yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi wa Gamondi ni anguko la Yanga

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Binafsi Jana sijashangazwa na matokeo na kipigo kikali kutoka Kwa Tabora United,hilo nililitarajia baada ya kuona Line up kabla ya mechi!,Kitendo Cha kumuanzisha Aziz Ki kwenye mechi ile niliamini kabisa kipigo hakiepukiki! Gamondi ni Kocha mwenye...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nashauri coach Gamondi atupishe

    Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga nguli kabisa, Napendekeza Gamondi apishe fasta Gamondi ulikuwa moto wa mabua Sasa makocha wa bongo wamestukia mbinu zake, itakuwA ngumu kushinda 1. Gamondi ni kocha wa mbinu Moja. Kila siku anakuja na hiyo mbinu ya kupitisha penetration pass, Ukimbana...
  3. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania TFF mulikeni refa wa jana hafai kuchezesha mechi za yanga hakuficha mapenzi yake kwa yanga hadharani!

    Watu wasisahaulishwe na yanga kufungwa jana ila yule refa hafai katika ligi kuu haswa mechi zinazohusisha timu yake ya yanga tangu dakika ya kwanza mpaka inafika 44 refa amekwisha wapa nusu ya timu ya tabora united kadi za njano na kuizawadia yanga penati baki ya faulo kama kumi na baki ya hapo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yanga ya sasa ikikutana na Simba hii itafungwa goli hata 11

    Nimeangalia mwenendo wa Yanga inaonyesha kiwango kinazidi kushuka kwa kasi kubwa sana, hata inaposhinda unakuta inashinda kwa kupambaaaaana kama bao la mzee, kagoli kamoja. Hata game ile aliyocheza na Simba tuwe wa kweli maana ingechezeshwa na refa makini kama Aragija Simba ingeshinda kwa goli...
  5. Inside10

    JamiiForums Tanzania Yanga Yaitisha Kikao Cha Dharura Usiku Huu, Gamondi Kikangaoni

    Saa chache baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya Tabora United, kimeitishwa kikao kizito cha Kamati ya Utendaji cha pili kwa siku kikimjadili kocha wa timu hiyo Miguel Gamondi. Mapema leo asubuhi Yanga ilikuwa na kikao cha Kamati ya Utendaji lakini kimelazimika kurudiwa tena usiku kwa...
  6. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Kaizer Chiefs Wanaitaka Yanga ya 22/23 kwa Nguvu Zote

    Kaizer Chiefs wameshamchukua Nabi, na sasa Kaze na bado wanamtaka sana Mayele na Aziz Ki kwa gharama zozote zile. Inaelekea Yanga ya 22/23 ilitisha sana
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

    Mechi: Yanga SC VS Tabora United Ligi: NBC Premier League Uwanja: Azam Complex Tarehe: November 7,024 Muda: 🕖 6:00PM Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa. Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana. Dakika, 19 Tabora...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mtego umewanasa, Yanga tukianza kushinda hatutaki visingizio

    Visingizio vilizidi, naamini Sasa Kwa huu mtego tulioutega wabaya wamenasa Lawama za GSM anadhamini timu nyingi, Yanga ananunua mechi, Kujidunga shindano, Kuhonga marefa Sasa mmeona wenyewe Yanga tunafungwa mara mbili mfululizo. Tumepewa kasi zimetugharimu Majeraha n.k Haya yote yametokea...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Apongezwe Mtu wa Yanga SC aliyetoa siri kwa Watu wa Azam TV kuwa Yanga SC inatumia Dawa za Kuongeza Nguvu katika mechi zake

    Na leo waliogopa kuzitumia kwakuwa Watu wa Yanga SC walitonywa kuwa huenda TFF ikawashtukiza kupitia Watumishi wake kadhaa kufanya Uchunguzi Wachezaji wao. Kitendo cha mwana Yanga SC huyo mwenye Ushawishi mkubwa katika mpira wa Tanzania kuchoka Kutengwa na Mtu aliyemuamini (Rais wa Yanga SC)...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mchezaji gani kwa Sasa unadhani hafai kuendelea kuichezea Yanga?

    Kwangu Mimi hawa wachezaji Yanga iachane nao. 1. Baleke 2. Dube 3. Diarra 4. Aziz Ki 5. Nkane
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Yanga jifunzeni Kwa meli ya Titanic. Mungu huchukia maapizo.

    Wakati meli ya Titanic inazinduliwa, walioijenga walisema kuwa ile meli haitazama Kamwe (unsinkable) Historia inaonesha kila aliyepanda ile meli alikuwa na Imani nayo kubwa Sana kuwa haitazama. Lakini mwisho wa siku ilizama na kuua watu kadhaa. Yanga nao mpaka wakatuga na wimbo kabisa kuwa...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa kina kwanini Yanga amefungwa mechi mbili mfululizo na kucheza chini ya kiwango

    Yanga wanaonekana wana wachezaji wazuri lakini pia wana kocha mzuri. Ni sababu zipi zimepelekea afungwe mechi mbili mfululizo. Alifungwa na Azam goli 1 kwa 0 mechi ya tarehe 2 November 2024. Leo tarehe 7 November 2024 tumeshuhudia Yanga anafungwa goli 3 kwa 0 zidi ya Tabora United. Hili jambo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rai Kwa Yanga kuwakemea Baadhi ya Wachezaji, Nidhamu ni Tatizo

    Hii ni Rai kwa wanywa 'thupu' Yanga kuwakemea baadhi ya Wachezaji kwani nidhamu inaonekana ni Tatizo Hili ni angalizo La Mapema kwa Yanga. Eneo La nidhamu Limeonekana kulegalega katika Michezo ya hivi karibuni kwa baadhi ya Wachezaji wameonyesha Kiwango cha chini Sana cha Nidhamu. Jambo hilo...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Matawi ya Simba na Yanga kugeuka vikundi vya kufa na kuzikana, imekaa vizuri

    Aliyebuni hiki kitu,mbinguni moja kwa moja Sehemu ninayoishi kuna mashabiki wengi sana wa Simba,mashabiki wa Simba kwa pamoja wana kikundi chao kiingilio ni 5000 na michango ya 1000 kwa mwezi. Mwamba mmoja miongoni mwao alifariki na hana ndugu huku. Simba waliubeba msiba kama wao hakuna kitu...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga kufungwa na Azam kumeiongezea umakini na makali

    Yanga ilifungwa na Azam lakini wanaYanga wanaona poa tu. Kufungwa huku sio udhaifu bali ni mwanzo wa wachezaji na walimu kuongeza umakini na juhudi kwenye mechi. Bila ya hivyo kiburi na kujiamini kulikopitiliza kungetamalaki kikosini. Hata wasanii wa hovyo walitunga nyimbo za kuwaaminisha...
  16. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Gamondi ashauriwe aache kiburi na chuki binafsi kwa Wachezaji!

    Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kumekuwa na tabia ya mashabiki hoya hoya wa Yanga ambao wengine tunapojaribu kutoa ushauri nini kifanyike wamekuwa wakitishambulia! Ni shabiki mjinga na mwehu pekee ambaye anaona Yanga ya Msimu huu inacheza vizuri kuliko ya msimu uliopita! Binafsi...
  17. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Yanga imenifedhehesha sana

    kama manvyojua mimi ni Yanga ndani ya jamii ya makolo; ndugu zangu wote ni kolo tupu. Yanga ilipofungwa na Azam, ndugu zangu walinizomea sana na kudhani kama vile wao ndio wameshinda. Nikawaambia kuwa bado sisi tuna mchezo mmoja na tunaongoza ligi lakini hawakunisikiliza, yaani wao walifurahia...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Porto:Nani aambiwe Ukweli Kaiser Sio Yanga

    Aliyekuwa kocha wa Al Ahly ya Nchini Misri ambaye kwa sasa ni Kocha wa Esteghlal FC ya Nchini Iran Pitso Mosimane amesema kocha Nasreddine Nabi hajaambiwa ukweli kuhusu ligi ya Nchini Afrika ya Kusini Kocha Pisto Mosemane amesema "Nabi anapaswa kuambiwa ukweli.. Ligi ya Afrika Kusini ni ngumu...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa hapa nchini hakuna kiungo fundi wa mpira kumzidi Gerson Gwalala wa Coastal Union

    Anaitwa Greyson sijui Grayson Gwalala kiungo mkatashombo wa Coastal Union ya Tanga, jana amekuwa man of the match kwenye mechi dhidi ys Singida Big Stars yenye viungo wa kimataifa waliooonyesha ufundi wa hali ya juu wakati wa mechi dhidi ya Yanga, dogo huyu wala hastahili kukosa national team...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Harmonize mshitaki Tundaman kwa kukuharibia wimbo wako " Yanga hii inafungwaje"

    Tundaman kwanza nani alikudanganya wewe ni msanii wa muziki? Ni kwamba hata kutoka kwako kwenye game ulitoka kwa sababu kaka zako akina Heri Mzozo wali wa persuade akina Chidy Benz wasaidie kukutoa lakini huna kipaji chochote cha kuimba muziki wewe. Unaweza kuimba nyimbo za maombolezo...
Back
Top Bottom