yericko nyerere

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Yericko Nyerere atikisa Afrika, Ashinda Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika

    Usiku wa Machi 07.2026 katika jijini la Kigali nchini Rwanda, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo inayotolewa na 'Shining Stars Africa Awards' Yericko ambaye pia ni kada wa CHAUMMA alishinda kwa kura 7584 sawa na 53% alikuwa...
  2. Q

    Yericko Nyerere aomba radhi viongozi wa CHADEMA na Wanaharakati aliowatuhumu kuhongwa na Amnesty International

    Ni baada ya wahanga kutishia kumpeleka mahakamani. Yericko Nyerere: IMEDHIHIRIKA TAARIFA HII HAIKUWA SAHIHI. Kwa msingi huo, Naomba nitumie nafasi hii kuomba radhi juu ya maoni yangu kwenye post ya juzi kuhusu nyaraka hii ambayo imethibitika ilikuwa ni ya uzush wa mitandaoni, maoni yangu kwa...
  3. Chakaza

    Vicent Lissu Amuumbua Yericko Nyerere na Wenzake Kuhusu Tuhuma Chafu za Michango

    Hakika ni aibu kubwa kwa mtu mzima kushadadia jambo la uongo na unafiki ili kumchafua mtu, chama au taasisi ambayo inawatu ambao mioyo yao iko huko. Yericko Nyerere ambaye hapo awali watu kadhaa walikuwa wanamuamini wiki hii kaja na mipasho na maneno mengi ya kuwachafua viongozi wa Wachadema na...
  4. R

    PostGE2025 Yericko Nyerere: Vijana washauriwe kuepuka miito ya kupanga mapinduzi

    Yericko Nyerere unasema Samia hajavunja Katiba Je, katiba inamuelekeza kuuwa raia wake?, Je, Katiba inamuelekeza kukaa kimya juu ya utekaji? Je, hiyo Katiba inasemaje kuhusu haki ya Maandamano kwa wananchi? Tulia kijana tunaujua unaupiga mwingi upate angalau ka uteuzi kutoka kwa Samia...
  5. R

    PostGE2025 Yericko Nyerere: Umoja wa Ulaya ni watuhumiwa vurugu za Oktoba 29

    Siyo muda huyu jamaa anapewa kitengo maana Samia anawapenda sana wapambee :BBRUHH: -------------- Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na mwandishi wa vitabu, Yericko Nyerere, ameituhumu Jumuiya ya Ulaya (EU) akiitaja kuwa sehemu ya wanaopaswa kuchunguzwa kuhusu matukio yaliyotokea...
  6. ELI COHEN

    Usiku huu Yericko Nyerere hatapata usingizi

    Vijana wamempiga chini katika tuzo wameona ni heri wampigie kura mzambia 🤣🤣 mwamba hadi kafuta post ya kuomba kura Mzambia ni mwenda wa kushukuru vijana wa bongo, hata haaamini mtoto wa watu 🤣 ila bongo nyosooo bongo balaa
  7. The Burning Spear

    Sikuwahi kufikiria kama Yericko Nyerere ana akili mbovu kiasi hiki

    Leo ndo nimeelewa kwa nini Familia ya Nyerere haitaki watumia jina la baba yao ni kwa ujinga kama huu.
  8. Carlos The Jackal

    Kanisa Katoliki (RC) limchukulie hatua za Kisheria YERICKO NYERERE, Mgombea Ubunge CHAUMA, Kwa kutumia Video ya Askofu Angilikana , Kuleta Mpasuko RC

    Huyu mwandishi Uchwara ,aliyefeli Kidato Cha Nne , Kwa makusudi Kabisa, ameamua kutumia Kipande Cha Viideo Cha MTU anayeitwa Askofu Kahemele wa KANISA la Angilikana aliyeonekana kwenye video hiyo akihamasisha Watu kwenda kupiga Kura , na kutumia Maneno na jina la Kanisa la RC, ili ionekane kua...
  9. Waufukweni

    GE2025 Yericko Nyerere: Nitaisuka upya Kigamboni, Barabara za Lami na kufuta Tozo za Daraja na Vivuko

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Yericko Nyerere ameahidi kuibadilisha Kigamboni kwa kuhakikisha barabara zote kuu zinawekwa lami. Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni, Yericko amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kukamilisha mradi wa...
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Yericko Nyerere amvaa Lema kisa ‘kuwatukana Watanzania kwamba ni Wapumbavu wasiojua kupigania haki zao’

    Tulipobadili mbinu ya mapambano ya kidemokrasia nchini kwasababu tulikuwa tumejiridhisha kwamba Watanzania hawajawa tayari kupigania haki zao, Huyu Lema na wenzake walianzisha uasi ndani ya Chama na kumchafua kiongozi wa upinzani kuwa amelambishwa asali ili abadili aina ya siasa. Wakaitangazia...
  11. S

    GE2025 Kigamboni: Yericko Nyerere kuzindua Kampeni zake 23/9/2025

    Maandalizi ya Uzinduzi wa Kampeni za Ubunge Kigamboni za Mwanajukwaa mkongwe Yericko Nyerere yamepamba moto tayari ameachia wimbo wa Kigamboni na sera zake, Wimbo👇
  12. Mtu wa Majira na Nyakati

    GE2025 Kigamboni tunaenda na Yericko Nyerere

    Tunahitaji vijana wenye uthubutu na wenye utambuzi. Yericko Nyerere Anatosha
  13. The Palm Beach

    Yericko Nyerere katika kesi ya uhaini ya Tundu Lissu apiga U-TURN, amtaka Lissu akubali maridhiano ya Mbowe style!

    "....Kesi za Lissu ni kesi dhidi ya Upinzani, Mtu yoyote anayeitakia mema nchi na siasa ya nchi hii, na atalaani kwa nguvu zote kesi hii. Mimi kama mwanasiasa ninashauri njia bora ya kumaliza kesi hii, Ninaamini Kesi hii haiwezi kuisha kwenye mkondo wa kisheria, Kesi hii ni ya Kisiasa, Hivyo...
  14. J

    Yericko Nyerere; Everist Chahali anaweza kuwa anakuzushia, lakini kauli zako dhidi ya Lissu zina utata

    Everist Chahali, Jasusi wa zamani wa Idara ya Usalama wa Taifa aliye uhamishoni nchini Uingereza kupitia baadhi ya Mitandao ya Kijamii amedai kuwa mmoja wa Mashahidi kificho walioandaliwa na Jamhuri kutoa ushahidi dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anayeshitakiwa kwa Kesi ya uhaini na...
  15. MWANAHARAMU

    GE2025 Yericko Nyerere na siasa za undumila kuwili!

    Habari zenu member wa JamiiForums. Baada ya salaam ashakum si matusi, niluke moja kwa moja kwenye mada. Sifa kuu ya kiongozi yoyote yule ni misimamo iwe ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kijiopolitiki. Sasa bwana Yericko kwenye siasa za ndani ya nchi amekuwa han misimamo, bendera fuata upepona...
  16. chiembe

    Yericko Nyerere: Godbless Lema ametoweka na password za akaunti ya fedha ya tonetone

    Hii ni habari mpya mjini, Mangi kasepa na mzigo wote wa tone tone. Yericko Nyerere aliyekua kada wa CHADEMA kabla ya kuhamia CHAUMMA, kupitia ukurasa wake wa X-Twitter ameandika haya...
  17. Udart

    Walaka kwa Yericko Nyerere

    Salute,,, Niende kwenye hoja moja moja Kwa moja binafsi mimi Huwa napenda sana ukifuatiria siasa ndani na nje ya Africa Kwa ujumla. Leo nilikuwa napitia kitabu Cha mwandishi wetu mashuhuri mwenye mituzo kedekede nakiri kusema kama kweli hivi vitabu yeye ndio mwandishi halisi basi...
  18. Fbn

    Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka

    Usifute kichwa cha habari JF:Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka yani wewe ni Mr pimbi wa gazeti la sani. Ukisoma vitabu vyake unaweza kujua huyu jamaa ni jasusi hatari ila ukirudi nyuma ni mr pimbi wa gazeti la sani. Mimi naogopa sana watu...
  19. Just Pray

    GE2025 Yericko Nyerere: Siku Lissu akiondoka CHADEMA tutarudi upya, tatizo ni Lissu siyo mtu mwingine

    Wakuu Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa chama cha ukombozi wa Umma (CHAUMMA), ameweka wazi kuwa siku Mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu akiondoka basi yeye atarejea CHADEMA.
  20. Just Pray

    Yericko Nyerere ahoji, ulishawahi kumuona mke wa Lissu Mahakamani? ushawahi kuona mtoto wa Lissu? kuna kizuizi gani kinawazuia?

    Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa kweli wa CHAUMMA, anahoji kwa nini Mke wa Mheshimiwa Lissu haonekani Mahakamani lakini bado tunalazimisha Mheshimiwa Mbowe aonekane Mahakamani.
Back
Top Bottom