yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Match ya Simba Vs Ahly ni kama Match ya Aseno Vs Bayern Na match ya Yanga Vs Mamelodi Ni kama Match ya Man City vs Madrid

    Nimeamua kuandika kichwa kirefu ili mtu akisoma tu aelewe kabisa. Match ya Bayern Vs Aseno UEFA ni match ambayo haina mvuto na hakuna Ntu anawaza maajabu pale anajua Aseno anakufa kwa Aggregate ya 10 tena. Hii haina tofauti na Match ya Simba Vs Ahly ambayo kila mtu anajua hakuna maajabu lazima...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ambayo hatutangalia mechi za champions league za Simba na yanga Tukutane hapa

    Mimi nitakuwa busy na kazi kwa siku zote mbili. So sitaweza Hata kufatilia. Na shauri : Wazee wa pressure hizi match wasiangalie. Kama una mzee shabiki wa hizi team akae mbali na TV Unaweza Mpoteza. 😂😂😂 Goli ni nyingi sana . Vijana wa kariakoo wamelamba joker 🃏. Wamepotea njia, wameibukia...
  3. JamiiForums Tanzania Online Engagements: Ushaidi kuntu juu ya mechi ipi ni kubwa kati ya ile ya Simba vs Al Ahyl na Yanga vs Mamelodi

    Ukubwa wa mechi kati ya ile ya Simba vs Al Ahyl na ile ya Yanga vs Mamelodi Sundowns ushakuwa wazi tangu tarehe 12/03/2024 ilipopangwa droo ya CAF robo fainali. Tangu hiyo siku mpka Leo,kati ya mechi zote za wiki hii,ni mechi Moja yenye high online engagements. Mechi hiyo ni ya Yanga vs...
  4. JamiiForums Tanzania 'Masandawana' hawa waweza kusimamishwa kupambana na Yanga Benjamin Mkapa tarehe 30/3/2024

    Wote, hadi sasa, wana kadi tatu za njano. Ni hawa: RISK OF SUSPENSION This table lists all players who are injured, sick and suspended, and those, who are at risk of facing suspension. Compact Detailed Player Age Yellow cards Appearances Cards/Match Ronwen Williams Goalkeeper 32...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Yanga mnaweza kuifunga Mamelodi lakini kuwazuia wasipate mabao haiwezekani, haiwezekani

    Kwa namna mlivyokufuru na kukubali dhambi msimu huu wa Ramadhan, mnaweza kuwapumbaza wachezaji wa Mamelodi lakin kuwazuia wasimsulubu kipa wenu mwenye miguu mizuri kama Asha Ngedere haiwezekani na haiwezekani. Shalulele kwa beki hii ya Bacca na Job, kudadadeki.
  6. JamiiForums Tanzania Nadhani serikali imeshindwa kujua itumie vipi mechi za Yanga na Simba weekend hii kujitangaza kiutalii

    Salamu Wakuu, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza. Binafsi nadhani serikali au viongozi husika wameshindwa kabisa kujua ni namna gani mechi za week end hii za Yanga na Simba zitusaidie kiuchumi kama taifa. Nimesikia baadhi ya viongozi na wadau wa michezo wakiongelea uzalendo na kutaka watu...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga acheni kuwadanganya watu, Al Ahly na Mamelodi sio Manyema FC

    Makelele meeengi lkn ukweli mnaujua, mikwara yote hiyo ni uongo wa mganga, huyu kaamua kuwekeza uchawi kwa Mudathiri na hawa wengine wako Zanzibar wana mipango yao, makelele yote hayo sio uwezo wa timu zao, ni mganga ndio anawapa matumaini. Al Ahly na Mamelodi wameshaambiwa yote mnayoendelea...
  8. JamiiForums Tanzania Imedhihirika: Yanga Vs Mamelodi Sundowns ndiyo mechi kubwa kuliko zote hatua ya robo fainali, Simba ni kama wamejikatia tamaa kabisa

    Kuanzia mtaani hadi mitandaoni, mechi iliyowajaa midomoni wapenzi na mashabiki wa soka ni ile ya Yanga. Kuna wanaoiamini Yanga na kuona itaibuka kidedea Benjamin Mkapa na hata mwisho wa mechi mbili. Kuna wanaoibeza na kuona imefikia mwisho. Lakini, Yanga ameteka mazungumzo. Kuanzia wachambuzi...
  9. JamiiForums Tanzania Jana nimeota mechi ya ugenini Yanga anashinda 1-2 na nyumbani 2-1

    Wadau, jana nimeota kuwa Yanga atashinda nje ndani kwa idadi ya magoli 4-2 huku Mudathiri, Pacome na Aucho wakishinda kwenye magoli hayo 2, mara nyingi huwa naota ndoto za kweli huenda ikawa idadi ya magoli ni tofauti ila Yanga anapita hatua inayofata na huenda Watakutana fainali yeye na...
  10. JamiiForums Tanzania Ukubwa wa Mechi ya Yanga na Mamelodi ni matokeo ya kiwango bora cha Yanga msimu uliopita na uwekezaji wa Mamelodi

    Nukta yangu naiweka hapa YANGA imekuwa ni moja ya timu tishio barani Afrika kwa sasa hii inatokana na kiwango kikubwa ambacho amekionesha kuanzia Makundi ya Shirikisho mpaka kufikia finali mwaka wa jana 2023,Kiwango hichi kimewashtusha wengi hasa ukiangalia yanga Alimpiga TP Mazembe na Waarabu...
  11. JamiiForums Tanzania Mganga atabiri matokea ya Simba na yanga yatakavyokuwa dhidi ya wapinzani wao mwishoni mwa week hii

    Wadao wa simba na yanga mnasemaje? 😃😀
  12. S

    JamiiForums Tanzania Azam wameigharimu sana Yanga kuelekea mchezo wao na Mamelodi

    Mechi baina ya Yanga na Azam, imezaa majeruhi wawili ambao ni wachezaji muhimu sana kwa Yanga.Wachezaji hawa ni Pacome na Yao Kouassi. Tunachojiuliza hii ni bahati mbaya tu au kulikuwa na nia ovu? Anyway, Yanga tujipange tu kutokana na hali halisi kiuelekea mechi yetu na Mamelodi.
  13. JamiiForums Tanzania Yanga mliolipiwa mnakalia wapi?

    Ndio nimefika Dar jana. Asubuhi nikafika vijiweni vya soka na kagawa. Nataka kujua kina nani wamelipiwa. Kila mwana Yanga ukimuuliza kama amelipiwa anasema yakhee niombe radhi mimi siwezi kulipiwa. Inaonekana kulipiwa kuna shida, kwa nini waliokwisha lipiwa wajifiche. Au kuna masharti mmepewa...
  14. JamiiForums Tanzania Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga

    Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo. Yapi maoni yako?
  15. JamiiForums Tanzania Yanga vs Mamelodi ni Faida kwa taifa

    Mnamo 17 May, 2023 klabu ya Mamelodi Sundowns ilitangaza kwenye mechi ya MAMELODI vs WYDAD AC kuwa Mashabiki watakaovaa jezi za Sundowns watapatiwa tiketi bure yaani tiketi itakuwa ni jezi ya njano katika uwanjani wa Loftus Versfeld. Baada ya Mamelodi kutangaza hivyo hakuna Mwandishi au Media...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga tupeni mrejesho mechi ijayo ni ya mchezaji gani? Simba nani atakuwa mgeni Rasmi? Naona mmetangaza viingilio tu

    Imeshakuwa mila na desturi kwa timu hizi za jadi kuwapa presha wachezaji katika mechi za kimataifa ingawaje nayo huleta hamasa kwa timu, kwa timu zote mbili mechi za mwisho za makundi tumeshuhudia mechi ya yanga ilipewa jina la Pacome huku Simba mgeni Rasmi akiwa Enonga Baka na kufanikiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Wewe kama Mwana Yanga unalipi la kumshauri Admin wa EATV?

  18. L

    JamiiForums Tanzania Hongereni Yanga kwa kukataa kutoza fedha msibani

    Siku ya tarehe 30/3/2024 kutakuwa na msiba mzito pale kwa Lupaso, Mamelodi wamejipanga kufanya kitu kibaya mnoooo, sasa wajanja na wenye akili pale Jangwani wameona kwa vile siku hiyo itakuwa ni siku ya msiba, hakuna sababu ya kuchukua viingilio vya watu, watu waende msibani bure.Huo ndio...
  19. JamiiForums Tanzania Priva ajichanganya kuelekea mechi ya Yanga

    Msimamizi Mkuu wa Digitali na Maudhui wa Yanga, Priva Abiud maarufu Privaldinho kupitia akaunti yake "X" amejisahau na kutumia picha ya Klabu ya Simba kwenye kuhamasisha mechi yao dhidi ya Mamelodi. Baada ya kugundua makosa, Priva aliifuta picha yenye mashabiki wa Simba na kuweka Picha yenye...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Eng. Hersi Said hili suala la kuweka kiingilio bure linaweza hujuma kubwa sana kwa Yanga. Vinginevyo jambo hili lifanyike

    Taarifa inasema kiingilio kwenye mechi yetu na Mamelody itakuwa bure Mzunguko. Sababu za uongozi zina mashiko pasi na shaka yoyote. Kwanza mechi itachezwa usiku sana halafu pili ni mwezi mtukufu wa Ramadhwani etc. But hatuoni kuwa Simba wanaweza kuingia pia uwanjani kwa wingi yakaja kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…