Wakuu kwema?
Yanga leo imefikia kilele cha Wiki wanayoiita wenyewe ya Wananchi. Wametambulisha wachezaji wao wa timu ya wakubwa huku timu zao zote 3 (Wakubwa, Vijana na Wanawake) zikicheza michezo ya kirafiki.
Sasa timu ya vijana ilifungwa na timu ya Cambiaso Academy Sport inayofundishwa na...