yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Kama kujiuzuru kwa Ali Kamwe ni Sababu ya kurudi kwa Haji Manara, ni bora Manara aondoke Yanga

    Kama kujiuzuru kwa Ali kamwe ni Sababu ya kurudi kwa Haji Manara . Ni bora Manara aondoke Yanga Thread hii sehemu ya kuzungumza ukweli ikiwa Aki kamwe kujiuzuru ili haji Manara achukue nafasi yake usiungaishwe na thread zingine.. Taarifa iliyopo sasa A Good dancer must know when to Leave a...
  2. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani

    Hii Taarifa ina ukweli gani? Hiyo hata ningekuwa mimi, Mtu kaita Waganga wote kutoka Rufiji waje wamzindike halafu uendelee kushangaa, labda kama hujitaki === Ally Shaban Kamwe baada ya kuhudumu kwa misimu miwili kama Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC ,leo ameandika barua...
  3. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC hapa JamiiForums mmemsikia lakini mwana Yanga SC Mwenzenu Mchambuzi Oscar Oscar kuhusiana na Jezi zenu mpya za Msimu huu?

    "Yaani kila nikitaka tu kusema Jezi za Yanga SC ni nzuri kuna Akili inaniija na kuniambia niachege Ujinga" Oscar Oscar.
  4. JamiiForums Tanzania Kwakuwa Uongozi wa Simba SC mmekataa kabisa kumuacha 'Mchovu' Onana sasa naiombea Yanga SC Ushindi mnono katika Derby yetu nao

    Kila Siku GENTAMYCINE naimba hapa JamiiForums kuwa muacheni Onana hamnisikii sasa nataka Derby tufungwe tu.
  5. JamiiForums Tanzania Yanga anaanda kikosi Cha CAFCL, niwatoe hofu Simba tarehe 8 leteni timu msiogope Wala Yanga hawana tatizo na nyie, sisi ni ndugu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nikimnukuu kocha wa Yanga alichosema baada ya kumalizika mchezo huko Kwa Madiba Gamondi "You know Yanga & Simba are friends,so here in South Africa I prepare my team because of CACL,iam not here for Simba,So let I assure the Simba fans, we're brothers...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Yanga vs Kaizer Chief ilikuwa mechi ya kuuzia jezi na kuujaza uwanja wa Mkapa trh 4

    Kaizer chief hata Liwale FC hawaifungi, quality ya wachezaji na namna wanavyocheza unaona kabisa pale hakukuwa na ball. Shabiki mmoja tang asbh kashika bango likisema Even Jesus can not save Kaizer Chief. Mmefanikiwa sana, jezi mtauza na uwanja mtajaza trh 4. Fanyeni kila mnaloweza lkn this...
  7. JamiiForums Tanzania Makolo wenzangu tukutane hapa, tuendelee kujadiri jezi za Yanga au tujipange kuwakabili

    Kaizer Chief kafa 4 bila kwao, naogopa tuendelee kujadili jezi au tujadili namna ya kuwazuia wasitudhalilishe?
  8. JamiiForums Tanzania CHADRACK BOKA yuko Yanga "Kimagumashi"

    Nyota mpya wa klabu ya Yanga Sc, Chadrack Boka bado hana uhalali wa kuwatumikia waajiri wake hao wapya baada ya klabu ya FC Lupopo kushindwa kuipatia Yanga Sc Cheti cha Uhamisho wa Kimataifa (ITC) huku ikibainika kuwa FC Lupopo sio mmiliki halali wa nyota huyo raia wa DR Congo. Klabu ya AC Real...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga punguzeni sifa

    Mimi ni simba damu na nakubali mlitupiga kono la nyani aka hamsa. Ila sasa mnachokifanya ni sifa zilizopitiliza kuweni na utu na huruma japo kidogo. Ndio nini kutuwekekea kono la nyani kwenye jezi zenu mpya. Daah nilitaka kununua jezi zenu kwani ni kali balaa ila nilivyoona hamsa hamsa na...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa kitendo hiki, Yanga wameamua kuolewa na Simba sc

    Hapo vip!! Kwanza naomba Admin tafadhali acha ku edit kichwa cha habari cha hii thread tafadhali. Moja kwa moja kwenye mada husika. Kuna msemo unasema kilicho kidhaifu huiga kilicho na nguvu..au kilicho kibovu huiga kilicho boro. Sasa kitendo cha yanga kutumia rangi nyeupe ya Simba sc ni...
  11. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wamepekua jezi za Yanga wakaona mkono na tano ila wameshindwa kuzipekua jezi zao wakaona 1 5

    Jezi za Simba zilitangulia kutoka kabla ya jezi za yanga, mashabiki wa Simba walisifia ubunifu ila kasoro ikawa ni neno SANDA peke yake. Sijajua mbunifu wa jezi za Simba aliwaza nini kuweka 1 5 kwenye jezi za Simba lakini uzuri hakuna aliyechukulia hilo kama nia mbaya ama mashabiki wa Simba...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lini Sheria Ngowi utaacha kuchora vikatuni na makorokoro katika jezi za Yanga? Jezi za Yanga ni mbaya balaa.

    Salam. Aisee nimekuwa nikimpa udhuru huyu designer wa jezi za Yanga kwa kudhani labda atajirekebisha katika siku za usoni ila wapi! Jezi nzuri duniani ni zile ambazo hazina mambo mengi, ni plain na simple tu ila kwa huyu designer wa Yanga ni tofauti aisee. Kwake jezi lazima aweke vikatuni...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga yavunja rasmi utamaduni wake wa jezi

    Hawa Gen-Z ndiyo wanachukulia poa ila utamaduni wa Yanga miaka yote ilikuwa ni marufuku kushobokea rangi nyeupe au nyekundu. Hawa jamaa ilikuwa manjano na wao na wao na manjano. Kama ni mfuatiliaji mzuri utaona miaka ya hivi karibuni walianza taratibu kutoka huko. Wakaanza kuonyesha waziwazi...
  14. JamiiForums Tanzania Tumalize utata: Jezi ipi kali msimu huu kati ya Yanga na Simba?

  15. N

    JamiiForums Tanzania Jersey mpya za Yanga Africa SC msimu wa 2024/2025

  16. JamiiForums Tanzania Hivi huyu jamaa ni nani? Naona picha yake inatrend!

  17. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna sababu ya Haji Manara kufosi kupewa ajira Yanga. Abaki kama Shabiki, Mdau na Mwanachama akipenda

    Hizi akili za kudhani ni lazima awe na ajira Yanga hazifai kabisa. Kila shabiki na Mwanachama akitaka kupata manufaa Yanga ni fikra za kinjaa njaa sana
  18. JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga vs kaiza chiefs, tiketi zote SOLD OUT, wa south wana hamu ya kuitazama Yanga

    Mechi ya Yanga na Kaizer chiefs imevunjwa record ya soccer la south Africa kuuzwa zote kabla ya siku mbili ya mchezo. Unaambiwa mtaani watu wa South Africa wanahamu sana kuitazama team kubwa Africa Young Africans Wanataka wamuone Aziz ki, Chama, mudathir n.k Hii team ya Young Africans...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Designer wa Jezi za yanga chali . Kila design mbovu Ameludia sana . Investors weren’t happy

    All in all Sheri ngowi kazini kwake kuna kazi . Baada ya simba kuchukua designers wake wa jezi . Jamaa kila design mpya ni mbovu . Amerudia sana Jezi mpya . Inshort sio talent yake anatafuta pakutokea . New Jersey is late because investors weren't impressed with Jersey's design. Sheria Ngowi...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Designers wa jezi za Yanga wapo Simba

    Competition is good for business. I will be short as usual The real yanga jersey designer was not sheri ngowi but his trustee workers. So these workers are now hired in simba under sandaland leaving sheri ngowi seeking new talents in Jersey design. in short he is struggling to design a new...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…