yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Kuna Mtu ameapa mahala na Kujiaminisha kuwa Chama anaenda Yanga SC na kama haendi afanyiwe Kitu ambacho hakielezeki Kiurahisi

    Nilishawaonyeni sana hapa kuwa msipende sana Kubeti au kutoa Ahadi hasa kwa Masuala yahusuyo Simba na Yanga kwani upo Uwezekano mkubwa wa kuja Kuumbuka mbele ya Safari. Kuna dalili za 99% naziona za Mtu Mmoja maarufu sana Mitandaoni Kuumbuka na Watu kutaka Kukitimiza kile ambacho katika Biblia...
  2. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums hawa Wachezaji hawatufai hivyo tuuombe Uongozi uachane nao upesi kwani ni Wabovu sana

    1. Khalid Aucho 2. Dickson Job 3. Ibrahim Baka 4. Djigui Diarra 5. Yao Kwasi 6. Aziz K 7. Pacome Zouzou Na sijui kwanini mpaka sasa bado hawajaachwa wakati Sisi wana Yanga SC wenyewe hatuwataki na tumewachoka.
  3. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums huyu Achraf Hakimi tuliyemsajili anachukua nafasi ya nani? Tuna Hela ya Kumlipa wakati Madeni yanatuumbua?

    GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC Tukuka nimefurahi mno Yanga SC kumsajili huyu Mchezaji na hakika Yanga SC yetu kwa Msimu ujao si tu kwamba inaenda Kubeba tena Kombe la NBC Premier League bali pia inaenda kuwa Bingwa wa CAFCL na tukienda katika Mashindano ya Vilabu duniani Yanga SC tena...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Rais wa Yanga Hersi Said anaweza kuwa ni mwanafunzi wangu wa soka?

    Unajua humu ndani tunachukuliana poa sana labda kwa sababu ya hizi ID feki. Kuna madogo ambao wanatakiwa wakupe heshma iliyotukuka ila kwa kuwa tunakutana katika nyuzi za soka tunachukuliana wote hamnazo. Miaka fulani nikiwa bado bwa mdogo nilishajijengea heshima fulani mitaani ya kusakata...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga tuachane na wachezaji wa Ghana kwa sasa ligi yetu imekua sana ...

    Wakuu. Nikiwa kama mwanayanga mbobevu ambapo ndugu zangu wote humu wananifahamu akiwemo comrade wa muda sana Tate Mkuu Binafsi natoa ushauri wa rais wetu Hersi . Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa ligi yetu imekua sana ushindani na ubora kuliko ligi nyingi sana hasa za West Africa. ⛏️⛏️...
  6. JamiiForums Tanzania Simba wamemchoka Chama hawana haja naye Yanga tumchukue

    Viongozi wengi hasa Mo Dewji amekataa kumlipa zaidi Chama. Na anasema amechoka na kelele za kuhusu Chama. Akina Magori wanaunga mkono. Aachwe. Mashabiki wengi wa Simba wamemchoka. Wamebaki wachache. Umri nao unaenda nadhani tumchukue Yanga. Miaka mingi tumemtaka Chama. Huu ndo wakati wetu sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi inapigwa, kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba

    Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia. Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
  8. JamiiForums Tanzania Kama haya ndiyo Mafanikio makubwa ya TP Mazembe kwa Soka la Afrika ambalo Yanga SC bado Wanajitafuta, walichokuja Kujifunza Kwao ni nini / kipi?

    Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe ana Makombe Matano ya CAFCL Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe ana Makombe Matatu ya CAFCC Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe amefika CAFCL Semi Finals mara 19 Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP...
  9. JamiiForums Tanzania Hakimi aitamani Yanga

    Unaambiwa analia sana huko Serengeti anataka kuja Yanga, anadai Mbappe na Halland pia wanaomba nafasi jangwani. Hatahivyo uchambuzi wa kihasibu unasema kuwachukua ni hasara kwani wataishia benchi au kikosi chapili kutokana na wakali Prince Dube, Clatus Chota Chama, Aziz Ki, Pacome na Guede...
  10. JamiiForums Tanzania Shabiki wa Simba aapa kujiua iwapo Chama akienda Yanga

    Shabiki wa Simba ameapa kujiua endapo mchezaji wa timu hiyo Chama atajiunga na Yanga kwa msimu 2024/2025. ==== Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
  11. JamiiForums Tanzania Wangapi tuko yanga ila kale Ka wimbo ka mnyama hana mpinzan huwa tunakaimba

    Yanga ni team ya ukoo wangu team namba moja naipenda yanga sana kama navyoipenda JamiiForums au pombe ila kuna kawimbo fulani cha simba huwa nakaonea wivu sana kakipigwa najikuta naimba. Sio leo toka zamani Mnyama hana mpinzan Hatushikiki Kiki Hatukamatiki kiki Watoto wa Dar Watoto wa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania ENG : HERSI achoma pesa za wanachama yanga , sema tutaongea akifeli

    UNA VISION KUBWA SANA, WE SUPPORT THAT , JUST MAKE SURE YOU SUCCEED. COST = SUCCESS yanga inaweza ingia kwenye madeni with nothing to show for it. kwa expenses yanga wameingia this year at least SEMI - FINALS.. good luck.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Yanga kama wanataka kutengeneza Tanzania galacticals +?

    yanga kwa tetesi tu za wachezaji. ni kama wanataka kualibu mpira wetu sasa. mid field ( chama, aziz, Aucho, mudathir, pacome, max, ndemla, farid, sure boy, Mkude, ) defence ( bacca, job, yao yao, lomalisa, kibwana, gift, Nondo captain, + 2 new defenders ) forward ( mzize, guede, dube, mpole...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Chama amesaini mkataba wa mwaka mmoja kwa mabingwa Yanga

    Taarifa kutoka kwa viongozi wa Clatous Chama wamedai kiungo Mshambuliaji wa Simba amefanikiwa kutia saini ya mwaka mmoja na Mabingwa wa ligi kuu ya NBCPL ambao ni Yanga. kwahiyo Chama msimu ujao tunaweza kumshuhudia akiwa ameva uzi wa njano na kijani akikiwasha inavyopaswa. Licha Chama...
  15. JamiiForums Tanzania Simba wakimpa thank you CHAMA ndio nitaamini wako serious na Mabadiliko, tofauti na hapo YANGA BINGWA 2024/2025

    Hizi kelele za Thank You ni kama zimemponya Mangungu, vipi ndugu zangu tuwape muda au bado libeneke liko palepale? Ngoja kwanza nicheke kikatuni Teh teh teh teh teh teh teh! Huyu mchezaji huwa anadhihakiwa sana na mashabiki kwamba kachoka na anaichomesha timu kwenye mechi muhimu! Sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Historia ya Yanga na Harakati za Kudai Uhuru

    Watu kadhaa wameniuliza ukweli kuwa kuundwa kwa Yanga mwaka wa 1936 ilikuwa mbinu ya kudai uhuru wa Tanganyika. Haya nimeambiwa yameandikwa katika kitabu cha historia ya Yanga ambacho kimetolewa hivi majuzi. Jibu langu kwao ni kuwa ushahidi wa historia ya kudai uhuru wa Tanganyika hauonyeshi...
  17. JamiiForums Tanzania Kipi kilichowavutia yanga kumsajili mchezaji huyu huku akiwa na rekodi mbaya ya kadi nyekundu?

    Huyu ni beki aliyesajiliwa na club ya Yanga ambae usajili wake unaweza kutangazwa muda wowote.Jambo lililoshangaza wadau wengi hasa Sudan kusini anakotokea ni kipi kimewavutia Yanga kumsajili huku akiwa na rekodi ya kuwa na kadi nyingi nyekundu?
  18. JamiiForums Tanzania Si tuna hela, sasa mbona huu ni mwezi Aziz Ki anatutoa jasho kumbakiza Yanga?

    Endeleeni tu kuyatumia Mafanikio yenu ya Tigo Pesa mliyoyapata ili kuficha Umasikini mkubwa na njaa iliyoko Kwenu.
  19. U

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi! Ngao ya jamii kwanini Simba na Yanga na Sio azam

    Habarini wanajamvini, nimechanganyikiwa na kutoelewa ni utaratibu Gani umetumika katika kupangwa mechi ya Ngao ya jamii. Nasikia kuwa mechi ya Ngao ya jamii itakuwa ni yanga dhidi ya Simba na sio Azam na hapo ndo ninapopagawa. Navyofahamu ngao ya jamii ni mechi kati ya mshindi wa Ligi na...
  20. JamiiForums Tanzania Piga kura mechi ya Yanga iliyokusisimua haswa ndani ya msimu wa 2023/2024

    Msimu umetamatika kwa wapenzi wa soka, yapo matukio yanayoumiza na yapo yanayofurahisha. Furaha za matukio huzidiana hivyo ipi kati ya mechi hizi tatu za Yanga ilikufanya uwe na siku bora zaidi kuliko siku zingine zote ndani ya msimu huu wa 2023/2024?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…