youtube

  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nini hiki Rais aliyepata kura million 31 anakosa live views haka 500 YouTube?

    Hii Ni aibu Huyu akifikisha kweli hata kula million 1? Hii Ni fedhea kwa Taifa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watz tunazidi kupiga hatua, kuna software maarufu ya kudownload videos za youtube na mitandao ya kijamii. imetengenezwa na mtu anajiita Muhogo Mchungu

    https://github.com/mhogomchungu/media-downloader Siku ya jana nilikuwa natafuta software nzuri ya kushusha videos Baada ya kutafuta hapa na pale nikakuta kwenye majukwaa ya eknolojia ya kimataifa watu wanaishauri Media Downloader Niliishusha na kuitumia, ni software nzuri ambayo inaweza...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?

    Wakuu, Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Youtube wanashida gani leo au wanasystem wameanza mambo yao?

    Youtube wana shida gani leo au wanasystem wameanza mambo yao? Yaani youtube muda huu imegoma kbs kufunguka au wamezima
  5. JamiiForums Tanzania Sasa Hivi TRA Wanakusanya Kodi Hadi Google AdSense (YouTube & Websites)

    Wewe kama ni mmiliki wa Channel ya YouTube au mmiliki wa Website na unapata pesa kwa njia ya Google Adsense basi jua sasa hivi TRA wanakata Kodi mpaka huko YouTube na kwenye Websites kwa pesa unayokusanya kupitia Google AdSense. Hivyo uwezi kutoa pesa mpaka uwe na TIN namba pia, tofauti na...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi Social Media Inavyochangia Tech Culture Tanzania

    Yo, wadau wa tech! Social media imekuwa kama nguvu kubwa kwa ukuaji wa tech ecosystem hapa Tanzania, na leo tunaangalia jinsi platforms kama JamiiForums, X, Instagram, LinkedIn, WhatsApp, YouTube, na TikTok zinavyobring tech enthusiasts pamoja, kushare knowledge, na kushare events za tech. From...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Vijana 19 wauawa Nepal kwenye maandamano baada ya Serikali kufungia mitandao

    Takribani watu 19 wamepoteza maisha na kadhaa kujeruhiwa nchini Nepal baada ya maandamano dhidi ya ufisadi wa kisiasa na baada ya serikali kuchukua hatua ya kufungia mitandao ya kijamii amabapo maandamano hayo yaligeuka kuwa machafuko kati ya waandamanaji na vyombo vya usalama. Maelfu ya vijana...
  8. JamiiForums Tanzania Nani anajua kuingiza pesa kupitia YouTube Automation anisaidie

    Kuna mtu anaingiza pesa kupitia YouTube Automation anatoa kozi / mafundisho ya kuingiza pesa kupitia YouTube Automation nilimwambia anioneshe chaneli yake aligoma, hivyo nikashindwa kumwamini kama kweli anaingiza pesa, nauliza nani anajua hii kitu anisaidie, nicheki sms / call / WhatsApp +255...
  9. JamiiForums Tanzania Kama unauza YouTube chaneli nanunua

    Kama unauza YouTube chaneli nanunua, mawasiliano: 0756704145, Dar es salaam, Mbezi
  10. JamiiForums Tanzania Ms Rachel: Mwalimu,mzazi wa pili na dada wa kazi wa Youtube

    Kama una watoto wadogo basi hili jina sio geni. Huyu YouTuber sijui amewalisha nini watoto. Wakimuona tu kwenye TV wanaanza kukenua. Amekuwa msaada kwa wazazi hasa wanapokuwa busy na majukumu ya nyumbani. Ukimwekea mtoto videos zake hata hawasogei walipokaa. Wapo wanaosema kuna madhara mtoto...
  11. JamiiForums Tanzania YouTube Channel inauzwa,Ina matangazo ya Google

    Wakuu. Kuna YouTube inauzwa. Ina matangazo na Sasa Ina dollar 98 ndani. Imefanyiwa SEO tayari. Ina 10K subscribers . Bei. Maelewano. Update. Ishauzwa. Asante
  12. JamiiForums Tanzania Mitandao wa FACEBOOK na YOUTUBE ina shida muda huu. Hii ni sababu ya SIASA au ni nini?

    Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi. Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi. Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi...
  13. JamiiForums Tanzania App za kudownloadia youtube kwene Iphone

    Wakuu wa iphone
  14. JamiiForums Tanzania Kufunga Mitandao ya Kijamii ni hasara kubwa kwa wafanyabiashara

    Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram . Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
  15. JamiiForums Tanzania Mnatufungia mtandao Facebook unahusika nini na siasa zenu?

    Wengi Tunategemea sana kutangaza biashara zetu kupitia mtandao mnazima ili iweje ..nmepoteza hela. Mmefunga Twitter (x) , sasa hivi mmehamia Facebook. Fungueni hii mitandao, wengine siasa hatuzitaki ni ujinga tu.
  16. JamiiForums Tanzania Youtube imefungiwa kama Twitter

    Nimejaribu zaidi ya lisaa lizima kuingia YouTube ila inagoma. Baada ya kuwasha VPN mambo yanafanya kazi. Mwezi mmoja kabla niliona trend videos za YouTube kama zipo tofauti na kawaida. Sijui ni YouTube wenyewe wanapokea hela kuzima baadhi ya content zisionekane kwenye trend, kama vile...
  17. JamiiForums Tanzania Polepole: Nimeshindwa kutumia Youtube kutokana na 'restrictions'

    Balozi Humphrey Polepole ambaye alipanga kufanya mkutano na waandishi wa habari kupitia Zoom Meeting na kushindikana kutokana na changomoto ya kusikilizana, na baadaye alipotaka kutumia YouTube akakumbana 'Restrictions' kama alivyoeleza, akiongea Mbashara kupitia Facebook.
  18. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Youtube upo down Tanzania?

    Maana nikiwasha VPN inakubali
  19. JamiiForums Tanzania Mtandao wa YouTube Tanzania Tangu saa Tano haifanyi kazi

    Wengi wanahisi kwa sababu ya press ya pole pole ndo maana wameufuutilia mbali
  20. JamiiForums Tanzania Vigezo Vipya vya YouTube na Athari Zake kwa Watu Wanaotumia A.I kwa Kutengeneza Content

    YouTube kila wakati inaboresha kanuni zake na vigezo vya kufuatilia ili kuhakikisha watumiaji wanapata content bora na salama. Hivi karibuni, YouTube imezindua vigezo vipya vinavyohusu matumizi ya Artificial Intelligence (A.I) katika kutengeneza video na content. Je, mabadiliko haya yanaathiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…