yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Yanga karibuni ukubwani

    "Hali hii ni mtihani wa kweli wa tabia, Vumilieni, kwani mafanikio yanakuja kwa wale wanaojituma. Ushindi sio mwisho, na kushindwa sio mwisho; ni ujasiri wa kuendelea. Maumivu ya leo ni nguvu ya kesho. Katika ushindi na kushindwa, pamoja tutashinda." -"Siyo kila siku ni sikukuu."
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yanga hatulalamiki, wala hatutumi wazee waitishe press

    Sisi Yanga tumefungwa, lakini tumeridhika Makando kando yalikuwepo Tumepewa red card ♦️ dakika ya 26 Maamzi ya mwamzi yalitukesesha ushindi Ila tumechukulia kama sehemu ya mchezo na kukubali matokeo na kujipa muda wa kujiandaa Kwa michezo ijayo Lakini wenzetu Leo wangeamka na malalamiko na...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Sekunde 47 za Simba na dakika 3 za Yanga, zipi nyingi?

    Kwenye mechi kati ya Mashujaa na Simba ziliongezwa dakika sita baada ya kukamilika muda wa kawaida wa dakika 90. Ndani ya dakika 6 za mchezo Mashujaa wakawa wanapoteza muda na kusababisha Mpira kuendelea na Simba kufunga goli sekunde 47 baada ya dakika 6 zilizoongezwa. Yanga wakalalamika Sana...
  4. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

    ⚽️ Young Africans SC🆚Azam FC 📆 02.11.2024 🏟 Azam Complex 🕖 12:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Azam FC Mpira umeanza Dakika ya 3 Yanga SC wanashambulia kwa kasi Dakika ya 5 Dube anakosa nafasi ya wazi Dakika ya 14 Max anafanyiwa madhambi Dakika ya 17 Aziz k anakosa nafasi ya wazi...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vipi tuendelee Kuchekana baada ya Matokeo ya Leo au sasa kila Mtu ashike Adabu zake na ajue kuwa Mpira huwa Unadunda?

    Yanga SC Kamfunga Simba SC Simba SC Kamfunga Azam FC Azam FC Kamfunga Yanga SC Imeisha hiyo.
  6. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Yanga kumkosa Aucho mechi ijayo wanaweza kulizwa tena

    Kwanza poleni sana mashabiki wa nyuma mwiko kwa kipigo ilikuwa ni suala la muda TU, mmebebwa vya kutosha Leo ilikuwa hakuna namna mmegongwa!! Kadi ya Khalid Aucho ( ya njano ) aliyopata Leo ni wazi mechi ijayo hatocheza.....bila kupepesa huyu ni mchezaji muhimu sana kwenye timu yenu pengine...
  7. Metronidazole 400mg

  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awapongeza Azam Fc kwa Ushindi dhidi Ya Yanga.

  9. M

    JamiiForums Tanzania AZAM TUNAWAPONGEZA KWA USHINDI, GSM AWEZI KULAUMIWA LEO KUWA ANAHARIBU LIGI KWA KUWA YANGA KAPOTEZA, BASI TUISHI HUMO!

    Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu! Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Si tulisema hatufungwi na Uwanja wa Chamazi ni wetu Kinyota je, leo imekuwaje?

    Asante Mungu
  11. L

    JamiiForums Tanzania Djibril Sulla AIP Didy Yanga

    Ubaya ubwela, wamefanyiwa u P Didy mbaya sana leo, kudadeki
  12. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe Ashindwa Kujieleza Baada ya Mechi ya Yanga na Azam 🤣🤣

    Amesikika akishindwa Kumalizia Sentensi na Kuishia Neno Hatu baada ya Kipigo kizito kutoka kwa Azam.. https://x.com/Roma_Mkatoliki/status/1852758396245799166
  13. M

    JamiiForums Tanzania Azam tunawapongeza kwa ushindi, GSM awezi kulaumiwa leo kuwa anaharibu ligi kwa kuwa yanga kapoteza, basi tuishi humo!

    Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu! Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naacha kabisa Siasa

    Baada ya kutafakari kwa kina .nimeamua kuacha kabisa na siasa. 1. Nimesikiliza na nimesoma historia ya siasa ktk vitabu na nimewaikiliza wanahistoria nimegundua madaraka matamu, kumuondoa mtu ktk madaraka mtu ni kazi kubwa sana na unahitaji kujitoa muhanga 2. Nimehundua pia unaweza kuwa chawa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania YANGA wamejiteka au wametekwa?

    Leo kabla ya mechi ya Azam yanga walisema wanaenda kuteka. Baadae wakaja kusema kuuteka uwanja. Sasa leo wametekwa au wamejiteka
  16. Magical power

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Unateswa na Mapenzi afu ukigeuka huku Unateswa na YANGA 😭😭😭😭😭😭

    Unateswa na Mapenzi afu ukigeuka huku Unateswa na YANGA 😭😭😭😭😭😭
  17. Magical power

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Unateswa na Mapenzi afu ukigeuka huku Unateswa na YANGA 😭😭😭😭😭😭

    Unateswa na Mapenzi afu ukigeuka huku Unateswa na YANGA 😭😭😭😭😭😭
  18. Magical power

    JamiiForums Tanzania Unateswa na Mapenzi afu ukigeuka huku Unateswa na YANGA 😭😭😭😭😭😭

    Unateswa na Mapenzi afu ukigeuka huku Unateswa na YANGA 😭😭😭😭😭😭
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yaani bora kidooogo uwaamini Singida Black Stars FC ikicheza na Yanga SC kuliko Wanafiki wa leo Azam FC

    Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano. Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
  20. GENTAMYCINE

Back
Top Bottom