yesu

  1. JamiiForums Tanzania Mbinguni ni wapi? Inawezekana bado Yesu anapaa na hajafika mbinguni

    Mbinguni ni dimension nyingine ambayo imetuzunguka hapa hapa kwenye mazingira yetu au ni eneo fulani kwenye ulimwengu au galaxy yetu. Kama ni dimension nyingine basi hakuna habari ya kupaa, ni kitendo cha kuingia humo na kutoka. Kama ni sehemu fulani kwenye huu ulimwengu basi kuna uwezekano...
  2. JamiiForums Tanzania Tumsifu YESU KRISTO jumamos ya kesho tarehe 14 tutasherekea kupalizwa mbinguni kwa mama yetu HANGAYA bikira mariam

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Tumekombolewa kwa mateso makali sana ya mwana wa MUNGU YESU KRISTO ambaye alipitia katika tumbo la mama bikira isaya 7:14 na pia soma isaya 9:6 Mama huyu bikira alizaliwa katika mji wa daudi mnamo miaka 700 toka nabii isaya kuishi alizaliwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mipango ya siri ya Walokole na WAKRISTO kumuua Civilian-Coin kisa hamwamini Yesu Kama Mungu wao imevuja.

    Taarifa ambazo zimetufikia mchana huu ni kuwa makundi makundi ya Walokole yamesukwa kufanya mauaji kwa Siri au hadharani ya kumuua Bw. Civilian-Coin Nalimi Kisandu almaarufu CIVILIAN-COIN taarifa nyeti tumezipata. Aidha wamejipanga kuua au kumbambika kesi yoyote ile Bw. Civilian-Coin. Hata...
  4. JamiiForums Tanzania Yesu aliwezaje kuhubiria watu zaidi ya 80k bila kutumia kipaza sauti?

    Niko hapa kujifunza.
  5. JamiiForums Tanzania Yesu alikufanyia nini maishani kwako?

    Nimekuwa nikisikia shuhuda nyingi redioni kuwa yesu amebadilisha maisha yangu, nilikuwa na madeni yote yamefutika. Mwingine alikuwa na magonjwa yaliyoshindikana lakini alipona. Wadau, mbona kwangu haya mambo na hizi stori logically hazimake sense?
  6. C

    JamiiForums Tanzania SDA kanisa langu kubalini kuwa wanafunzi wa Yesu na sio waumini wafuasi wa Ellen White

    Wanafunzi wa Yesu waliambiwa "Enendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi..." Wafuasi wa kweli wa Yesu hawajahitimu hadi Yesu atakaporudi ndipo tunaambiwa atawapa taji. Kuna hatari ya kujitengenezea theolojia na kuifuata kama ilivyo hata kama ina mapungufu. Kanisa linapaswa kujua...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini muujiza wa kwanza wa Yesu ulikuwa kubadilisha maji kuwa divai na sio kutengeneza Biblia?

    Kama pombe ni mbaya kwanini Yesu aliitengeneza kwanza na hakutengeneza Biblia? Nawakaribisha wana zuoni mliokomaa katika mjadala huu.
  8. JamiiForums Tanzania Ukitaka kutambua laghai, jiulize kwa nini jina la Yesu ndo pekee labadilishwa eti kuendana na lugha

    Jina tunalopewa halibadiliki uende Marekani, Uingereza na popote duniani. Mnaomini 'transliteration' eti Joseph aeza itwa Yusufu, mbona bongo hatuna hilo ng'o? hata ingekuwa ivo, jina la Yesu 'Yahusha' lingekuwa Joshua na sio Jesus ambalo kwa unaejua, linawakilkisha Ieosus... Juu ya hayo, hata...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu hakuwahi kuombea Mgonjwa?

    Ukiangalia katika biblia hakuna tukio la Yesu amefumba macho anaomba eti mtu flani apone. Mara nyingi alitamka tu neno katika mazungumzo yake sio maombi na kitu kikatokea. Au akakemea tu hali ikakaa sawa. Hii imekaaje na maombezi mengi ya kisasa?
  10. JamiiForums Tanzania Kwa nini Waafrika hawawapi jina la Yesu watoto wao?

    Kwa nini Waafrika Wakristo wanaogopa kuwapa jina la Yesu watoto wao wa kiume? Ulaya, Marekani Kusini na Kaskazini watoto wanapewa Jina la Yesu, Waarabu na Waislamu wanawapa watoto jina la Issa, Waafrika Wagalatia tu ndio wanaogopa kuwapa hili jina watoto wao !
  11. JamiiForums Tanzania Yesu aliyerudi kwa mara ya pili anasota rumande huko KOREA KUSINI. Anaomba tumuombee aachiwe kwa kuwa yeye ni mzee na pia ni mgonjwa

    Man Lee Hee ambaye anadai yeye ni Yesu aliyekuja kwa mara ya pili ametiwa mahabusu kuanzia mwezi wa sita kwa makosa ya kuharibu uchaguzi wa rais na kwa kosa la kuwaandikisha waumini wake zaidi ya 50,000 kwenye chama cha kisiasa. Yesu huyo mwenye miaka 95 anaomba tumuombee aachiwe huru, kwa kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi yesu alipaa paaje je aliota mbawa kama malaika au alipaa Kwa aina Gani?

    Naomba kuwasilisha swali hili kutoka kwenye Manispaa ya kichwa changu. Ili uweze kupaa lazima uwe na mbawa (mabawa) kama ndege mfano halisi ni malaika Wana mabawa. Hata hii ndege ya abiria Ina muundo wa ndege viumbe sasa yesu yeye alipaa paaje (Kwa aina ipi) ? Maana biblia haijasema kuhusu...
  13. U

    JamiiForums Tanzania hebu leo jaribu muuliza Msabato yeyote eti ni kweli Maria mamake yesu kabarikiwa kuliko wanawake wote halafu usikie jibu lake!

    wewe jaribu tu kumuuliza ila kuwa makini!
  14. JamiiForums Tanzania Watu ambao Yesu ana bifu nao siku ya kiama

    Hii ndio list ambayo ilimfanya yesu kuwekwa msalabani. 1.Dalali kwa jina Yuda. 2.Wasaliti kwa jina Yuda. 3.Hakimu. 4.Askari hapa mtajigawa wenyewe. 5.walio shabikia maovu Lucas Mwashambwa ChoiceVariable id moja . 6.Viongozi wa dini wasio kemea maovu. Kwa bahati mbaya CCM wangekuwepo kipindi...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Hivi watu waliendaje mbinguni miaka ya nyuma kabla ya ujio wa yesu ambaye ndiyo njia ya kwenda mbinguni?

    Tujitafakari!!
  16. JamiiForums Tanzania Yesu akamwambia, mbona unaniita mwema?

    Amani ya Bwana iwe juu yenu. Leo katika kusoma soma biblia nimekutana na maneno hayo hapo juu yakanitatiza kidogo. Nikutoka kitabu cha Luka 18:18-19. Natamani kujua kuwa Yesu alijipima kwenye mambo gani akajiona hata yeye sio mwema zaidi ya Mungu?. Tunajua aliishi maisha ya kibinadamu hapa...
  17. JamiiForums Tanzania Suzanne: Mwanamke Aliyekataa Kumkana Yesu na Kuonyesha Nguvu ya Msamaha

    Katika kijiji kimoja kaskazini mwa Nigeria, mwanamke aliyeitwa Suzanne alikumbana na jaribu kubwa la imani yake. Wakati wanamgambo wenye silaha waliposhambulia kijiji chao, walimpa chaguo gumu: aachane na imani yake ya Kikristo na akubali kubadili dini, au akabiliane na kifo. Suzanne alikataa...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Yesu anaweza kuwa Mungu ndani ya Qur'aan? The evidence says Yes πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

    Usikute kuna kilaza anadhani swali langu limeuliza " Je ndani ya Qur'aan kuna Aya inayosema Yesu ni Mungu? ". Hiyo sio mantiki yangu. Analogy au mfanano wa mantiki yangu ni kama ifuatavyo. πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inamtambua Mwl. Julius Kambarage Nyerere kama Rais wa...
  19. JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo.

    Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo. Biblia inatuambia "Yesu akakutana na kijana tajiri akamwita, Mwalimu mwema, yesu akajibu, Mimi sio mwema Bali mwema ni MUNGU peke yake" hapa yesu anakiri kuwa yeye sio MUNGU. Yesu...
  20. JamiiForums Tanzania Kati ya Mathayo na Luka daktari wa Rafikiake na Paulo nani anadanganya kuhusu kifo cha Msaliti Yuda?

    Mathayo 27:5: Yuda akaenda akajinyonga. Matendo ya Mitume 1:18: Akanunua shamba kwa ujira wa uovu, akaanguka kifudikoni, akapasuka katikati, matumbo yake yote yakamwagika.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…