yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Hesabu za Yanga kwenda robo fainali ni hizi hapa, nje ya hapo hatoboi

    Yanga kabakiza mechi 4. Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani. Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini. Anatakiwa kupata sare mechi 1. Akiwa na point 10 anaenda robo fainali. Matokeo ya jana sio mwisho wa safari ya Yanga kwenda robo. Pia leo aombee sana sare ya Mazembe Vs Al hilal.
  2. JamiiForums Tanzania Tathmini fupi mechi ya mc Alger Vs Yanga

    Mchezo ulikuwa mzuri timu zote zilicheza Kwa mipango mizuri Coach Saed umekuja Kipindi kigumu, nashauri upweke muda Nampongeza coach Saed Ramovic ameingia na mbinu nzuri kiufundi Tatizo la coach anakosa mamlaka hajiamini kabisa Nimeshangaa sub ya Aziz ki kutoka mapema vile Coach Saed...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Eng. Hersi anatumia Yanga kujijenga yeye na siyo kuijenga Yanga

    Katumia platform ya Yanga kujulikana CAF, kuongea na vilabu vikubwa vya Ulaya, kukutana na wachezaji wakubwa, n.k, lkn Yanga inazidi kudorora na kuporomoka. Yanga ni ya kushindwa kuvuka makundi kweli? Ndiyo! Yanga haitavuka makundi, kwasabb mchezo ujao atakuwa DR Congo kucheza na TP Mazembe...
  4. JamiiForums Tanzania FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

    Tyee!!! Leo nimewahi kuanzisha thread. Watakaonuna na wanune. Nastahili kupongezwa kwa mafanikio haya: Mpira umeanza dakika 20 zilzopita. Ingawa MC Alger walianza kwa kasi sana wakituhsmbulia kwa nguvu sana, tuliwadhibiti na hadi sasa bado tuko level ground ya NUNGE-NUNGE. Pacome kapata...
  5. JamiiForums Tanzania Je Yanga tumeacha utamaduni wetu wa kutoa misaada siku za mechi?

    Ni kama mechi kadhaa sasa sijaona ule utamaduni wetu wa kutoa misaada kwenye vituo mbalimbali vya wahitaji. Je inaweza kuwa sababu ya matokeo mabaya tunayopata?
  6. JamiiForums Tanzania Yanga msimfukuze Side Mnyamwezi. Ana kitu mtafika mbali

    Huyu kocha wenu mpeni muda. Atawafikisha mbali
  7. JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga achia ngazi

    Ni muda sahihi kwa Eng. Hersi kuachia ngazi hapo Yanga. Kitendo chako cha kumfukuza Kocha Gamondi kama vile una fukuza mke wako bila kuiheshimu Club kubwa Yanga kuwa ni taasisi na kutuletea kocha la hovyo. Lisilo na CV, wala Record yoyote sasa shida yake ndio hii. Kila mechi ni kufungwa tu...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Husimkatie mtu tamaa (mechi ya yanga klabu bingwa)

    Katika kibanda umiza nimekutana na ujumbe maridhawa unasema usimkatie mtu tamaa,ikiwa ni maandalizi ya klabu bingwa yanga huko Algeria, karibuni tujadili tusimkatie mtu tamaa. Kwako mwalimu kashasha
  9. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zapewa heshima kwa mafanikio na mchango katika kukuza chapa ya Ligi Kuu Bara

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa zawadi kwa klabu za Simba na Yanga kama ishara ya kutambua mchango mkubwa katika kutangaza na kukuza chapa ya Ligi Kuu Bara ndani na nje ya bara la Afrika kutokana na mafanikio ya klabu hizo kwenye michuano ya CAF kwa ngazi ya klabu.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Yanga kufungwa na MC Alger leo,Simba itacheza kesho na Constatine

    Habari za asubuhi wana jukwaa natumai mmeamka salama kabisa na tayari mmeshafanya maombi kwa Mwenyezi Mungu juu ya mahitaji binafsi. Kichwa cha habari kinahitaji elimu ya darasa la nne tu kukielewa kwa ufasaha,utopolo fc msikurupuke kama mwanasheria wenu Patrick Simon bali mnapaswa muwe na...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga waongeza Kocha wa Viungo kwenye benchi, Behlulović ni chaguo la Kocha Ramovic

    Young Africans SC imetangaza Adnan Behlulović kuwa kocha mpya wa mazoezi ya viungo pamoja na Taibi Lagrouni! Soma, Pia: Kocha wa viungo wa Yanga SC, Taibi Lagrouni hajasafiri na timu baada ya kutokubaliani na baadhi ya mazoezi na program na kocha mpya Sead Ramovic Huyu ni chaguo la Saed...
  12. JamiiForums Tanzania CCM na Chadema VS Yanga na Simba: Ukisikia yala ujue imempata, alielenga ana shabaha hajafanya makosa

    Habari zenu wanaJF wenzangu Leo mimi kama mtanzania mwenye haki ya kutoa maoni, nimekuja kutoa maoni yangu na kuweka sawa historia kuhusiana na swala la michezo pamoja na siasa zetu hapa nchini. Kabla ya kuendelea na mada yangu, naomba nikiri tu kwamba kwa sasa michezo imekuwa ikipewa...
  13. JamiiForums Tanzania Kocha Yanga: Tutacheza kwa Nguvu na Kasi ya Ajabu

    “Yanga wana historia kwenye uwanja tutakaotumia kesho, walipoteza mchezo wa Fainali hapa kwa kanuni lakini naamini walishinda mioyo ya wapenda mpira hapa Algeria, kesho ni siku nyingine na tutakuja na nguvu na kasi ya ajabu ya kutaka kushinda tena" My Take 😂😂😂😂😂
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yanga ndio klabu pekee kutoka Tanzania imewai kupata ushindi kwenye nchi za kiarabu hivi karibuni ndani ya dk 90 kama ipo nyingine tutajie!

    Ni Yanga pekee imefanya hivyo kuondoka na ushindi kwenye ardhi ya waarabu Tena kwa swaga! Iliwachapa Club African ya Tunisia goli 1 kwa mtungi kisha ikawachapa USM Algiers goli 1 kwa mtungi nyumbani kwao Algeria! Tukumbuke kushinda ugenini ni jambo Moja na kushinda kwenye nchi za kiarabu ni...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga, Simba na Azam zapata shavu Russia

    Klabu za Simba, Yanga na Azam zimepata fursa ya kucheza mechi za kirafiki na klabu za Ligi Kuu ya Russia, pamoja na kuweka kambi katika kipindi cha mapumziko ya ligi. Fursa hiyo imepatikana kutokana na ziara ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro nchini humo na alikutana na...
  16. JamiiForums Tanzania CAG wa Usajili kwa Clubs za Simba na Yanga

    Tunapoelekea nusu ya msimu mimi Mkaguzi Mkuu wa Sirikali. USAJILI WA DUBE Wanachama waangalie jambo hili wakiwahoji viongozi wao. Hizo Milion 700 za kumnunua Dube alikula nani? Tunapoangalia katika misimu ambayo Dube amechezea Azam ni minne. Ambapo ameibuka na magoli jumla 32. Wastani wa magoli...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga yawafuata Waarabu ikiwa fulu mkoko

    Kikosi cha Yanga kimeondoka leo Jumanne Desemba 3, 2024 kuelekea Algeria kwa ajili ya kuivaa MC Alger katika mchezo wa kundi A michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga inaenda kwenye mchezo ikiwa na kumbukumbu mbaya ya kupoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Al Hilal nyumbani lakini wakijivunia...
  18. JamiiForums Tanzania Aucho, Mzize na Boka warejea kikosini kwa mchezo wa pili dhidi ya MC Alger Ligi ya Mabingwa Afrika

    Kiungo mkabaji wa Yanga SC Khalid Aucho, Clement Mzize na Boka wamejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 25 kitakacho safiri leo Alasiri kuelekea nchini Algeria kwaajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger utakaopigwa Disemba 7 2024. Wachezaji...
  19. JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga imemtaka Ahmed Ally kuomba radhi kwa matamshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) na wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10

    Klabu ya Yanga imemtaka Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC , Ahmed Ally kutoka hadharani na kuomba radhi kwa matanshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) mbali na hili wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10 Kauli ya Ahmed iliyosababisha haya 👇 “Pacome amemaliza mkataba tukiona anafaa...
  20. JamiiForums Tanzania Man city wanapaswa kujifunza kutoka kwa Yanga, Waonane na Eng. Hersi kabla mambo hayajazidi kuharibika

    Kwa kawaida baada ya timu kupitia mafanikio makubwa mfululizo huwa kuna hali ya wachezaji kurelax na kucheza kwa mazoea wakiamini ubingwa unapatikana kirahisi, Ukiachana na suala la umri wa wachezaji ambao mara kadhaa hutumika kama kisingizio, Ila ukomavu kifikra na uzoefu wa mchezaji ni jambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…