youtube

  1. JamiiForums Tanzania Tengeneza Zaidi ya $300 Kwa Mwezi na YouTube Channel za Hadithi Unahitaji simu na internet Tu ! Soma Mpaka Mwisho ( UZI 🧵 )

    It's Heritage Tech !
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Pesa na YouTube — Mwongozo wa Kuanza

    Jinsi ya Kutengeneza Pesa na YouTube — Mwongozo wa Kuanza YouTube ni moja ya njia bora za kutengeneza pesa mtandaoni, lakini wengi hawajui pa kuanzia. Kama unatafuta njia ya kuanza kutengeneza kipato kupitia YouTube, basi makala hii ni kwa ajili yako! 1. Chagua Niche Yenye Fursa Sio kila video...
  3. JamiiForums Tanzania Swali, Youtube huwa wanalipa kutokana na nchi uliosajili chaneli yako?

    Nimeona baadhi ya chaneli za Youtube, zinazomilikiwa na watu wa huko US, Canada, UK, Nigeria, SA n.k ambazo baadhi zina maudhui ya kusaidia wahitaji mbalimbali ili kuvutia watazamaji. Kinacho nishangaza zaidi, kila video wanazozitoa ni kusaidia tu watu; sasa najiuliza, ina maana huko kwao...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji maiki ya kutengenezea maudhui ya youtube

    Msaada tafadhali. Mwenye maiki nzuri (USB) ya kurekodia maudhui ya Youtube naomba anisaidie. Bajeti yangu ni 150,000 Asante na mbarikiwe sana.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Naomba Maiki ya kurekodia video Youtube

    Msaada tafadhali. Mwenye maiki ya kurekodia maudhui ya Youtube naomba anisaidie, nilinunua maiki ya K9 lakini haina sauti nzuri kabisa. Kama kuna mtu ana maiki naomba anisaidie. SINA HELA ZAIDI YA 20,000 tu ndio maana nimeomba mwenye nayo anisaidie. Asante na mbarikiwe sana.
  6. JamiiForums Tanzania INAUZWA Youtube Channeli inauzwa. Imekidhi vigezo muhimu

    Habari! Kuna Youtube Chaneli inauzwa. Inasubscribe 14700, ipo kwenye malipo na imetoa pesa mara 3 hadi sasa. Bei yake ni 3,300,000. Kama unahitaji basi Unaweza nicheki PM kwa mawasiliano zaidi! Asanteni!
  7. JamiiForums Tanzania Heshima kwa YOUTUBE kumbe unaweza kujifunza udereva kupitia video tutorial

    Myself napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa platform ya YOUTUBE maana halisi ya Elimu na Burudani. Kupitia YouTube kuna skills nyingi nimejifunza probably direct ama indirect zimeweza kuwa na impact kwenye maisha yangu binafsi. Sina maana ku underestimate vyuo vya udereva ila ukiwa...
  8. JamiiForums Tanzania SnapTube ni software nzuri Kwa watumiaji wa simu na waoenzi wakupakua videos za YouTube na mitandao mwingine ya kijamii.

    Habari, maelekezo hapo juu yanajieleza vyema. Wawezaipata app store.
  9. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupandisha video za youtube hapa Jf

    Habarini za wakati wakuu. Nashindwa kujua namna ya kufanya kupandisha humu jamii forums video za mitandao mingine hasa youtube naombeni mnipe njia. Amani ya bwana iwe nanyi. mshamba_hachekwi Mshana Jr
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Shetani yupo kazini: Nyumba za ibada Imarisheni ulinzi/msirushe LIVE (YouTube) wakati wa kutoa sadaka

    1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa. 2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati wa utoaji sadaka. Na pia ulinzi uimarishwe. NB: Msiposikiliza huu ushauri soon mtalia. Mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Generation ya bongo movie mjini YouTube

    Wadau. ebu tuzungumzie hii generation ya bongo movie ambao wao wamejikita kwenye mitandao ya kijamii hasa YouTube
  12. JamiiForums Tanzania Niset vipi YouTube isijizime nkitoka kwenye screen?

    Wakuu, Youtube ukitoka kwenye kurasa huwa inajizima au inastop kuplay! Kuna njia ya kuset isifanye ivo yaan uendelee na shughuli nyingine halafu youtube iendelee kuplay
  13. JamiiForums Tanzania YouTube videos kugoma kupakua.

    Hello guys, Leo nimepita pita kwenye YouTube nikajaribu ku-download video kutumia third-party apps bila mafanikio nimekua nikitumia app kama vmate, freemaker nk ila kwa Leo zimenigomea. Kama Kuna mtu anaweza nipa ujanja wakupakua videos huku YT anisaidie. Natanguliza shukran
  14. V

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika Watangazaji wa Entertainment Kwenye YouTube

    Habari wanaJamiiForums, Nisizunguke sana. Ni kama tanagzo linavyojieleza. Wanahitajika vijana wawili ambao wana uwezo mzuri sana wa kuchambua habari za burudani (Gossip), matukio nk. Ambae anaweza kufanya kazi akiwa nyumbani. Kuna youtube channel ambayo imenza kupokea matangazo na tayari...
  15. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz namba moja kwa kutazamwa YouTube Kenya

    Nyota wa muziki kutoka Bongo, Diamond Platnumz, amethibitisha ukubwa wake katika tasnia ya muziki baada ya kutajwa kama msanii aliyeongoza kutazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube nchini Kenya kwa mwaka 2024. Kwa jumla ya watazamaji milioni 125, Diamond amewashinda wasanii wengine maarufu...
  16. JamiiForums Tanzania Nauza monetized youtube account

    Wadau Habari?? Nna youtube account yangu taarifa zake ni hivi ... -It has 13usd, now it only needs identity verification. -Has 4k+ subs - per average it has 900 view Hours per every month since January 2024. Sometimes it hit 1.5k watching hours. _ views kwa wasting ni 12k -it has educational...
  17. JamiiForums Tanzania Nyie YouTubers wa tanzania ni kweli mnatengeneza hela kupitia mtandao huo au ni uwongo?

    Kuna vichannel vingi hasa vya kusimulia movie, huwa najiuliza ni kweli wanatengeneza pesa kupitia YouTube? Na chanel nyingi ni za Kiswahili! Mwenye yuko na chanel aniambie.
  18. JamiiForums Tanzania Filamu ya Kanumba "Riziki" iliyotoka 2005 sasa ipo YouTube kama hukuwahi kuitazama kaitazame

    kanumba akiwa na 21yr's alicheza filamu hii, watu wengi sana hawajawahi kuiona ila sasa ipo YouTube nenda kaitazame.
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta mfadhili/mwajiri/partner tutakaeweza kuanzisha channel ya youtube/podcast sehemu yoyote tanzania

    Mimi ni kijana umri 26 Napatikana katika moja ya wilaya mkoani Dodoma, Natafuta mtu mwenye interest ya kuanzisha channel ya YouTube in any niche niko na uelewa na Algorithm ya YouTube inavyoenda nimekosa vifaa kutokana na hali ya maisha ninakotokea, Kama unamtaji na ulitamani siku moja kufahamu...
  20. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo and Mr. Beast Discuss Fame, Football, and the Future of Content

    From Football Pitch to YouTube Peak: Cristiano Ronaldo and MrBeast Discuss Fame, Football, and the Future of Content Introduction What happens when a football legend sits down with the king of YouTube? A fascinating exchange of insights, strategies, and perspectives on fame, success, and the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…