Dini zinasema kuwa Mungu anaishi mbinguni. Hapo hapo, zinajipiga mtama na kusema kuwa Mungu yuko kila mahali. Nyingine zinasema eti Mungu ametuumba kwa mfano wake!
Je mashonga, majambazi, chawa, madikteta, wauaji, wanyang'anyi, na wabaya wote, nao wameumbwa kwa mfano wa Mungu? Dini zinasema...