za kiume

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa TBC kutangaza dawa za kuongeza nguvu za kiume zisizothibitishwa

    Hii nimeisikia jana tu tena kwa bahati mbaya sana nikiwa kwenye gari na kwa vile kulikuwa na foleni nikaona ni vema nipate matokeo ya mechi kati ya Yanga na Kagera , nilipigwa na butwaa baada ya kukutana na Tangazo la dawa za nguvu za kiume kutoka Kigogo Mbuyuni ! wanaosikiliza matangazo ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania UCHUNGUZI: Girlfriend/ Fiancee; Kubana Kushiriki Tendo la Ndoa Kabla ya Ndoa na Madhara yake Hatari kwa Wanaume Kuishiwa Nguvu za Kiume

    Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa. Ndoa haijafungwa no sex! Na hapa na dada zatu hudhani na kuamini kuwa ni kujijengea uaminifu na kutoonekana vitombi au...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Girlfriend Kubana Kushiriki Tendo la Ndoa Kabla ya Ndoa na Madhara yake kwa Wanaume Kuishiwa Nguvu za Kiume

    Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa. Ndoa haijafungwa no sex! Na hapa na dada zatu hudhani na kuamini kuwa ni kujijengea uaminifu na kutoonekana walaini kwa...
  4. Papa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Ujue ukubwa wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Kuna matatizo mengi ya tendo la ndoa ambayo yanaathiri wanawake kwa wanaume. Kwa wanaume inawezekana ikawa ni kukosa hamu ya tendo, upungufu wa nguvu za kiume au kuwahi kufika kileleni. Leo nataka kuzungumzia ukubwa wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume matatizo mengine nitazungumza katika...
  5. data

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Dar wana masaibu mengi yanayopelekea upungufu wa nguvu za kiume

    Tusiwacheke..
  6. F

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kabila hili hukuza maumbile ya siri za kiume kwa mmea huu?

    Halo JF mapenzi. Nina rafiki yangu nesi amekuwa akiwafanyia tohara watu mbalimbali. Sasa juzi kati alitembelea eneo wanaloishi kabila kubwa humu nchini lenye asili ya kanda ya ziwa. Anadai wanaume wa huko hata mtoto wa miaka 10 ana mashine sio mchezo!! Anadai huwa anaogopa hata kuyashika...
  7. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumsaidia shemejio dawa za kuongeza nguvu za kiume?

    Kama kichwa kinavyoeleza. Nazungumzia Shemeji wa kiume au baba yako wa kambo aliyemuoa mama yako mzazi. Au mshikaji wako anayetoka na dada yako ukamsaidia viagra au vumbi la congo. Na wewe una dawa ya ukweli ya nguvu za kiume na unajua mtu akipiga hiyo dawa mwanamke ataona cha moto. Je...
  8. mudushi

    JamiiForums Tanzania Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Ndugu zangu wanaJF poleni na Mihangaiko ya kila mara na haya na yale yanayoendelea humu kwetu. ni upepo utapita tu. Mwaka jana nilipost humu jamvini thread kuomba msaada wa tiba ya nguvu za kiume. Kwa kweli ni tatizo lililonisumbua kwa muda mrefu. Sikuwa naweza hata kusimamisha kwa dakika...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Aliyesema Waziri Ummy kafungua duka la dawa za nguvu za kiume akamatwa

    Serikali imewataka wananchi kuepuka matumizi ya dawa zinazotangazwa kupitia mitandao ya kijamii kwa kuwa hazijadhibitishwa ubora wake na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA). Akizungumza Jijini Dodoma mara baada ya kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Waziri wa...
  10. jabulani jabulani

    JamiiForums Tanzania Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa na nguvu za kiume

    Basi bwana kama unataka kurudia nguvu zako kama barobaro wa miaka 20 na kidogo chukua hii mayai 7 ya kuku wa kienyeji plus habbat sauwda ya unga vijiko 7 vya chakula UTAKULA huu mchanganyiko mpaka uishe Utakuja kunishukuru baadae.... Ukifanya hivi mkeo atakuuliza mme wangu umezaliwa upya nini
Back
Top Bottom