yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Vunja Mbavu: Barua ya Wazi ya shabiki wa Arsenal, Yanga kwa Sa Godi

    C&P From mwanaspoti REJEA kichwa cha habari juu baba. Mimi mja wako naomba unipatie ujasiri mkubwa. Wa kuachana na ushabiki wa hizi timu baba. Wewe mwenyewe unazijua vyema baba. Moja ipo hapo Kariakoo nyingine huko kwa Mabeberu. Zinanipa majaribu makubwa baba. Nashindwa kuelewa ni ibilisi gani...
  2. JamiiForums Tanzania Wakati GSM wakiwaficha Mashabiki 'Oya Oya' wengi wa Yanga SC, huu ndiyo Ukweli Kamili wa kuwahusu akina Kisinda, Sogne na Mukoko

    Siku zingine Wadukuzi na Wanyetishaji wa Taarifa za ndani ( za Siri ) akina GENTAMYCINE tunawaambieni Mambo hapa kwa 99.9% muwe mnatuelewa tafadhali. Ni kwamba Uongozi wa Klabu ya Yanga na Wadhamini wao Samjo Samjo ( Matapeli Matapeli ) akina GSM wanasema kuwa Wachezaji wao akina Tuisila...
  3. JamiiForums Tanzania Wangapi mnaikumbuka Yanga hii kabla ya Instagram? Tuwataje waliopo kikosini

    Ngoja tuone leo wangapi mnakumbulumbu, twende kazi
  4. JamiiForums Tanzania Yanga nao wanataka kuuza mtu

    Eti Yanga nao wanasema kuwaa wamepokea ofa za kuwahusu Tuisila kisinda kwenda FAR Rabat Yakuba kwenda zamalek Mukoko kwenda zamalek Unadhani ni kwelii zamalek wanamtaka Yacouba?
  5. JamiiForums Tanzania Yanga yaachana na Magoli kipa wake Metacha pamoja na Shikalo

    Taarifa rasmi ya Yanga Sc kuachana na magolikipa wake wawili, Metacha Mnata na Farouk Shikhalo. Anayetoa taarifa hii ni Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa. Je, nini maoni yako kuhusu uamuzi huu? Source: Azam Tv
  6. JamiiForums Tanzania Sports Extra ya Clouds Fm: Golikipa mpya wa Yanga amefungwa goli 50 kwa msimu mmoja

    Mambo ni mengi muda hautoshi, golikipa mpya wa Yanga amefungwa goli 50 kwa msimu mmoja, hayo sio maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa wachambuzi wa kipindi cha Sports Extra ya Clouds Fm. Ni nani anawatumia Clouds kutuhujumu sisi Yanga? 😂😂😂
  7. JamiiForums Tanzania Yanga ni bora tusingeshiriki Kagame. Mimi naona kama sisi kuna Kitu tulifanywa tulipokuwa wadogo

    Sisi Yanga kuna kitu tulifanywa kwa kweli. Ni mashabiki wa kipumbavu sana. Yaani week nzima tunahangaika na Manara na Mo. Hatujiandai Wachezaji wetu wapo muda wote busy na mitandao. Insta na twitter kumuunga mkono Manara na kumsema Mo. Tunatolewa mapema mashindano ambayo yangetupa uzoefu wa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Yanga yatupwa nje Kagame. Badala ya kusaidia kujenga timu mashabiki wao wanakalia kumsakama Mo

    Habari ndiyo hiyo Mipasho FC aka Manara FC.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji, puuza wanaokusakama mitandaoni, hao ni mashabiki wa Yanga wana wivu wa mafanikio ya Simba

    Nadhani title inajieleza hapo juu, hakuna shabiki halisi wa Simba anaweza kukushambulia kwa mafanikio yako ktk SSC kuipelekea kuwapiku yeboyebo kwa rekodi ya ubingwa miaka 4 mfululizo hasa ukifikiria Simba ilivyokuwa taaban kwa Yanga huko nyuma. Na huyo Manara kawekeza sh ngapi SSC, atokomee...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga SC 1-3 Express | Kagame Cup. Yanga yaondolewa hatua ya makundi

    Mpira unaendelea 45' Yanga 0 - 2 Express ======== Full Time: Yanga SC 1-3 Express FC (Godfrey 14’) (Muzamiru 35’ Kambale 52’ Paul 71’)
  11. JamiiForums Tanzania Mshahara mmoja tu wa Luis Jose miqusison unalipa wachezaji wote wa Yanga

    By Mwandishi Wetu More by this Author MAPUTO. MKAZI wa hapa Maputo, Luis Jose amekula maisha nchini Misri. Staa huyo mkubwa kwenye soka la Bongo ambaye ameonekana jijini hapa juzi, ameuzwa na Simba kwa Al Ahly ya Misri. Habari za uhakika kutoka kwa mmoja wa watu wa karibu wa mchezaji huyo...
  12. JamiiForums Tanzania Devil's Advocate Kwa Mohammed Dewji

    Jamani najaribu kuwa Devil's Advocate kwenye hii Saga ya Manara VS Mo/Barbara/Simba Nitaenda kwenye kupande ambao Manara ana claim Simba inanyonywa na Mo, kuwa kusema Mo anasema hapati faida ni uongo naomba anaejua. Simba kwenye mikataba yake ya 5 yrs ago kuanzia Sport pesa na mengineyo...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbe Simba mil 380 kwa mwaka Yanga bilioni 40

    Manara kaua leo kwamba kumbe wataniz etu walishaingia nkataba na Azam TV wa pesa kiduchu mil 380 kwa mwaka halafu wanajishaua kuuponda nkataba wa Yanga Afrika na Azam
  14. JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaosajiliwa Simba na Yanga sio wale wanaotafutwa Ulaya

    Tusidanganyane, Hakuna mchezaji mzuri sana ambae hakuonwa na timu kubwa za Ulaya, Afrika Kaskazini au Afrika Kusini. Ukiona mchezaji anakubali kuja kucheza kwenye ligi yenye viwanja vibovu kama Mkwakwani, Mabatini, Manungu, Kambarage au Lake Tanganyika ujue kuwa huyo ni mchezaji wa kawaida sana...
  15. JamiiForums Tanzania Dr. Sulle "Mafanikio ya Simba ni sababu ya maneno ya Haji Manara, sio Yanga walikuwa hawana timu''

    Mhadhiri na mhutubu maarufu Dr Sulle amedai kuwa maneno ya aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya @simbasctanzania Haji Manara yalikuwa na mchango mkubwa kwenye mafanikio ya timu hiyo na wala sio kuwa watani wao wa jadi Yanga walikuwa hawana timu lahasha. Dr Sulle anaamini #simbasc msimu ujao haitakuwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania CAF champion league 21/22: Yanga sajirini ALEX SONG

    Salaam kwenu wananchi, Miezi michache ijayo Yanga itarejea kwny michuano tajwa baada ya kuikosa kwa muda kdg. Sasa nikimbie kwny mada fasta: Alexandre dimitri SONG bila shaka anajulikana. Ni yule kiungo holding, mwenye nishati nyingi, rasta, raia wa cameroun,mwenye cv iliyoshiba. Amechezea...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Simba mbona hatujasajili mpaka sasa wakati Mo ameweka pesa? Yanga wanatunyang'anya mpaka wachezaji

    Kiufupi ule ubabe wa Yanga aka uto in dhahiri umerejea. Naona wengi sasa wanasimba tunawabeza lakini ukweli tusipoangalia hawa jamaa wanakuja kuchukua mafanikio yetu. Kumbuka tuna wachezaji umri umewatupa kama John Boco, Onyango wakipata injury tu basi tumekwisha msimu ujao.
  18. JamiiForums Tanzania Yanga SC mkimaliza na hizi 'mbwembwe' zenu za Usajili ambazo mara nyingi huwa zinawaponza mnitaarifu ili nije na Uchambuzi wangu Kwenu

    Kwa Kuanzia tu ni kwamba Daktari wa Timu ya Taifa ya Congo DR amewashangaa Yanga SC Kumsajili Beki Shabaan Djuma ambaye ni 'proin injury Player' wakati aliwashauri Wasimsajili. Pili baada ya Kocha Nabi kurejea Likizoni sasa amezozana na Uongozi wa Yanga SC kwa Kumsajili Mshambuliajj Herritier...
  19. JamiiForums Tanzania Ntibanzokinza: Yanga ni klabu ya kienyeji

    Mwamba kafunguka mara baada ya kutemana na Yanga, Wana Yanga msijifiche kwenye stori za Bilioni 20 za Mo, kwanini klabu yenu inaendeshwa kienyeji?
  20. JamiiForums Tanzania Yanga tunataka Mchukua Manara - Chonde chonde tuacheni huu Upuuzi

    Nimezipata kuwa kuna watu wetu wanaangalia namna ya kumfanya Manara awe msemaji wa Yanga. This is bullshit. Yaani kama kuna jambo la kipumbavu kupata tokea duniani na matusi kwa wanayanga ni hili la kumtegemea manara. Simba nliwashauri waachane na msemaji kilaza,mbumbumbu asiye jielewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…