yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Historia ya Simba na Yanga

    Yanga na Simba zilianzishwa mwaka 1935 na 1936 baada ya kutokea mvurugano baina ya viongozi wa pande hizo mbili. Yanga ndio timu kongwe zaidi Tanzania ilianza 1935 wakati Simba ikitokea ubavuni mwa Yanga baada ya mvurugano huo na kuunda timu nyingine inayoitwa Sunderland. Lengo sio kutaja...
  2. JamiiForums Tanzania Juma Mwambusi ateuliwa kuwa kocha mpya wa muda wa Yanga

    Hii ni baada ya benchi lote la ufundi kutimuliwa. Ikumbukwe kwamba Mwambusi aliondoka kwenye benchi la ufundi la Yanga kwa sababu zilizotajwa kuwa za kiafya, lakini sasa amerejeshwa kama kocha wa muda.
  3. JamiiForums Tanzania Yanga mrudisheni Zahera haraka

    Kama Zahera ataifundisha Yanga isiyotembeza bakuli yenye wachezaji kama hawa walioko sasa, mtaona maajabu ya Mussa.
  4. JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya kuisaidia Yanga kuinua kiwango chao cha soka yanahitajika

    Tunawaomba wadau wa soka wote wa ndani na nje ya nchi kuisaidia timu ya Yanga katika kipindi chake kigumu inachopitia , timu hii kiukweli haikuwa na kocha , Kaze hakuwa kocha , hajui chochote kuhusu soka na sidhani kama alifurahia kazi aliyopewa . Tunawaomba wapenda soka hata kwa gharama zenu...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga dhidi ya Polisi: Nani angefanya nini ili Pius Buswita asifunge goli lile?

    Kwangu mimi hakukuwa na namna nyingine ya kumzuia mfungaji wa goli lilitosababisha Kaze afukuzwe kazi zaidi ya kusababisha penaliti. Buswita ni mrefu na alitumia urefu wake kufungu, full stop!!. Matokeo kwenye round ya pili ni hayahaya tu kwa timu zote hasa baada ya timu kufanya makosa ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kipindi Simba wanaanza kujipanga kwa ajili ya Msimu huu wa Ligi, sisi Yanga...

    Tulikuwa busy sana na kuandaa namna ya kuwabeba akina kisinda, Sarpong, Hersi, Mukoko n.k hii ilinipa shida kiasi kikubwa sana kwa ile imani kuwa tumesajili team kabambe na hakuna team ambayo itatuzuia. Huu wazimu nikikumbuka huwa naumia sana maana nilikuwa mmoja ya watu ambao walipinga sana...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mchawi wa Yanga ni mfumo wa uongozi. Msolla na Mwakalebela waondoke kwanza

    Habari wadau, Nimeona yanga leo tumemfukuza kocha Kaze. Hii haijatosha. Niliwahi kuandika kwenye uzi wa Enyimba success case study maneno haya. Mimi ni mwanayanga ila naona kabisa simba atatwaa caf champions league mapema kuliko yanga yangu kwa staili yetu ya kuwapa vyeo kina Msolla. Wazee...
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo la Yanga ni "kujilinganisha na Simba"

    Wakuu Kwema? Nimekaa nimetafakari nimeona wacha niwasaidie hawa watani zangu. Afande Sele aliwahi kuuliza "Mfano Yanga Ikifa Simba itacheza na Nani?", hivyo hata kama ni Mwana Msimbazi sio vibaya nikiwasaidia. Ligi Kuu ina timu 20. Ukiiondoa Simba S.C hakuna timu katika 18 zilizobaki...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga SC yavunja benchi lake la ufundi na kuachana na Kocha Mkuu, Cedric Kaze

    Taarifa Rasmi Kutoka Yanga ni Kuwa wameamua Kuachana Na Kocha Wao Mkuu: Pamoja na Benchi Lote la Ufundi.
  10. JamiiForums Tanzania Yanga mchunguzeni Senzo huenda ni pandikizi la Simba

    Kuna viashiria vingi kuondoka kwa Senzo Simba haikuwa bahati mbaya bali mpango mahususi wa kuiangamiza Yanga maana huyu bwana tangu ujio wake ni draw na aibu za wagosi. Hii tabia ya utani wa jadi ya kukomoana imesababisha Yanga kuokota jasusi la msimbazi wao wakidhani wanaikomoa Simba kumbe...
  11. JamiiForums Tanzania Klabu bingwa Afrika: Simba ugenini kuchuana na Al Merrekh

    Al Merrekh watawakaribisha wababe wa Msimbazi katika Dimba la Al Hilal huko Khartoum saa kumi jioni, katika mchezo huo Wasudan watatafuta kupata ushindi wao wa kwanza katika hatua ya makundi ya mashindano hayo Al Merrikh watawakaribisha Simba SC ambao wameshinda michezo yote miwili ya...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Yanga inamuhitaji sana mtu kama Magufuli (mtu asiyeogopa watu hata kwa ubabe mambo yaende)

    Habari wadau. Mimi mshabiki wa yanga kiukweli mwenendo wa timu unanikwaza, hasa viongozi wakina Msolla na Mwakalebela. Ninatamani kiongozi mwenye Magufuli mentality aje aiongoze Yanga.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara Ya Kwanza Naiona Yanga Inayoitakia Mema Timu Ya Simba...!

    Wiki nzima kuelekea Mechi kubwa na El Merrekh ugenini sijaona wala kusikia mwana Yanga yeyote akileta yale Masihara ya mnaenda kupigwa 'Hamsa'..! Nikajiuliza hii maana yake ni nini? Majibu yake ni haya, kwanza wamejiridhisha pasi na shaka Simba hii sio ya kispoti spoti inaweza kushinda...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga ina tatizo la kocha, wachezaji au viongozi?

    Timu haifanyi vizuri, ushindi mwembamba, sare nyingi na sasa imefungwa, tena kiuhalisia ilipaswa iwe imefungwa na kagera sugar pia. Tatizo la Yanga ni kocha, wachezaji, wafadhili au viongozi wa Yanga?
  15. JamiiForums Tanzania Ligi kuu Tanzania: Yanga SC kukabiliana na Coastal union uwanja wa Mkwakwani

    Baada ushindi wa goli 3-0 wa Yanga SC dhidi ya klabu ya Coastal Union katika mchezo wao wa mwisho uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Oktoba 30, 2020, leo vijana wa Jangwani watakipiga na Coastal Union katika uwanja wa Mkwakwani Kuelekea mchezo huo takwimu zinaibeba Coastal union maarufu Wagosi...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga yakubali kichapo cha kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara

    Baada ya mzunguko wa kwanza Yanga kuifunga Coastal union bao 3-0, leo Coastal Union wamesema wanachezea heshima kwa uwanja wake wa nyumbani na kocha Mgunda amejigamba atakuwa wa kwanza kuifunga Yanga msimu huu. Yanga inahitaji matokeo kuendelea kujiweka vizuri kileleni lakini uwanja wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna Wiki Ngumu kwa Yanga SC basi ni hii kwani tayari Umafia umeshamalizwa huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili

    Waende kwa Tahadhari zote huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili kwani kwa Umafia ambao umefanyika huenda Wiki hii ikiwa Ngumu Kwao kwa Michezo yao. Nawaonea sana Huruma Kocha Kaze, Boss wa GSM Hersi na Mwenyekiti Msola. Kwa yaliyofanywa huko Watu watauwana.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC ya leo na ukubwa wake wote ilitakiwa ionyeshe chumba cha mfano cha wachezaji wake au jengo zima lililokamilika tayari?

    Tukiwa tunawaambieni kuwa tumieni Akili zenu vizuri katika kufanya (kutenda) mambo muwe mnatuelewa ila bahati mbaya mkisemwa (mkisilibwa ) kwa Upuuzi wenu huwa mnanuna (mnatununia) hapa. Hivi kweli kwa Ukubwa na Ukongwe wa Klabu ya Yanga leo hii ilikuwa ni ya Kuita Waandishi wa Habari na...
  19. JamiiForums Tanzania Yanga kimeumana, hatimaye tumeanza kunena lugha moja

  20. N

    JamiiForums Tanzania Yanga hii al ahly au vita wangekufa 5

    Nimeangalia yanga vcs ken gold leo,dah jamaa wapo poa sana nasikiza clouds hapa hata wachambuzi wanawasifia sana kwa kweli,hongera mwalimu Cedric kaze kama nyie mgekutana na waarabu wa misri tarehe 23 wangejua kweli mnaongoza league,halafu bodi ya ligi bado mnachukua rushwa za MO naona kalinyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…