yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuiona, kuishika Rupia kwa mikono yangu miwili na imenistaajabisha kwa jinsi inavyobadilika badilika

    Ni kweli kabisa Pesa ya zama (Rupia) ni pesa yenye maajabu na yenye kustaajabisa haswa ukiishika mkononi. Naam, ilikua mishale ya saa Mbili mbili hivi usiku tena kuna kiza kimetanda Lakini kuna mwanga Wa asili (mbaramwezi, Nyota ) ndizo ziling'arisha anga. Nikiwa Sina hili wala lile, GhafLa...
  2. JamiiForums Tanzania Naona ndoto yangu kumiliki ndege yangu binafsi ikizama

    Sio kunguru wala bundi ni ndege aka aeroplane kwa lugha ya kihaya Hivi wakuu kweli nishindwe kumiliki hata hutu tundege tudogo tunapitaga hapo juu hadi unaona ngondi za suka anakanyagia klachi kwa chini😭😭😭 Kwani vinauzwa shingapi hivi wajameni? nikiingia hapo crdb nikope sivuti kamoja...
  3. JamiiForums Tanzania Rai yangu kwa vijana mliojipata vizuri, tengeneza mazingira ya kuja kumuinua mwanao kwa kumuajiri wewe mwenyewe au kumsaidia mtaji au asset ajiajiri

    Ukweli ni kuwa hakuna mkombozi wa kijana katika huu ukata. Atapigika sana akiendelea kusubiria resume yake ipitishwe. Itakuwa haina maana miaka hio utakuwa una hudumia baby mamas wawili huku mwingine umemfungulia kibanda cha M-PESA lakini kijana wako anatembea na bahasha na kuzunguka kwa kila...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Dada zetu, please usi-date na mwanaume anayevaa kofia kama hii. Kila mwanasiasa maarufu "alisomaga naye Galanosi"

    Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali. Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja Tosamaganga au Galanosi, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba yako ujue una ndugu zako nje lakini hauwajui, wanapenda sana wanawake...
  5. JamiiForums Tanzania Prof Jay: Rais Samia alikuwa kama Mama yangu, alipata uchungu wa Mama

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule maarufu Prof Jay amesema Rais Samia alikuwa kama Mama yake wakati akimshukuru kwa jitihada zake za kumtibia.
  6. JamiiForums Tanzania Mlionunua apartment ghorofani juu kabisa Palm Village au Magomeni apartment, mjue mnaishi ndoto yangu

    Salam zenu ninyi mnaoishi ndoto zangu. Nitakuja kuishi siku moja tuwe majiranj😎
  7. JamiiForums Tanzania Ukifuta Namba Yangu, Niambie Ukweli – Usitoe Visingizio!

    Ukitaka kufuta namba ya mtu, usiseme "simu iliibiwa" au "nilipoteza namba." Kuwa mkweli: "Nimefuta namba yako kwa sababu niliona huchangii maendeleo yangu kwa vyovyote." Ukweli unaokoa muda na heshima! Je, unadhani ni sawa kufuta namba ya mtu bila taarifa, au ni muhimu kutoa maelezo?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nimemwambia binti ambaye ni jirani yangu haina maana "kunyimana" sisi ni kitu kimoja amechukia!

    Wakuu, poleni na pilika Sasa, kuna binti ambaye ni tunaishi nyumba moja, Huwa anavaa khanga moja anapita akaniona tu anapita anatikisa mzigo sio poa, wengine anapita amevaa amejizinga vizuri tu Ila akiniona anavaa "nusu ngozi nusu nguo""🥶 👉Ni mzuri wa maumbiko amejaa haja nyuma sio poa Sasa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Operesheni tokomezeza flash disk na mawaya, Nawezaje kutazama video za kwenye computer kwenye Tv kwa kutumia wifi ( wireless )

    Nahitaji kuifanya Tv yangu iwe kama youtube au Netflix lakini niweze kustream video kutoka kwenye laptop yangu bila bando. Laptop nitakuwa naiacha chumbani, niweze kuchagua video moja kwa moja kwenye TV bila kugusa laptop. Nimechoka kudownload videos kwenye pc kisha niiingieze kwenye flash...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Bado ni baba yangu daima!!

    Katika maisha yapo mengi ya kujifunza kila uchao. Ni ijumaa moja napata rafiki kupitia instagram ambae ni rafiki wa rafiki yangu mkubwa na kwa kuona kwamba mimi ni rafiki wa rafiki yake pia anakua nwepesi katika kujibu na kutoa mawasiliano ya simu. Sio kitu chepesi kwa upande wangu kutoa...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada...i phone 6 yangu imezimwa napataje data zangu zilizomo humo??

    JuZ kat sikuwa na habar kama hizi simu za iphone matoleo ya nyuma wanazizima zisifanye kaz tena.nikiwa sina hili wala lile ghafla simu nikaona haifanyi kaz imejizima...nikajaribu kuiwasha ikashindikana na sikuiangusha wala kuiharibu kokote..kwenda kwa fundi anasema iphone wameamua kuzima hizi...
  12. JamiiForums Tanzania Nimekubali kurudisha muamala wa mpesa kiasi cha shillingi 1.4M uliotumwa kwenye namba yangu kimakosa

    Habari wana jamvi Jana jioni mida ya saa 12 katika mtaa mmoja ninaoishi nilikuwa nimekaa na washikaji zangu tukibishana kuhusu kanuni za mpira baada ya bodi ya ligi kuahirisha mechi ya watani wa jadi simba na yanga Simu yangu mfukoni ika,vibrate kuashiria kwamba kuna sms imeingia, sikuifungua...
  13. JamiiForums Tanzania kwanini kitimoto kwa sasa haiuziki tena?Nimeshuhudia kwa macho yangu nyama ya kitimoto kwa sasa inabaki.

    Katika mifungo hii ya kwaresima na mwezi wa Ramadhani kitimoto hauziki wakuu. kuna sehemu moja hapa kitaa ilikuwa hailali wala kutoboa hadi saa7 usiku bado ipo labda kama wamechinja nguruwe mbili. Lakini kwa sasa kiti moto ndo hivyo tena hailiki ndg zetu wa upande wa pili tukisema ninyi ndo...
  14. JamiiForums Tanzania Nyie weekend mnaenjoy wapi?

    Leo nimeona mambo yasiwe mengi nimeamua kutoka bar ya jirani na kwangu hapa weekend hii, nyie wenzangu mnaenjoy wapi mimi naenjoy mbezi😎🙈😝
  15. JamiiForums Tanzania Jamani kaka yangu; hayo unayomfanyia wifi yangu, Mungu anakuona!

    Kila siku wifi anaamka alfajiri, anakuchemshia maji ya kuoga. Anafanya usafi wa nyumba, anapika chai, anaogesha watoto. Anaenda kutafuta mkaa, anahakikisha familia imepata chakula. Sokoni anakazana—anauza maandazi ili watoto wapate ada ya shule maana wewe huwalipii. Jioni inamkuta bado kwenye...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nimeunda File Server kwa Shilingi Laki 2, Njia Rahisi ya Kuhifadhi na Kuhamisha Mafaili

    1. Nimepata hard disk 6 TB kwa shilingi 150,000 used (used ila disc health safi ) 2. Nimenunua cpu used kwa elfu 50 ikiwa na hard disk ya GB 80 (Hp Optiplex SFF) Kwanini ninunua cpu wakati ningeweza kununua waya wa usb wa hard disk ? Hard disk iliyounganishwa ndani kwa cable zake maalum za...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Anayeuza gari Aina ya alteza 4 cylinder Nina budget yangu ya 3.5 m

    Anaeuza gari Aina ya alteza 4 cylinder Nina budget yangu ya 3.5m
  18. JamiiForums Tanzania Leo ndio itakuwa mara yangu ya mwisho kupanda mwendokasi

    Nimekaa mda huu hapa mbezi stand...jua linachoma halafu tumepangwa kwenye foleni masaa mawili sasa hakuna dalili ya gari...nahisi kichwa kuuma unaweza kuzimia kabisa....hii foleni utafikiri ya kwa mzabuni,,kule jkt
  19. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Tetesi za kufungiwa zilimpeleka mama yangu hospitali, alipata mshtuko

    Baada ya tetesi za Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe kudaiwa kufungiwa (kama hukusoma bofya hapa -Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF), Mwanayanga huyo amejitokeza hadharani na kuelezea kuhusu madhara ya tetesi hizo na jinsi...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea, leo ndiyo mara yangu ya mwisho kupanda mwendokasi🙌

    Habarini za jioni wana JamiiForums, husika na kichwa tajwa hapo juu. Leo nilikuwa na safari ya kivukoni/posta, nikaona ni heri niende mbezi nikapande mwendokasi. Nilifika mbezi mida ya saa9 hivi nikakata tiketi nikasubiri pamoja na abiria wengine kama nusu saa hivi, mpaka dakiki40. Ikaja gari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…