yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Hili la Yanga SC kuanzia nyumbani kila mwaka kwenye CAF Champions League ni uonevu

    Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini? Mbona wenzetu Simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu? [emoji25][emoji25]
  2. JamiiForums Tanzania Mimi ni shabiki wa Yanga na Juma Ramadhan Mgunda

    Nimewahi kumuuliza mwandishi na mchambuzi mmoja maarufu, kwanini makocha wengi wa Tanzania hawafundishi soka nje ya nchi, jibu nililopata sikuridhika nalo sana. Alinijibu kuwa ligi yetu imekua sana na ni ligi bora afrika mashariki na kati hivyo makocha wetu wanaona bora wabaki hapahapa nchini...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Yanga kwa utaratibu huu watalia siku moja

    tangu kuanza kwa ligi klabu ya Yanga imekuwa ikipata matokeo kipindi cha pili. wasipobadilika itawacost siku moja hasa katika mashindano ya CAF coz timu zijazo sio za kitoto.
  4. JamiiForums Tanzania Naweka dau laki 3; Yanga hatoki kwa Al Hilal

    Nawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi. Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na...
  5. JamiiForums Tanzania Wabunge mliopiga Makofi na Watendaji wa Spika nani Kawadanganya kuwa Mgeni Manara ni Msemaji wa Yanga SC?

    Nilikuwa nakataa kuwa Bunge la sasa limejaa Wabunge dhaifu (ukiwaondoa tu wale wasio Mashabiki wa Yanga SC) ila kwa Upuuzi (Udhaifu) uliotokea leo Bungeni nimekubali na Mimi sasa naanza Kuwadharau. Spika tafadhali ajiri Watu makini hapo Ofisini Kwako na hapo Bungeni ndani ili wasije Kujiaibisha...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Good news kwa Yanga: Mvurugano Al Hilal waihofia Yanga, Ibenge kachanganyikiwa

    Baaada ya Yanga kuichakaza team ngumu ya Sudan Kusini kwa bao 9-0 (yes ni ngumu ni mabingwa na siyo dhaifu kama unabisha na wewe ni dhaifu maana mayelle alikupiga bao 2) hali hapo jijini Khartoum siyo nzuri kwa vigogo wa team. Jana baada ya ushindi wa magumashi dhidi ya team dhaifu ya waimba...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki na wanachama wa simba Matumaini yao makubwa wameyaweka kwa Al hilal kumtoa yanga

    Ni wazi kwamba mashabiki na wanachama wa simba wameweka matumaini makubwa kwa Kuisifia Al hilal jinsi itakavyomtoa yanga na wanakwenda mbali zaidi kuapa ya kwamba ndo mwisho wa yanga awatoboi, lakini nafikiri wasichokijua hii ni yanga ambayo aijaingia kwenye hii michuano kwa kubahatisha, yanga...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga imejipeleka Al Hilal; itapigwa kama ngoma

    Hawa ndio wafalme wa Soka la Sudan, Ndio klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo na Ndio Wawakilishi Bora zaidi wa CECAFA kwenye CAF. Hilal imeshacheza Fainali za CAF mara 2 zote Ilipoteza, Ilikua 1987 Kwa Ahly ya Misri na 1992 Kwa Wydad Casablanca ya Morocco. Imecheza nusu Fainali ya...
  9. JamiiForums Tanzania Wakati Yanga na Simba na timu nyingine za ligi kuu zinapishana kwa waganga, Polisi Tanzania wajisalimisha kwa nabii

    Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa. Hiyo ndiyo habari iliyopo, soon mtaona mabango ya picja za Clear Malisa kwenye basi la timu ya Polisi...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga fuatilia mechi za El hilal au St george kabla ya Oct 7

    Yanga itapambana na mmoja kati ya timu hizo ili mshindi aingie mechi za makundi. Tatizo lipo kwetu yanga tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini kutokana na ratiba ya mechi . Ili kuzifunga mabao mengi nyumbani El Hilal au St George ni lazima kujua aina ya uchezaji wao ili mbinu zetu...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga inapoingia kipindi cha pili ni hatari mno!!!!!

    Miaka nenda miaka rudi Yanga ni timu hatari imapoingia kipindi cha pili.
  12. JamiiForums Tanzania FT: Yanga 5-0 Zalan (Agg 9-0) | Caf Champions League | Mkapa Stadium | 17-09-2022

    Mchezo wa pili baina ya Yanga dhidi ya Zalan kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, leo Jumamosi Septemba 17, 2022, ni Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo wa kwanza Yanga ilishinda kwa mabao 4-0. Kumbuka mshindi wa mchezo huu ataenda kukutana na mshindi kati ya Saint George ya...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Rekodi ya Yanga ya Kibabe Africa

    YANGA imeendelea kuboresha rekodi yake ya kucheza mechi mfululizo za Ligi Kuu Bara bila kupoteza, ikifikisha 41, baada ya Jumanne wiki hii kuifumua Mtibwa Sugar kwa mabao 3-0 katika pambano lililopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Mara ya mwisho kwa Yanga kupoteza...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Good news: Wenye nia njema na Yanga huko CAF wamtetea Mayele, kiatu CAFCL ni chake mwaka huu, aibu kwa Karia na Motsepe

    Mungu ni mkubwa sana, baada ya figisu ya kumfungia miaka 2 msemaji aliyeipa ubingwa Yanga baada ya kuukosa kwa miaka 4 ndugu Manara , figisu ziliendelea sana Tukaona wachezaji wa Yanga wakitaka kuvunjwa miguu marefa kimya, adhabu ya Inonga hadi leo kimya, kamati ya masaa 72 huwa ni kuwaadhibu...
  15. JamiiForums Tanzania Siiogopi Yanga SC, ila ninauogopa zaidi huu Muunganiko wao Hatari, Tukuka na Mtakatifu ufuatao

    Winga ya Kulia Morrison, Winga ya Kushoto Kisinda, Mbele anasimama Mayele halafu nyuma yake kidogo yuko Aziz K huku wote hawa wakiwa Wanatibiwa vyema na Daktari bora kwa sasa ndani ya NBC Premier League Aucho. Natangaza mapema hapa hapa JamiiForums kuwa nikiwa kama mwana Simba SC Tukuka kwa huu...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Simba na Yanga wana official anthems?

    Eti wakuu. Hizi timu zina nyimbo rasmi?
  17. JamiiForums Tanzania Yanga SC hivi Mechi yenu 'Nyepesi' ya Marudiano na 'Zalan Ndembendembe FC' ni ya kuifanyia 'Promo' Redioni?

    Hivi Bondia Anthony Joshua ( Uingereza ) akijua kabisa anaenda Kupigana na Bondia Mchovu na asiye na Uwezo wowote ule Kwake Twaha Kiduku ( Tanzania ) anaweza kweli akajitangaza na akaitangaza ( akaipigia sana Promo ) Redioni? Acheni Ushamba ( Umbwiga ) Mechi pekee ya Kupigwa Promo na ya maana...
  18. B

    JamiiForums Tanzania PAMOJA NA GSM kumwaga hela YANGA wanachukua tena Ubingwa

    Pamoja na GSM kumwaga hela kwa timu SImba inacheza nazo kama tulivyoona kwa Prison Kuaahidiwa hela nyingi wakiifunga SIMBA bado simba msimu huu tunawakati Mgumu sana. Kwa Yanga hii me nadeclare Mapema KABISA YANGA HATUWAWEZI MSIMU HUU TENA. Pia mechi za YANGA vs SIMBA na SIMBA vs YANGA hapa...
  19. JamiiForums Tanzania Onyango alivosikia Kisinda amerudi Yanga akaomba kuondoka, alivyosikia TFF wamemfungia akarudi Simba, asiyempenda karudi, sasa itakuwaje?

    Hapa Onyango atajilaumu kwanini karudi maana alivyosikia anakuja aliomba kuondoka, namuonea huruma Babu wa watu. Naona muda wa kupimana Umri umefika Sasa, Shida iko PALEPALE Onyango alikubali kusalia ukoloni baada ya kusikia mwamba kapigwa pini, Ila sasa aliko huko hana raha.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje Makosa ya Timu ya Yanga yanarekebishwa na TFF ? Wajuzi wa Mambo hii imekaaje ?

    Hii barua ya TFF inajieleza kabisa kwamba usajiri wa Kisinda ulishindikana sababu Yangu walikuwa na wachezaji wengi wa kigeni na Dirisha lilishafungwa ,Kisinda anaingiaje sasa Wajuzi wa mambo ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…