Leo jioni KMC Complex wamekamatwa vijana wanaodhaniwa kuwa ni Yanga wakiwa na vifaa vya kufanyia ushirikina. Hii inaelezwa kuwa maandalizi ya kuelekea mechi ya kesho dhidi ya KMC.
Zana hizo ni pamoja na sanda ya mtoto, wanja, vijiti, spray, vijiti nk
Mshambuliaji wa @singidablackstarssc akiri wazi kutamani kucheza @yangasc kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo na Rais wa @yangasc @caamil_88
"Yanga ni nyumbani kwangu Rais wa Yanga ni kama Baba kwa yote aliyonifanyia naamini siku moja nitacheza Yanga kwa mafanikio zaidi.
Yanga ni nyumbani, hata...
Naamini kabisa kuna watu wanafanya biashara kupitia hawa wachezaji. Chama huyu ndo alisajiliwa kwa zaidi ya Million 500? Kuna mambo yanaumiza sana wapenda mpira. Watu waliungiza Uongozi chaka.
Kuna wakati utamsikia Mtu anakwambia Tanzania kuna Washabiki wengi wa mpira wa miguu,hii si kweli hata kidogo bali Tanzania kuna Usimba na Uyanga usiohitaji hata kushabikia mpira wa miguu au soka.Kwa hali hii ningeshauri kufanyike ubunifu zaidi wa mapato kupitia utajiri huu wa wafuasi...
Sasa hivi kinachoendelea katika ligi yetu sio kitu cha kawaida, sio tena uwezo wa kocha wala wachezaji, ndio maana unaona kocha anafukuzwa leo na kesho timu inapata matokeo kama kawaida, kocha wala sio ishu hapa bongo, ishu iko kwa wataalamu wetu wanaojua kuchomeka vijiti kwenye mageti, golini...
Bila kupoteza muda yafuatayo ni mapungufu ya club ya Yanga yanayopelekea ipate wakati mgumu uwanjani hasa inapocheza na timu zinazojitambua na zenye kutumia mfumo wa kujilinda.
1. Beki za pembeni zina mapungufu kwenye kushambulia. Mtazame Zimbwe halaafu linganisha na Boka utagundua Zimbwe is...
Kwa nini mara nyingi uwanja anapocheza Uto ukidhibitiwa vizuri, Uto hawatoboi?
Nimejifunza hivyo pale Azam Complex ambapo ikabidi wakimbie. Hata jana pale kwa maafande naambiwa jeshi lilisimama imara.
Leo mtani wetu klabu ya Yanga imetimiza miaka kadhaa tangu kuanzishwa,,
ingawa imeangukia siku mbaya baada ya Jana kuangukia pia baada ya kutoa sare na Jkt ya masau bwire ila ndio hivyo maisha lazima yaendelee TU hakuna namna.
Nawaza TU hapa sherehe na shamra shamra zitafanyika kweli??, au...
Hizi teams ambazo hazidhamini na GSM huwa zinaiwekea sana ngumu Yanga. Na hasa kama hakuna wachezaji au kocha ambaye ni Yanga. Team inacheza kama vile inataka kupata sifa.
Mi nashauri ili tuendeleze ule ushindi wa 4,5,6 basi GSM apewe teams zote kudhamini. Maana kwenye huu umoja wa teams...
Huu uwanja tuupige vita, yaani wanalinda wanajeshi usku na mchana, hata taratibu zetu za jadi tumeshindwa kuziingiza na kuzichimbia uwanjani...
Hawa jamaa usiku kucha wanalinda kwa mabunduki. Tusikubali timu nyingine itumie uwanja huo kama nyumba ni, hatutachukia ubingwa
Zinarudi zote na zinaweza kuzidi,
Kocha mpya wa Yanga itamchukua muda mrefu kuingiza kikosi kwenye mfumo wake, Motivation ipo chini, wachezaji wamechanganyikiwa kubadilishwa makocha kila leo, Mindset za wachezaji wanajua kocha mpya anatimuliwa muda wowote.
Unahitaji akili za kawaida kabisa...
Habari wakuu
Nimewahi kuleta nyuzi kadhaa humu jukwqani za utabiri mfano "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa
Mwanzo wa msimu niliandika huu uzi kuhusu JKT Nimeuelewa ukuta wa JKT unatisha...
Mpira una njia na taratibu zake, hakuna maajabu yanayoweza kutokea tena baada ya uongozi wa Yanga kurudia kosa kwa mara ya pili mfululizo. Timu ilifanyiwa mabadiliko ya benchi la ufundi kwa kuja Ramovic, timu ili struggle kwa mechi kadhaa ila ikaja kutulia baadae, bahati nzuri mechi za klabu...
Hamdi Kocha wa Yanga
"Ukiwa unafukuzia ubingwa ni ngumu kukaa kileleni, ni bora kukaa nafasi ya pili ukiwa unampumulia kinara wa ligi, narudia tena hakuna kazi ngumu kama kukaa kileleni"
"Halafu leo sijapendezwa na refa, muda wote alisimamisha mchezo na kupoteza muda"
Mabingwa wa muda wote wa ligi ya Tanzania Bara, Mabingwa watetezi wa ligi kuu msimu huu na vinara wa ligi YOUNG AFRICANS SC watashuka dimbani leo majira ya saa 10 za jioni ugenini kuwakabili JKT TANZANIA katika dimba la Meja Jenerali Isamhyo.
Je, Yanga kuendelea kujichimbia kileleni wa...
Leo lazima kuwe na ubaya ubwela pale Meja Isamuyo, tafadhalini sana uwanja huo una nidhamu zake, eneo hilo ni kambi ya Jeshi, mambo ya kuingia uwanjani kuruka ukuta ama kuvunja geti mpitie mlango mwingine tofauti na ule uliowekwa ukomeshwe leo, Utopolo hawana uwezo wowote zaidi ya nje ya uwanja...
Niwape hii.
Aliyewahi kuvaa Jersey number 6 Yanga anarudi kuivaa tena msimu ujao. ✅💯
Walid na mchumba wa Hamissa wanaondoka✅💯
Winger wa Central African Republic aliye Chamazi kama Azam hawata ongeza dau kubwa naye atakuwa ni CITIZEN✅💯
Source: TRUST ME BRO / NINA WATU 😁
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.