yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kauli hizi Mbili za Injinia Hersi na Mhamasishaji Nugaz zitakusaidia vyema kujua Yanga SC ni Klabu ya aina gani

    Kauli ya Injinia Hersi Ligi ikianza "Kwa jinsi Yanga SC kupitia Sisi GSM tulivyofanya Usajili huu mkubwa naomba kila mwana Yanga SC ajigambe na tusipokuwa Mabingwa Msimu huu wanihoji Mimi na wakiweza wanifanye lolote. GSM tumedhamiria na hatubahatishi na tumeisajilia Yanga SC Wachezaji wakubwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kocha Juma Mwambusi umeonyesha 'Upuuzi' Usiovumilika na uliovuka Kiwango kumbe ndiyo maana Yanga SC wanakudharau mno

    Kaimu Kocha wa Yanga Juma Mwambusi amesema kitendo alichofanya mchezaji wake Saido Ntibazonkiza kwenye mchezo dhidi ya Gwambina FC ni kutokana na furaha ya kufunga goli kwa sababu hakufunga katika mechi mbili zilizopita. “Ntibazonkiza alikuwa anafurahia kupata goli kwa sababu mechi mbili...
  3. JamiiForums Tanzania Kocha Noureddine Al-Nabi atua Yanga

    Mabingwa wa Kihistoria, Timu ya Wananchi, Vijana wa Jangwani na Vinara wa Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Young African Sports Club wanadaiwa kumpa mikoba Kocha, Nasreddine Nabi iliyoachwa na mtangulizi wake Cedric Kaze. Nasreddine Nabi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya El Merreikh atachukua...
  4. JamiiForums Tanzania Vodacom Premier League: Yanga yaibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Biashara

    Matokeo: Yanga 1-0 Biashara Goli pekee lilofungwa na mshambuliaji wa kimataifa kutoka Burkina Faso, Yacouba Sogne lilitosha kuipa ushindi vinara wa ligi Yanga dhidi ya timu ya Biashara ya kutoka Mara. Uwanja wa taifa leo ni Utopolo na Biashara Utd ya Musoma. Saa 1 usiku kitanuka. Utopolo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Biashara United FC 'Akhsanteni' kwa kufanya 'Biashara' nzuri sana na Yanga Hersi GSM FC

    Nipo katika Mpira wa 'Bongo' na bahati nzuri hata Michezo yote ya 'Kimjini Mjini' naijua na hata Kushiriki nimeshiriki pia hivyo nasubiri leo Biashara United FC afungwe Magoli 4 au 7 aliyofanya 'Biashara' ili nije 'nifunguke' kila Kitu hapa. Na mtaniambia kwanini Viongozi wa Biashara United FC...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kejeli za Yanga dhidi ya simba ilipoanza CCL

    1. Mnaenda kulitia aibu taifa. 2. Mechi mbili tu jezi mpya za nini!!!??(Simba walipoanza mashindano CCL walitengeneza jezi mpya) wakimaanisha simba ikienda Algeria na kurudi ndio mwisho wao. 3. Mnaenda Congo mnakula hamsa tena 4..... 5.....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC wasikilizeni 'Legends' wenu hawa akina Sekilojo na Ivo kisha mfunge 'Mabakuli' yenu na Simba SC iendelee tu Kutamba CL na VPL

    " Mimi kama Sekilojo Chambua tena Mjumbe wa Kamati ya Usajili ya Yanga SC niseme tu kuwa hatushirikishwi katika Kusajili Wachezaji wa Yanga SC matokeo yake Mtu Mmoja anaamua kwenda Kusajili na anatusajilia Wachezaji wabovu tupu. Simba SC wataendelea Kufanikiwa kwakuwa wanajitambua na hawana...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msemji wa Mtibwa Sugar Kifaru anawakilisha Wanamichezo halisi, ila Kaimu Kocha wao Barnabas anawakilisha Washamba wanaopatikana hata Yanga SC

    Kauli ya Msemaji Mtibwa Sugar.. " Sina Malalamiko au Lawama zozote kwa Kipigo hiki Kikubwa kutoka Simba SC kwani tusidanganyane kwa sasa Tanzania, Afrika Mashariki na hata Afrika hakuna Timu nzuri na ya Kiushandani na iliyoenea kila Idara kama Simba SC " Kauli ya Kaimu Kocha Barnabas.. "...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tusizinguane na tusichoshane Yanga SC haina Wachezaji wenye Hadhi, Simba SC itakuwa Bingwa tu, DC Jerry Muro

    Generalist nikiwa ' nawachana ' Yanga SC hapa JamiiForums huwa mnasema ' nawachukia ' kwakuwa Mimi ni Simba SC sasa leo kupitia Wasafi FM mwana Yanga SC Mwenzenu na Msemaji wenu wa zamani DC wa Arumeru Jerry Muro ' kawachana ' makavu kabisa. Mkiambiwa Yanga SC kuna shida muwe mnatuelewa sawa...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanachama wa Yanga adhibitisha Yanga kuwafanyia kisomo waandishi wanaoisema timu yao 'vibaya'

    Kwenye hii video mwanachama anayejulikana kwa jina la Kabwe amedhibitisha wamekusanya michanga ya wale wanahabari wote waliokuja jangwani leo mapema kwaajili ya kisomo cha albadr
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC kuwasomea ' Albadiri ' Waandishi wa Habari za Michezo wanaoiandikia, kuisemea na kuihujumu

    Hivi Klabu inawezaje Kuwatishia Waandishi wa Habari za Michezo hasa kuwataka wawe tu Wanaandika na Wanatangaza Mema (Mazuri) tu ya Yanga SC ila yale mabaya Wawe wanayaficha kwa Umma wa Wanamichezo? Haya sasa kwa taarifa ( zisizo rasmi bado japo nimezikisikia hivi punde kutoka Clouds FM Kipindi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC mlimpenda sana Rage alipokuwa akiinanga Simba SC, sasa na Leo kuweni pia Wavumilivu tu kwa hizi ' Sindano Dozi ' zake Kali Kwenu

    " Ni Tanzania tu TFF ndiyo imekuwa wapole ila kwa Kitendo alichofanya Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Mwakalebela huku akijua tena Kikanuni tu the right channels za Kupeleka Malalamiko yake Hukumu aliyopewa ni halali yake kabisa * " Kitendo cha Uongozi wa Yanga SC kujitokeza Kumtetea...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu haya yanapatikana tu Yanga SC

    Wakati Klabu ya Simba ikiwa inashangilia Kutinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika tena Convisingly kabisa huko Yanga SC katika hali ya Kushangaza leo nao Wameshangilia urejeo wa Mshambuliaji wao Mburundi Saido Ntibanzonkiza. Kuna Watu hata Aibu hawana na wala hawaogopi kutokana na Simba SC...
  14. JamiiForums Tanzania Krosi zanoga Yanga

    Mabingwa wa kihistoria ligi kuu bara, yanga sc wameendelea kujifua huko Avic town. Katika mwendelezo wa mazoezi yao mwalimu aliyepewa mikoba ya kukinoa kikosi hicho kwa muda, amekuja na programu kabambe. Programu hiyo kabambe ameipa jina KROSI.... Mikimbio kwa siku zinapigwa takribani krosi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga SC wakiambiwa ni ' Vichwa Maji ' / ' Kipa Katoka ' achilia mbali ' Utopolo ' wasiwe Wananuna

    Kauli za Mashabiki wa Yanga SC kabla ya Mechi ya Simba SC na El Merreikh leo.... " Leo mtafungwa hamtoamini " " Mtakoma mnacheza bila Watazamaji leo " " Leo mmekomolewa na CAF hivyo mnacheza bila Mashabiki na hamtoingia na Paka wenu wale " Kauli za Mashabiki wa Yanga SC mara baada ya Simba SC...
  16. JamiiForums Tanzania Uchebe akikubali kufundisha timu mbovu ya Yanga nitashangaa sana!

    Taarifa za chini kwa chini zinadokeza kwamba Timu mbovu ya Yanga imewasiliana na AFC Leopard ya Kenya kwa lengo la kumnunua kocha wake Patrick Ausem, kocha aliyewahi kuifundisha Simba ya DSM kwa mafanikio ili kuziba pengo la Kaze aliyetimuliwa. Kiukweli ikiwa kama Uchebe anataka kudhalilika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Wanachama wenzangu wa Yanga SC tunasubiri nini Kumbutua (Kumuondoa) Injinia Hersi na GSM yake?

    Hakuna asiyejua kuwa All - Rounder ni mwana Yanga SC tena mwenye Umiliki wa Kadi yangu namba 357....13. Nawaombeni wana Yanga SC wote mlioko JF hebu kuanzia Kesho Alhamisi tuungane Jangwani ili tushinikize GSM na Injinia Hersi watuachie Time yetu haraka iwezekanavyo. Nataka tuwalazimishe hawa...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga jikiteni zaidi kwenye mabadiliko ya timu sio ubingwa.

    Msipokuwa makini kuna kila dalili ya kukosa vyote, ubingwa na mabadiliko ya mfumo wa club. Nionavyo mimi tumieni nguvu zenu nyingi kufanikisha mageuzi ya mfumo wa uendeshaji wa klubu yenu badala ya kufarakana wakati wa kuutafuta ubingwa wa msimu huu unaokaribia kuwaponyoka. Waambie mashabiki...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Fiston na Kisinda waleta raha mpya jangwani yanga

    Baada ya jana mwenyekiti Msolla kufafanua kwa ufasaha issue zinavyoenda na jinsi maadui wa team hiyo walivyo hack simu yake na kumtukana Metacha Mnata kwamba ni duka na mchawi mambo yameendelea kuwa mazuri kwa wana yanga kwani baada ya mgogoro kumalizwa rasmi na Mwenyekiti leo wachezaji wao...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwa tuliomsikiliza aliyekuwa Kocha wa Makipa Yanga Mburundi Niyonkuru katika Kipindi cha Kipenga Extra EA Radio leo, Mchawi wa Yanga SC hajajulikana?

    "Ndugu Mwandishi kuna Kiongozi Mmoja Yanga SC sitomtaja Jina kwa sasa ndiyo Sumu Kubwa ndani ya Timu na Wanayanga wasipokuwa makini nae atakuja Kuwaumiza zaidi ya hapa na Kujikuta pabaya" "Na ni Kiongozi huyo huyo pia amekuwa na tabia ya kuja Kwangu Kocha wa Makipa na mpaka kwenda kwa Kocha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…