Mabingwa wa Tanzania, Yanga leo wanaanza kucheza mechi ya kwanza dhidi ya Far Rabat ya Morocco katika mechi ya kwanza ya group B, katika mechi itakayochezwa kwenye uwanja wa Amani Complex, Zanzibar
Dear FIFA Ethics Committee,
I am writing to report a potential breach of the FIFA Code of Ethics by Young African Sports Club, the current premium football champion in Tanzania. On Monday, 11 August, at Mlimani City Hall in Dar es Salaam City , the club's president contributed 39,000 to the...
Kwa mwenendo na mstakabali wa timu zetu za kariakoo (Msimbazi na Jangwani) na kumbato lao la kisiasa basi hatuna budi kuifufua New Young Ili kuwa kimichezo zaidi na kuweka kando siasa.
Watoto wa Mtaa jangwani
Wenyewe wamebobea kuipa mbeleko CC ni CC.
Watoto wa Msimbazi
Wenyewe wamebobea kwenye...
Listen to me young generation
The cheapest commodity on earth is access to women. Stop wasting your time, energy, and money chasing what should come to you naturally.
That attention you're fighting for; burning airtime, borrowing money, breaking your focus; it’s not worth the cost. Invest that...
By Josephine Christopher
Josephine Christopher is a senior business journalist for The Citizen and Mwananchi newspapers
Mwananchi Communications Limited
After a failed poultry venture left him in debt and despair, Brayan Kimaro transformed his hard-earned lessons into Fuga, app and and Fuga...
Klabu ya Yanga imemtangaza rasmi kiungo mkabaji wa zamani wa klaabu ya CS Sfaxien ya nchini Tunisia ambaye ni raia wa Guinea Moussa Balla Conte.
Nyota huyo alikuwa kwenye midomo ya watu wengi hapa nchini baada ya kuonesha kiwango bora kwenye michezo ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya...
Napenda kutoa ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Klabu ya Yanga kuhusu fursa ya kuongeza mapato ya klabu na kuimarisha ushirikiano na mashabiki walioko ndani na nje ya nchi kupitia Tiketi za Kidigitali (Digital Support Tickets).
Maelezo ya Wazo:
Katika siku maalum kama vile Yanga...
Nilikuwa najua ni utani wa Ally Kamwe tu kumbe kweli bwana. Aisee kwa hali hii nadhani mzee Mangungu atupishe tu. Ikumbukwe pia Feitoto na Jonathan Soah tayari wamesha saini Yanga.
Karibu kwenye hekaheka za NBC PL za mwisho wa msimu.
Leo katika uwanja wa new Amaan complex mabingwa watetezi wa league ya NBC young African SC watakuwa wenyeji wa walima zabibu kutoka mkoani Dodoma, Dodoma Jiji kuzisaka Alama tatu muhimu ili kuendelea kutia mkazo wa kuwania kombe la ligi kuu...
Hey guys,
Leo nawawekea kitu cha ukweli, especially my street smart youngins, coz life inakuwaga real no filter. Hii dunia ya sasa haicheki na mtu, one wrong move and boom—your whole life flips. So chukua hii kama OG wisdom straight from the trenches:
Usijikute uko kila mageti ya watoto wa...
Hey guys,
Leo nawawekea kitu cha ukweli, especially my street smart youngins, coz life inakuwaga real no filter. Hii dunia ya sasa haicheki na mtu, one wrong move and boom—your whole life flips. So chukua hii kama OG wisdom straight from the trenches:
Usijikute uko kila mageti ya watoto wa...
SIKU YA MECHI KALI.
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Azam Fc 🆚 Young Africans SC
📆 10.04.2025
🏟 Azam Complex
🕖 1:00 Jioni
VIKOSI VINAVYOANZA LEO.
Updates....
Dakika 11 Pacome anaipatia goli la kuongoza kwa Yanga
Dakika 19 Pacome anatolewa nje kupata matibabu zaidi baada ya kuumizwa
Dakika 34...
Mitandaoni na kwenye media mechi kubwa ni Tabora United vs Young Africans ambayo itafanyika tarehe 2 April uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA, mechi ya UMISETA au shirikisho Watanzania hawana habari nayo
Haya mashindano ya shirikisho ni sawa na mashindano ya shule yaani UMISETA au Yale ya golf...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.