yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ukubwa wa usajili wanaoufanya Simba Sc kwa msimu wa 2024/2025, natangaza rasmi kurudisha kadi yangu ya Yanga na kuhamia Simba Sc

    Shalom shalom Mimi kama mkono mmoja pasi na kushurutishwa napenda kuitangazia jamuhuri ya watanzania kuwa nairudisha kadi yangu ya Yanga Sc na rasmi sasa hivi nakuwa mshabiki kindakindaki wa wana lunyasi Simba sc. Umafia unaofanywa na bilionea Mo na C.Magori si wa kitoto. Wachezaji wanaoletwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hatimaye Clatous Chama awaaga rasmi Simba, ajitambulisha kuwa Mchezaji wa Yanga

    Pia Soma - Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
  3. JamiiForums Tanzania Ugeni 'Umedoda' kwani haujawashtua wengi kwakuwa wenye kuujua mpira walitarajia lililotokea

    Kuna Timu itegemee Msimu ujao ukianza tu Wachezaji wake wengi kuugua kwakuwa watarogana sana kwa kukufuru. === Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini hadi sasa Simba haijatangaza kumuaga Chama kwa heshima kama wachezaji wengine?

    Wachezaji wengine wanaagwa, kwaninini Chama hadi sasa hajaagwa? Baada ya kuitumikia timu yetu kwa misimu mitatu, Henock Inonga Baka hatokuwa sehemu ya kikosi cha msimu ujao. Baada ya miaka mitano aliyodumu ndani ya klabu yetu mlinzi wa kati Kennedy Juma hatokuwa sehemu ya kikosi chetu...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga atatambulishwa nani usiku wa leo?

    Baada ya alfajiri ya Leo Yanga kumtambulisha mchezaji Bora na mkubwa sana clatus Chama. Sasa Yanga wamehaidi kumtambulisha mchezaji mkubwa. Tutabiri, je huyo mchezaji ni nani?
  6. JamiiForums Tanzania Yanga wafanya maandamano wakisherehekea kumsajili Chama

    ------------------------------------------------------------------------
  7. JamiiForums Tanzania Combination ya PCM ime balance Yanga Au kihasibu Yanga Sasa tuna CPA😅

    Ujio wa Chama utaleta mabadiliko makubwa. Ni Gamondi mwenyewe kuamua atumie mfumo Gani? Comb ya PCM , pacome, Chama, Max. Au kihasibu tuseme Yanga tumefuzu Kwa CPA. CPA Chama Pacome Aziz ki. Mbumbumbu Kwa combination hii mtakula za kutosha dadek. Shukran Kwa Eng Hersi Said. .yanga bingwa tena.
  8. JamiiForums Tanzania Kikosi Cha Yanga msimu wa 2024-2025

    1: Diara 2: Yao 3:Boka 4:Job 5:Bacca 6: Aucho 7 Pacome 8:Max zengeli 9 Dube 10: Ki Aziz 11:Chama Ratiba inasemaje sisi na wao lini??
  9. JamiiForums Tanzania Suala la Chama kwenda Yanga ( KIROHO)

    Words are instrument of creation. Maneno yanaumba. Kwa muda wa miaka minne mashabiki wa Yanga wamekuwa wakisema " Chama kasajiliwa Yanga, Chama kasajiliwa Yanga" Hatimaye Chama kasajiliwa Yanga kweli. Kwa miaka yote hiyo wakati mashabiki wa Yanga wakisema " Chama kasajiliwa Yanga" hawakuwa...
  10. JamiiForums Tanzania YANGA tumesajili mzee

    Mimi kama shabiki ndakindaki lia lia wa yanga Yani tumekosa wachezaji wote tukasajili mzee chama aisee Tunamengi ya kujifunza kutoka kwa Simba UBUNTU BOTHO
  11. JamiiForums Tanzania Manji anaidai Yanga Bil 11. Nchunga alipiga Kambi Brazil na Yanga mwez na akaondoka ameacha Mil 400

    Udhamini wa manji yanga unaleta maswal mengi sana. Na maswal yanakuja zaidi kwa kuwa wote wamekataa kufikiri wamemwachia manji na akilimali tu. Manji yeye ni kila kitu. Kwa lolote analotaka linakuwa.akisema flan asiwe mwanachama ghafla mtu huyo anapoteza uanachama. Manji anapofika kwenye kikao...
  12. JamiiForums Tanzania Usajili wa Chama kwenda Yanga -Yanga hamueleweki, sijui mna shida gani!

    Salaam Wakuu.. Nashangazwa na hizi kelele za midundiko na kukata viuno tunazopigiwa na wajuaji wa mitaa ya Twiga na Jangwani pale Kariakoo. Hawa wanashangilia leo kumsajili Chama, yule yule ambaye miaka yote walikuwa wakituaminisha ni mchezaji wa mechi ndogo. Ina maana huyu Chawa amegeuka...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Sasa tuone kama Simba itakufa

    Yametimia! Sasa tuone kama SSC itakufa au haitafanya vizuri kwa kutokuwepo na Chama. Nawaambia wapenzi wenzangu wa Simba kuwa sasa tufurahi kwani hakuna tena ubabaishaji eti bila fulani timu haichezi, sasa wasubiri tuone kama SSC haitacheza wala kushinda mataji! Hongera SSC kwa operation hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Yusufu Manji alikuwa zaidi ya Mwekezaji, zaidi ya Ndugu na zaidi ya Mwanayanga mbele ya Wanayanga wenzake

    Manji alikuwa zaidi ya Mwekezaji, Zaidi ya Ndugu, Zaidi ya Mwanayanga Mbele ya Wanayanga Wenzake. (1) Manji aliwahi kuwalipia Viingilio Mashabiki wa Yanga Mechi ya Yanga na TP MAZEMBE, Mashabiki na Wanachama Wakaingia Bure. (2) Manji Aliwalipia Viingilio Wanachama Wa Yanga kwa Ajili ya kwenda...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga wasijidanganye kwa Dube, watafute kinara wa Ushambuliaji

    Klabu ya Yanga inahusishwa kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Azam fc Prince Dube baada ya mchezaji huyo kumalizana rasmi na timu hiyo lakini hapo awali kulikuwa na tetesi nyingi sana kumuhusu Dube kujiunga na Yanga lakini pia Simba. Mimi naomba nishare nanyi kidogo kwa kile ninachokiona...
  16. JamiiForums Tanzania Safari 1- 4 Yanga

    Mzinze anamwaga maji tu Shekhan anatia vitu 😀 huyu dogo Mfaume aliyefunga goli la kwanza yuko vizuri sana. Engineer afikirie kumleta kikosi cha kwanza Mchezo upo Live TBC 1
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Prince Dube atia saini rasmi kuitumikia Yanga kwa miaka 2

    Baada ya Timu ya Azam kumalizana rasmi na aliyekuwa mchezaji wao Dube, taarifa ni kwamba Dube ameshatia saini kuvaa uzi wa Mabingwa Yanga katika kipindi cha misimu 2 kuanzia Msimu 2024/2025. Wadau wa Soka hapo vipi? ==== Pia soma: Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube
  18. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu tumkataeni Rais wetu Injinia Hersi Said kwani hajatueleza Yanga SC imepata Kiasi gani nje ya Kufurahia Makombe mbalimbali

    Kama vipi nipeni Saini zenu Wote ili tuitishe Kikao cha Kumjadili na Kumtoa na ikiwezekana tumuombe Mo atudhamini.
  19. JamiiForums Tanzania Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube

    TAARIFA Tunapenda kuutaarifu umma kwamba tumeridhia maombi ya Prince Dube kuvunja mkataba wake nasi, aliyoyatoa Machi 2024. Hatua hii inafuatia kitendo cha mchezaji hiyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoanishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba. Tunamtakia...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachezaji karibu wote wa Yanga wana Offer mezani

    Mzee wangu yupo karibu sana na yanga, kitu watu awajui ni kwamba. First 11 ya yanga. wote wanaoffer mezani. so usishangae PACOME- Al ahly, Aziz - pirates, Bacca -AS Far, SA , max - SA , job - Europe, Yao - morocco , lomalisa - SA, Diarra - morocco, hadi Aucho ana offer mezani.. i suspect...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…