zahanati au kituo cha afya

    Wakubwa habarini za majukumu, na pia nawapa hongera katika kipindi hiki cha MFUNGO MTAKATIFU( ISLAM& ROMAN CATHOLIC) Mimi ni kijana( me) 25 OLD ambaye nimehitimu ngazi ya diploma in clinical medicine 2024. Hivyo naomba naombeni ushauri katika kada hii hususani kujitolea (volunteer) Katika...
  15. Just Pray

    PreGE2025 Shinyanga: Ujenzi wa zahanati ambayo haujakamilika tangu 2012, wananchi waililia serikali ikamilishe ujenzi huo

    Wakazi wa Kijiji cha Bushimani kata ya Chambo Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameiomba Serikali kukamilisha ujenzi wa Boma la Zahanati walilolijenga kwa nguvu zao mwaka 2012 ili kuwaondolea adha ya kufuata huduma za Matibabu umbali wa kilomita 10. Veronica Michael na Elizabeth Mabula ni...
  16. Roving Journalist

    KERO Responded Singida: Wanawake wanachota maji kwenda nayo Zahanati wakati wa kujifungua katika Kijiji cha Dominiki

    Wanawake katika Kijiji cha Dominiki, Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama Mkoani Singida wamedai wanalazimika kuchota maji dumu 6 hadi 12 ambayo watauatumia wakati wa kupata huduma ikiwemo Huduma ya matibabu katika Zahanati ya Domoniki inayopatikana kwenye kata hiyo. Wakizungumza kwa nyakati...
  17. Mashamba Makubwa Nalima

    Wananchi wahangaika kilometa nne kutafuta matibabu, zahanati iliyojengwa 2021 bado haijatoa huduma

    Wananchi wahangaika kilometa nne kutafuta matibabu, zahanati iliyojengwa 2021 bado haijatoa huduma
  18. Shanily

    Nimepewa dawa zilizoexpire( kuisha muda wake) katika Zahanati ya Serikali!!!.

    Tarehe 04 / 01 / 2025 nilienda Zahanati flani hapa mjini, ni ya Serikali baada ya kuwa sijiskii vizuri, nikapewa dawa kadhaa na panadol. Leo jioni kichwa kikawa kinauma sana, nikasema nimeze Panadol ambazo nilibakiza nilizopewa Zahanati. Binafsi siwezi kumeza Panadol Huwa nazitafuna tu, sasa...
  19. M

    DOKEZO Zahanati ya Mtamaa (Singida) isaidiwe, Watumishi ni wachache, mazingira ni mabovu hasa kwa Wanaoenda kujifungua

    Eneo la Mtamaa lililopo Kilomita 20 kutoka Manispaa ya Singida kuna zahanati ambayo inahudumia wakazi wa eneo hilo ambayo inatambulika kwa jina la Zahanati ya Mtamaa. Nimefanikiwa kufika mara kadhaa katika Zahanati hiyo na kugundua mambo ambayo ni vizuri nikishea na Wana JF inaweza kuwa na...
  20. Stephano Mgendanyi

    Wananchi Uyui Watakiwa Kuitumia na Kuitunza Zahanati

    WANANCHI UYUI WATAKIWA KUITUMIA NA KUITUNZA ZAHANATI Na WAF - Uyui, Tabora Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amewataka wananchi wa kijiji cha Simbodamalu kilichopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Uyui Mkoani Tabora kuitumia zahanati ya kijiji hicho kwa kwenda kliniki pindi wakina mama...
Back
Top Bottom