yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Yanga inachukia wachezaji walioumia kazini?

    Sera ya Yanga ya kuachana na wachezaji wake walioumia viwanjani inaidhoofisha yanga. Mwenzako akinyolewa tia zako maji ndicho kinachoendelea kwenye akili za wachezaji. Wachezaji Yanga wameingiwa na hofu ya kucheza kwa kujituma kwa kuhofia kupata majeraha mabaya, na hii ndio sababu wachezaji wa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Octoba 23 2022 ni Yanga VS Simba

    Wanasimba mwezi wa KUMI unakuja. Tufanye nini ili tuweze kuwafunga YANGA msimu huu. TUmechoka sasa kufungwa kila mara. Mikakati iwekwe mapema tuwaue hawa utopolo this is too much. Angekuwepo Hans Pope nisingekuwa na naiwazia mechi hiyoo ila kwa sasa Viongozi wa simba hawapambani sana kama...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Timu zinazocheza na Yanga hawakazi kama wakicheza na Simba

    Hizi timu zinazocheza na Yanga za hapa nchini hazikazi kama ambavyo zikicheza na Simba. Jana Mtibwa walikuwa kama wagonjwa, beki hazikabi, kipa ovyo kabisa. Kwa hali hii Simba tujipange kuna dalili wenzetu wananunua mechi. TFF iwe makini sana na mechi fixing! Haiwezekani beki anajiangusha kipa...
  4. JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaovuta mkwanja mrefu Yanga SC

    WACHEZAJI WANAOVUTA MKWANJA MREFU YANGA SC: 1.Aziz Ki -Sh 23.2M 2.Morrison -Sh 23.2M 3.Aucho - Sh 16.2M 4.Mayele - Sh 16.2M 5.Diara-Sh 9.2M
  5. JamiiForums Tanzania FT: Yanga 3-0 Mtibwa | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium

    Yanga wanaongoza kwa goli la freekick ya Djuma Shaban 37' Mayele anafunga goli murua baada ya kupiga chenga mabekibwa Mtibwa Kipindi cha kwanza kimekamilika Yanga wanaongoza magoli 2-0. MAPUMZIKO 81' Yanga wanamiliki mpiramuda mwingi 83' Kasi ya mchezo siyo kubwa, ni kama Mtibwa wameshakata...
  6. JamiiForums Tanzania Mech ya Yanga Vs Mtibwa ipo au haipo??

    Mbna sion uz ukianzishwa? Wadau tupen taarifa
  7. JamiiForums Tanzania Naona taratibu sasa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anaanza Kuwafanya wana Yanga SC wote ni Mazuzu

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said katika Mkutano wake na wana Yanga SC katika Mikutano yao ya Kikatiba aliwahi kusema kuwa Udhamini wa Jezi wa GSM kwa Yanga SC umeipatia Klabu hiyo Tsh Bilioni Nane ( 8 ) kwa Mwaka na Mazuzu kama Kawaida yao Wakamshangilia na Kushangilia. Jana tu Rais wa Yanga...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga SC yaingia mkataba na GSM wa miaka 5 kutengeneza vifaa vya michezo wenye thamani ya bil 9.1

    => Tumeingia mkataba mpya wa kutengeneza jezi na vifaa vya michezo kwa miaka 5 na kampuni ya GSM Group Of Companies wenye dhamani ya Tshs Billion 9.1" Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said => Mkataba wa pili utakua ni wa udhamini ambapo GSM italipa Tsh. Milioni 300 kwa mwaka, itakayokuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Usajili kuongeza nguvu Yanga

    Baada ya kuitazama Game yetu jana tar 11 sept 2022, tukimgaragaza mtu goli nne kwake. Nilifanya analysis yangu nikaona kuna maeneo yanahitaji kuongezwa Nguvu ili tufike mbali kimataifa. Tunahitaji kuongeza baadhi ya wachezaji ili kuimarisha kikosi chetu kwa ajili ya mapambano. Naamini GSM na...
  10. JamiiForums Tanzania Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija. Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama...
  11. JamiiForums Tanzania Fei Toto ni mchezaji wa kigeni, Yanga ilifuata kanuni?

    Feisal Salum Mchezaji wa Yanga leo nimegundua kumbe alikuwa anacheza kwenye Ligi ya Nchi ya Zanzibar ambayo pia ni mwanachama wa CAF. Kwa mujibu wa Kanuni za CAF mchezaji anapotoka Ligi ya nchi moja kwenda ligi ya nchi nyingine, hutakiwa kuwa na uhamisho wa Kamataifa kwa mchezaji kama huyo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni yanga na simba kwa ushindi wa leo lakini michuano mtaianza hatua itayofuata

    Nawapongeza kwa kufanya vizuri kwenye mechi za mwanzo ni mwanzo mzuri kwa timu zote mbili itawajengea hali ya kujiamini na kujipanga vizuri kwa michezo ijayo,. Pamoja na kushinda timu zote 2 zimekutana na timu ambazo zina viwango vya chini, ukianzia Nyassa big bullet ya malawi ni timu...
  13. JamiiForums Tanzania FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

    FULL TIME: Yanga imefanikiwa kupata ushindi wa mabao 4-0, timu hizo zitarudiana wikiendi ijayo Mayelee anafunga bao la nne na la tatu kwake 88' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO Mayeleeeeeee GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 82' Zalan wanajaribu kufanya shambulizi la kushtukiza inashindikana 80'...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wacha mvua inyeshe tuone panapovuja

    Pira la leo litatoa majibu ya viwango vya wachezaji pamoja na makocha kati ya simba na yanga.
  15. JamiiForums Tanzania CAF: Yanga, Simba zipo uwanjani leo Septemba 10, 2022

    Raundi ya Kwanza ya Michuano ya Afrika ngazi ya klabu inatarajiwa kuanza wikiendi hii ambapo timu za Tanzania pia zitakuwa uwanjani ndani na nje ya Nchi. Leo Septemba 10, 2022, Yanga itavaana na Zalan ya Sudani Kusini kwenye Uwanja wa Mkapa, Simba ipo Malawi kucheza dhidi ya Nyasa Big Bullets...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mimi nilidhani kwenye Upuuzi ni kule Simba SC tu kumbe hata huku kwa Yanga SC ndiyo kuna Upuuzi zaidi?

    Rasmi Kocha JUMA MGUNDA ameidhinishwa na CAF kwahiyo atakaa kwenye benchi la Simba SC hapo kesho. Wakati huo huo Kocha NASRIDINNE MOHAMED NABI amezuiwa na CAF kukaa kwenye benchi kwa kukosa vigezo hivyo KAZE CEDRIC ataongoza benchi la Yanga SC. Nimeitoa katika Ukurasa wa Twitter wa Mchambuzi...
  17. JamiiForums Tanzania Kocha Nabi wa Yanga SC ni kama Kocha wa Simba SC naye anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF

    Taarifa za uhakika zinasema kocha Nasreddine Mohamed Nabi, naye anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF kumuwezesha kukaa kwenye benchi hapo kesho kwenye mchezo wa Champions League. Nabi ambaye msimu uliopita alikaa benchi kwenye mechi 2 dhidi ya Rivers United ana vyeti vya UEFA 'A' na UEFA-Pro...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Sijaona kwa sasa Timu Bora Tanzania kama Yanga SC na Mbovu kama ya Simba SC

    Kwa mziki huu unaachaje kuipenda Yanga SC kwa mfano.....? 1. Djigui Diara 2. Djuma Shaaban 3. Lomalisa Mutambala 4. Dickson Job 5. Yannick Bangala 6. Khalid Aucho 7. Abubakary Salum 8. Feisal Salum Fei Toto 9. Fiston Mayele 10. Stephane Aziz K 11. Bernard Morison Na hawa ndiyo Mabingwa tena wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kauli mbiu ya Simba "Hatukamatiki, Hatushikiki" haina uhalisia kabisa, bora "Byuti Byuti," Yanga waliona mbali sana

    Kauli mbiu lazima ibebe uhalisia,huwezi kusema hatukamatiki wala hatushikiki kwa team gani uliyonayo? huwezi tukana mamba ukavuka mto, babra kinacho muumiza sasa ni hizo kauli mbiu zisizo na uhalisia, sasa simba hawamtaki hata yeye, mwaka huu mpaka moo hawatamtaki viongozi hawako serious kabisa...
  20. JamiiForums Tanzania Mechi tano za Yanga zilizopita wakati Djigui Diarra akiwa langoni

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…