yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Yanga wamletea ubishi Mo Dewji

    Mkiambiwa simba wakajifunze jinsi ya kuendesha team kisasa toka kwa yanga mnabenua midomo kama watoto wa kike, tulieni dawa iwaingie makolo mtaisoma namba tu hata kimyakimya YANGA ni kama wanamletea ubishi mwekezaji wa Simba, bilionea, Mohamed Dewji ‘Mo’, hiyo ni baada ya kutangaza miezi minne...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa Fedha hizi ambazo Simba SC amezikusanya sioni sababu ya Yanga SC Kuushangilia Ubingwa wakati Pesa waipatayo ni Kiduchu tu

    Pesa za Yanga SC Mambwiga ( Washamba ) wa Kudumu FC.... Tsh Milioni 500 za Azam Tsh Milioni 100 za NBC Jumla Tsh Milioni 600 ( na hapa bado Mama Samia hajakomba Kodi yake na akiikomba watabakiwa na Tsh Milioni 74 tu na sijui watagawanaje ) vinginevyo watapigana mno Bakora kama Kawaida yao...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga Yaingia Mitini shindano la "Nani Zaidi"

    Source; Mwananchi Updates
  4. JamiiForums Tanzania Baada tu ya mchezo kuisha jana wafuatao ndio wanapitia wakati mgumu

    Wakuu muwe salama msiwe salama hainihusu,kikubwa kwangu YANGA BINGWA. Baada tu ya mchezo kuisha jana wafuatao ndio wanapitia wakati mgumu (maumivu mazito)hapa JF÷ 1. GENTAMYCINE (Huyu ndo Kinrara wa kuteseka kwa msimu mzima),Alitamka zaidi maneno kama TAKUKURU,RUSHWA,UCHAWIkuliko neno MUNGU...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Shaka ashuhudia mtanange wa Yanga na Costal Union Kwa Mkapa

    Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameipongeza timu Yanga kwa kutwaa ubingwa wa soka wa Tanzania msimu huu. Ameyasema hayo leo usiku katika uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar Es Saalam mara baada ya mchezo ligi Kuu (NBC) ambapo ameyataja mafanikio hayo...
  6. JamiiForums Tanzania Uhalali wa kocha wa Yanga kubeba rangi nyekundu na nyeupe hadharani

    Wakati wa shamrashamra za kubeba ubingwa, kocha wa Yanga, Nasredine Nabi alionekana akipiga picha huku akishikilia bendera ya nchi yake yenye rangi nyekundu na nyeupe. Rangi hizo zilikwishapigwa marufuku kuonekana katika hadhira ya Yanga, na msimamo huo umeshatolewa mara kadhaa na uongozi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kocha Yanga anataka kumaliza msimu bila kupoteza mechi

    Baada ya Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2021/22, Kocha wa timu hiyo, Mohamed Nabi amesema kuwa wataendelea kupambana ili wamalize ligi bila kupoteza mchezo hata mmoja “Nafurahi tumetwaa ubingwa, haikuwa kazi rahisi, lengo letu ni kuhakikisha hatupotezi mchezo hata kama...
  8. JamiiForums Tanzania GSM ingia kwenye biashara za vyakula. Nafasi ya mafanikio ni kubwa

    GSM ilikuwa kampuni ambayo watu wengi atuijui zaidi ya mo. Na Azam lakini kwa sasa GSM imeshika kasi kubwa kwenye kujitangaza wangekuwa sasa na washauri wazuri ndio kipindi Chao sasa kuingia kwenye ushindani wa biashara za vyakula mfano ngano na biashara zingine naamini wala awahitaji nguvu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania NANI ZAIDI? Ngoma Nzito Kwa Mashabiki Yanga

    Yanga Tuna Tatizo? Siku 10 Zimekatika toka hii changamoto ya NANI ZAIDI izinduliwe,Wenzetu Wamefikisha kura Zaidi Elfu mia moja sisi Yanga tupo Forty thousands hivi mpaka sasa, na Hapo Mashabiki wao ndo wapo dissappointed kwa Kuelekea kutokuwa Bingwa msimu huu. Je Wangekuwa wanaenda kutwaa...
  10. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

    Salaam Wakuu, Ligi kuu ya NBC ya msimu huu 2021/2022 inaelekea ukingoni huku timu ya Yanga ikiwa na zaidi ya 99% ya kunyakua taji hili. Kama tujuavyo mwisho wa msimu mmoja ndiyo maandalizi ya msimu mwingine. Baadhi ya timu tayari zimeanza kufanya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao. Timu nyingi...
  11. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu mkimpa tu 'Kura' zenu Injinia Hersi Said natangaza Kuhamia rasmi Simba SC

    Wengi wenu hamnifahamu ' Personally' hivyo koseeni tu mumpe Kura zenu za Njaa na Kutumika na GSM kwa kumpa Urais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kisha GENTAMYCINE nipandwe na Hasira zangu Kali za Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi kutoka nchini Rwanda na niitoshe 'Press Conference' ya Kutangaza rasmi...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga wanapendelewa sana! Ni uonevu kwa Simba

    Huu ni mgawanyo wa hela kwanzia namba 1 hadi wa 16 ukiangalia vizuri yanga anapata 600m wakati wa mwisho anapata 10m na wapili anapata 300m je haki iko wapi kwa bingwa kupewa hela mingi hivoo? Mi naona mgawanyo ungekua sawa ili ligi iwe na ushindani zaidi
  13. JamiiForums Tanzania Sikumbuki ni lini Injinia Hersi Said amekuwa mwana Yanga SC Wenzetu. Tumchague Dk. Msola kwa Urais Yanga SC

    Wenye Yanga yetu tunaenda na Msomi Dk. Mshindo Mbwete Msolla na siyo Matapeli wengine halafu ni wana Simba SC kindakindaki. Tutanuniana sana Mwaka huu.
  14. JamiiForums Tanzania Yanga kuna laana, Moringa yupo Namungo, Tshisimbi yupo Kitayose, Amis Tambwe yupo Singida united, Chirwa yupo ...

    Hawa wachezaji wa kimataifa walikuwa first eleven pale Jangwani, wakaachana tukajua wanaenda kukiwasha Real Madrid kufumba na kufumbua eti wapo Kitayosce sijui DTB sijui Namungo. Labda Amis Tambwe nitamuelewa kwa umri wake wa miaka 45, the rest ni kalaana fulani hivi, Yanga tupunguze uchawi kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Eng. Hersi wa GSM achukua fomu ya kugombea Urais Yanga

    Wakuu Kuna Taarifa Kwamba Eng. Hersi Amechukua form ya Kugombea Urais Yanga muda Huu.
  16. JamiiForums Tanzania Urais wa Yanga twende na GSM

    Naam sasa ni muda sahihi wa huyu mdau kuwa rais wa Yanga makamu wake awe Tarimba Mzee Msolla utatusamehe
  17. N

    JamiiForums Tanzania Dharau: CAF wapingana na Rais mtarajiwa wa Yanga sc

    Mkiambiwa kwamba Yanga sc ndiyo mabingwa watarajiwa wa Afrika na klabu bingwa ya dunia msibishe, leo CAF kwenye page yao ya twitter wamepost kwa furaha clip ya team hiyo huko mwanza na vi emoji vya shangwe kwani wana matumaini makubwa kwa team hiyo kuwa ya kwanza toka afrika kubeba ndoo ya dunia...
  18. J

    JamiiForums Tanzania DC JOKATE: Viwanja vya michezo vya Kisasa kujengwa Temeke Mwembe Yanga

    Ujenzi wa kituo cha Michezo cha Kisasa kuanza kujengwa katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke - DC Jokate Mwegelo
  19. JamiiForums Tanzania Tusipinge Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za kigeni bali tuboreshe ili kutengeneza utalii wa michezo ( Sport tourism)

    ➡️ Kwa muda mrefu wadau wahafidhina wa michezo hapa nchini wamekuwa wanakereka na tabia iliyoota mizozi ya Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za nchi nyingine zinazokuja kucheza na timu mojawapo kwa kusema kuwa wanakosa uzalendo ➡️ Jambo hili wamepambana nalo na limeshindikana kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Starehe za jiji la Dar es salaam linavyoshusha viwango vya wachezaji wa Simba na Yanga

    Hili jiji lisikie tu kwenye radio,ila Dar kuna starehe jamani,nimetembelea mikoa mingi nchini na nchi nyingi kidogo si haba,nyingine kwa kwenda phyisically nyingine kwa kusoma,kusikia,movies na mitandao .ila Dar bado ni kinara wa starehe,Jonas Mkude huwa anakula starehe mpaka anazima kesho yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…