za kiume

  1. D

    JamiiForums Tanzania Hivi fangasi inapunguza nguvu za kiume?!!

    Naomba kujuzwa wadau. Maungaunga Yale na, wakati mwingine, ngozi inachunika mpaka majimaji yenye harufu mbaya yanatoka kwenye makutano ya mapaja vina athari gani kiafya ya uzazi?!! Karibuni.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hii mada ni kwa Wanaume miaka 50 na kuendelea: Uhusiano kati ya Kuongezeka kwa Tezi Dume na Ukosefu wa Nguvu za Kiume kwa wenye umri zaidi ya 50

    Ombi: Hii mada inafaa kujadiliwa na makundi matatu yafuatayo:- i. Wanaume wenye umri kuanzia miaka 50 au zaidi; ii. Akinamama wenye wenza (mume au mchepuko) wenye umri wa miaka 50 au zaidi; na iii. Wenye wazazi ambao wanasumbuliwa na Matatizo ya Tezi Dume. Utangulizi: Nilihamasika kuanzisha...
  3. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuvaa nusu uchi na nguo zinazoonyesha maumbile ndio chanzo cha mmomonyoko wa nguvu za kiume

    KWA siku mwanaume anaangalia maeneo nyeti ya mwanamke yaliyofunikwa nusu au robotatu zaidi ya mara mia. Ofisini Barabarani Biasharani Kanisani Kwenye usafiri Pia social media adds na reel/shorts automatic suggestions ( hata kama hufuatililii utawekewa kamoja) zinavyonza morali ya mwanaume KWA...
  4. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Code za Kiume na Ambazo sio

    Ambazo sio code za kiume. 1.Havai kipensi/ bukta fupi Inaonyesha mapaja. 2.Hali chips mayai zege...hata akila chips yai mayai ni pembeni sio zege. 3.Hanunui IPhone Na Kupiga nayo picha ili ionekana . 4.Akisikia Kitu Haendi kutangaza Au kusema /kifua cha kuficha siri za watu. 5.sio MMbeya...
  5. iPhone 6

    JamiiForums Tanzania SAA KALI ZA KIUME

    🕰️ TANGAZO MAALUM! 🔥 Saa Kali za Kiume Zimewasili! ⌚ Unatafuta saa ya kiume inayovutia, ya kisasa na yenye mvuto wa kipekee? Usitafute tena! 🌟 Saa za Ubora wa Hali ya Juu 💼 Inafaa kwa ofisini, matembezi au zawadi ya kipekee 💰 Bei: TSh 50,000 tu! 📍 Tunapatikana Dar es Salaam 🚚 Tunafanya...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Wanaume wengi wa Dar hawana Nguvu za Kiume kwa kupenda kula Chips zenye Mafuta mengi hivyo waanze kula Chips zinazokaangwa na Maji

    Wala tusipotezeane sana muda nendeni manaratv mkamsikie wenyewe, ila Mimi nauliza tu Utakaanga vipi Chips na Maji? Sasa taratibu naanza kuamini kuwa huenda Tanzania ikawa na Madaktari Vihiyo (wa Mchongo) na ambao huenda wakawa wanavuta mno Bangi kuliko hata ambao wanazilima huko Tarime (Mara) na...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Serious Question: Kati ya Pesa na Nguvu za kiume ni kipi Mwanaume hutakiwi kukikosa kabisa ?

    Asie na Pesa nyingi lakini kwenye 6 x 6 ni full package Au Mwenye pesa nyingi ila shughuli hawezi
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nimeuliza AI kama kweli supu ya pweza inaongeza nguvu za kiume

    Source: GROK MAJIBU: SUGGESTION YA VYAKULA: SUGGESTION YA MCHANGANYIKO WA VYAKULA ULIO BORA NA DOZI YAKE:
  9. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kama una shida ya nguvu za kiume fanya hivi

    Sasa hivi ni msimu wa mapera. Kula mapera manne angalau kila siku. Halafu njoo hapa utoe ushuhuda. Facts: 1. Vitamin C – Husaidia kuongeza uzalishaji wa shahawa na kuzuia uharibifu wa seli kwa sababu ya oksideni nyingi (oxidative stress). Pera lina vitamins C mara nne zaidi ya chungwa. 2...
  10. mfuaji

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kinachosababisha naonekana kuwa nina upungufu wa nguvu za kiume

    Iko hivi! Wanawake wengi niliojamiana nao wananiona mimi ni mtu nisiyekuwa na nguvu nyingi za kiume kutokana na sababu kadhaa. Jambo la kwanza ni kunuka kwa mdomo; kuna baadhi ya wanawake niliokutana nao kimwili ambao wananunuka mdomo kiasi cha kusema kwa shida wakati wa tendo la ndoa jambo...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini nguvu za kiume wanaziita "Umeme"makanisani

    Umewahi kujiulixa hili Makanisa mengi ya kiroho wakianza kuombea watu Kama ULIKUWA HUJUI hili kama ukisikia neno "umeme " nguvu za kiumeee ama za kike Ukisikia mwenye umeme uliopotea nikujuze nguvu za ....kama una shida hioo kimbilia fasta MBELE ukaombeweee Badoo nawaza Hivi ilikuwaje...
  12. Candela

    JamiiForums Tanzania Hamna tatizo la nguvu za kiume, epuka kutapeliwa

    Wadau naandika uzi huu kutokana na uzoefu wangu binafsi wa muda mrefu. Suala la nguvu za kiume linategemea sana na aina ya mwanamke unaelala nae kama anakupa mizuka au lah, Point zangu ziko hivi. Kwa muda mrefu nina mpenzi ambae nakuwa nae muda mwingi. Huyu mpenzi ana mazoea kwa hiyo hatunaga...
  13. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣

    Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, matumizi ya Ajinamoto kuongeza Ladha kwenye chakula kuna athari kwenye nguvu za kiume?

    Kuna kiungo Cha kupikia ni kama chumvi au ndimu, hiki kiungo ni kemikali hutumika majumbani na kwenye mapishi ya biashara kwenye bar na migahawa. Kinajulikana kwa jina la Ajinamoto, ndugu wanajukwaa hasa wadau wa lishe, afya na chakula karibu kwa ufafanuzi kama hiki kitu kinaathari kwenye...
  15. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Elimu juu ya nguvu za kiume, PMS, saikolojia, Sanaa ya mapenzi, lishe na mitishamba. Too deep

    https://youtu.be/Fh1P-A3RQbg?si=tEi8cxUnz1rTIuQe
  16. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Kukomaa kwa Mbegu za Kiume

    Mbegu za kiume hukomaa kupitia mchakato unaoitwa spermatogenesis, ambao hufanyika ndani ya korodani (testes), hasa kwenye sehemu inayojulikana kama seminiferous tubules. Mchakato huu huchukua takribani siku 64 – 74 ili mbegu mpya za kiume zikomae na ziwe tayari kwa urutubishaji. Hatua Za...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna bia za kike na za kiume?

    Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa? Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!
  18. PSL god

    JamiiForums Tanzania Hakikisha nguvu zako za kiume ziko juu kila wakati, utanishukuru baadae

    Naam naam naam nimerydi tena wadau Majuzi hapa mwana jf mwenzetu Jordy05 alileta kisa chake cha jinsi iula tunda kimasihara kulivyobadili mustakabali wa maisha yake mazima / forever of course kaongelea mengi sana mule ndani ila point kubwa niliyo note ni kwamba huyu jamaa nguvu zake za kiume ndo...
  19. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Hebu naomba niweke jambo Moja bayana: PUNYETO HAIPUNGUZI NGUVU ZA KIUME

    May all souls find enlightenment, Moja kwa Moja kwenye mada, nianze kwa kusema Mimi ni mwanaume (45) nimepata na pamoja na mambo mengine katika ndoa yangu naenjoy sana sex ofcourse nina michepuko kadhaa pia. Sinywi pombe, sivuti sigara, napenda kula vizuri (starehe yangu nyingine) nafanya...
  20. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu sperm allergy (mzio wa mbegu za kiume)

    Habari wanajamvi! Hakika dunia imejaa mambo mengi tusiyoyafahamu. Leo katika pitapita zangu nimegundua ya kuwa kuna baadhi ya wanawake wana mzio wa mbegu za kiume,hili jambo limenishangaza sana. Kwakuwa hili tatizo sijawahi kuona likijadiliwa hapa JF nikaona sio mbaya kushare nanyi...
Back
Top Bottom