yuko

YUKO was a Ukrainian group that combines folk and contemporary music.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbowe, Lema, Sugu na wenje mbali na siasq wanaweza kufanya kazi gani? Lisu naona yuko katika genge la wahuni na zero brains.

    Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba. Watanzania mjue hawa hawaki kwa maslahi yenu bali ni njia ya kujinufaisha wao wenyewe. Uzuri kwa hili...
  2. JamiiForums Tanzania Dr Willbrod Slaa alikua sahihi na yuko sahihi mpaka kesho

    Wasalaam. Kufuatia kushupaza shingo kwa bwana mbowe na kuamua kugombea uenyekiti wa chadema licha ya familia yake na wazee wenye busara kumsihi asigombee nimekumbuka maneno ya Dr slaa aliposema mbowe na genge lake ni wachumia matumbo na hawapo pale kwa ajili ya kupigania haki, uhuru na...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbowe, Lema, Sugu na wenje mbali na siasq wanaweza kufanya kazi gani? Lisu naona yuko katika genge la wahuni na zero brains.

    Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba. Watanzania mjue hawa hawaki kwa maslahi yenu bali ni njia ya kujinufaisha wao wenyewe. Uzuri kwa hili...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kimhemko na kisiasa Makonda yupo sahihi; kitaalamu Mchengerwa Yuko sahihi zaidi!

    Usahihi wa Makonda; Inaweza ikaamsha watendaji kuwahi majukumu yao kwa haraka na kwa wakati.........si mbaya. Usahihi wa Mchengerwa; Desturi hii ikiingia katika akili na damu za watu wetu, ambao wengi wao uelewa wao ni mdogo sana na ambao huchagizwa na mihemko ya kisiasa au kikanda na kikabila...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri: Dada yupo kwenye ndoa miezi miwili sasa anaona ndoa kama utumwa

    Tumpe ushauri huyu dada
  6. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe yuko wapi?

    Ni miezi sasa inakatika mwenyekiti wa Chadema yuko kimya bila kutoa neno wakati 1. Wagombea wa Chadema wanakatwa nchi nzima 2. Rushwa na pesa chafu zimetapakaa kwenye chaguzi za Chadema 3. Kuna ugomvi mkali kati ya Tundu Lisu na Benson Kigaila 4. Kuna ugomvi mkali kati ya Benson Kigaila na...
  7. JamiiForums Tanzania Yuko wapi mwanamziki Tabia Mwanjelwa?

    Kwa wakongwe, mnamkumbuka huyu dada enzi akikipiga na Marquiz du Zaire? Yuko wapi kwa sasa?
  8. JamiiForums Tanzania Bora Kuwa Single Maisha Yangu Yote kuliko kuwa na Mwanamke Ambaye Yuko na Mimi Kinafiki na Hanipendi

    Leo mdau wenu Pang Fung Mi nasema kwa uchungu kabisa sababu ya kuwa mwanachama hai na wa kudumu wa muda wote wa Chama cha wakataa Kuoa na kataa kuishi kindoa na Mwanamke. Wanawake wamejaaliwa roho mbaya na roho chafu sana, roho ya kupewa, roho ya Chawa, roho ya kiroboto. Wanawake wengi...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi ziarani China, Rais Samia ziarani Cuba

    Rais Mwinyi ameondoka kulekea China kwenye ziara ya maonesho ya bidhaa mbalimbali, ikumbukwe last week alikuwa Doha Qatar kwenye kongamano la familia. Mhe. Rais Samia alikuwa Marekani kwenye kongamano la Kilimo, kwa sasa yupo Barbados visiwani akisubiri kwenda Cuba kwenye Kongamano la Kiswahili...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya mahojiano ya Chief Odemba na Tundu Lissu leo nimeelewa kwa nini dereva yuko Ubeligiji

    Itakumbukwa kuwa IGP Simon Siro alisema polisi wameshindwa kuendelea na uchunguzi wa kisa cha Tundu Lissu kupigwa risasi kwa sababu hakuwepo Tanzania. Lakini hata baada ya Lissu kurejea nchini bado polisi walisema hawawezi kuendelea na uchunguzi hadi dereva wake naye arejee kwa sababu ndiye...
  11. JamiiForums Tanzania Bollen Ngetti yuko wapi?

    Jamaa anaitwa Bollen Ngeti kada wa CCM aliyekuwa anamkosoa Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, mfuasi wa Membe na alikuwa anaibua hoja jadidi na kuntu, yuko wapi? Nimejaribu kutazama mitandaoni nafikiri mara ya mwisho kuandika jambo ilikuwa 2019 yuko wapi?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mtangazaji Barbara Hassan

    Wanajamvi ni kipindi kirefu kimepita sijamsikia mtangazaji huyu kwenye vipindi alivyokuwa anatangaza redio clouds. Yu wapi mtangazaji huyu jamani nimemiss sana utangazaji wake.
  13. JamiiForums Tanzania Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

    Na hii ndio taarifa yake Habari ya asubuhi wana familia. Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata clavicle dissociate (mfupa wa bega ulipishana. Na nilimuona bingwa wa mifupa tukapata matibabu (arm...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanaume yuko radhi alale njaa au kushinda njaa bila kula ili hawala yake asie na malengo nae ale.

    Nilipita mahali leo ( uswahili kidogo) nikaona maandazi aina ya half cake Dukani kwa mangi nikayatamani. kwakua sijayala muda mrefu nikasogea kwenda kuuliza bei nikaambiwa 200 moja, muuzaji akaniambia naomba hela yako iwe ya chenji sina chenji zinasumbua. nikamwambia nina elf 1 akasema unataka...
  15. JamiiForums Tanzania Juma Mgunda yuko wapi?

    Kwenye benchi la Namungo yupo ngawina ngawina, kocha mgunda hayupo. Kuna nini, si alitajwa kuwa ndiye Kocha Mkuu wa Namungo?
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanakiri udhaifu wao kwa vitendo; Mbowe yuko busy anawajazia fomu wagombea wa CHADEMA uchaguzi wa serikali za mitaa

    mwaka 2019 wagombea wengi wa CHADEMA walienguliwa kwa sababu ya mapungufu makubwa kwenye ujazaji wa fomu za uteuzi. Mwaka 2024 CHADEMA wamejifunza somo sasa viongozi wote wanawasaidia kujaza fomu ili lisiwapte la 2019. Ni jambo jema kukiri makosa kwa vitendo FRV. Gaspar E. Temba...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Notes za kina au mwenye yuko na upeo wa kina kuhusu radiography

    Habari zenu wakuu,kama ilivyo kawaida JamiiForums ni home of great thinkers,naamini kwa hiki nitakacho kiandika hakito mkwaza mtu na hata mtu aki comment kitu itakuwa imenisaidia kwa namna moja ama nyingine. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza ,kozi nayo soma ni Radiography(utabibu wa mionzi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Chadema mteueni Lema awe mwenezi au msemaji wenu maana kila siku yuko mtandaoni

    Inaonekana Godbles Lema hawaamini akina Mnyika wala yule mkurugenzi wao yeye akiwa na hoja anaita press anaongea t, tena anaongea as if chama chake hakina wasemaji. Ukiwa na chama cha namna hii ni hatari sana, kesho john Mrema ataongea, kesho Mnyika ataongea, keshokutwa Lissu, keshokutwa yake...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu Dada alikuwa ni kati ya Mashabiki wa kweli wa Yanga. Sasa hivi yuko wapi!?

    Nimeileta hii hapa ili kummpa heshima. She was the best fan. Miaka ile ya kina Ngasa, kabla. Ya filters ktk cm.. 2011..2013.. Mimi binafsi nilimpenda na nikamfolow FB. YUKO WAPI SASA, ANYONE p'se.
  20. JamiiForums Tanzania Rais wa Brazil yuko sahihi, kwanini Waziri Jr Shemtembo hakucheza?

    Tumefika hapo tulipofika kwa kuwatumia wachezaji wetu wa ndani akina Shemtembo, kwanini kocha alibadili gear angani akaacha kuwatumia? Wachezaji wa nje wana miguu ya pesa, wanawaza timu zao zinazowapa fedha. Wachezaji wa ndani wanajituma sana ili waende kucheza nje, lakini wale wa nje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…