yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Watani wa jadi watatoka salama wikiendi hii?

    Simba anakutana na Raja huku Yanga atachuana na Mamba wa DRC Tout Puissant Mazembe. Unafikiri kati ya wekundu wa msimbazi na wananchi wapi wana uhakika wa ushindi?
  2. JamiiForums Tanzania Million 5 kwa kila Goli Simba na Yanga mnaenda kupoteana

    Pesa haijawahi kushinda mechi hata siku moja, kama pesa ingekuwa kigezo cha kufanya vizuri kwenye mechi basi marekani ingekuwa na timu bora sana duniani. Mpira ni mbinu na ubora wa wachezaji, kumbu kumbu zangu zinaniambia timu zote ambazo hupewa ofa kama hizi huangaukia pua. Simba na yanga...
  3. JamiiForums Tanzania TASWA wampongeza Waziri Dkt. Pindi Chana kwa uteuzi, yatuma salamu kwa Simba, Yanga

    Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kinampongeza Dk. Pindi Hazara Chana kwa kuteuliwa na Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo mwanzoni mwa wiki hii. Pia TASWA inampongeza Said Othman Yakub kwa kuteuliwa na Rais Samia kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ningekuwa Kocha wa Simba na Yanga ningeanza ifuatavyo

    Mimi ni mzalendo. Pamoja na kunipenda sana Simba lakini linapofika suala la Nchi Tanzania Huwa naweka mbele maslahi ya Nchi. Japo hakuna hata SEKTA Idara, Wala Taasisi yoyote yenye Mafanikio. Kama Ningekuwa KOCHA WA Simba ningeanza Hivi. 1. Aishi Manura. 2. Shomari kapombe. 3. Mohamed...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe, Haji Manara, Injinia Hersi na wana Yanga SC mlisema hamtawaiga Simba SC. Je, hiki mtakachofanya kesho siyo Kuwaiga?

    "Kesho Uongozi wa Yanga SC umealikwa na Wana Yanga SC wa Mbagala ili twende Kuzindua Hamasa ya Kuelekea Mechi yetu ya Jumapili dhidi ya TP Mazembe na Ijumaa hadi Jumamosi pia kutakuwa na Matukio ya Kuhamasishana na Kufundishana jinsi ya Kushangilia" amesema Ali Kamwe Msemaji wa Yanga SC muda...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga bado tunamuhitaji Fei Toto

    Nimetazama mechi tatu mfululizo tulizocheza ikiwe hii ya kimataifa. Yanga tukiweka eggo zetu pembeni tunahitaji mchango wa Fei Toto. Kwanza anaelewana vizuri na Mayele. Na kubwa anapiga mipira ya mbali kitu ambacho tunakimiss sasa hivi timu inakaa na mpira mguuni muda mrefu bila kusababisha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Kipigo Kitakatifu cha Tunisia nauliza Utambulisho wa Jezi za Yanga SC haukuhusisha na Bukta zao?

    Rejea kuangalia Jezi za Yanga SC za Leo ilizotumia Kucheza na US Monastir ya nchini Tunisia utagundua kuwa Kilichotambulishwa ni Jezi za Juu ( Shati ) tu za Mdhamini Haier ila Bukta zilizotumika ni zile zile za Siku zote zilizotambulishwa mwanzo wa Msimu. Huu ni Uhuni ambao kamwe haupaswi...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga akimfunga TP Mazembe naacha rasmi kushabikia mpira

    Ndugu zangu sioni ni jinsi gani Yanga atamfunga giant TP Mazembe hapo Jumapili. Kwa aina ya uchezaji wa Yanga wa kutegemea goli kipa afanye makosa ndio washinde siioni hiyo nafasi Jumapili.
  9. JamiiForums Tanzania SportPesa yaonyesha uwezekano wa Yanga kufungwa na US Monastir ni mkubwa

    Wadhamini wa Yanga hawana imani na timu yao
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbona wana Yanga SC hawatucheki wana Simba SC kwa Kipigo cha Jana na Horoya FC?

    Nimetizima Kurasa za akina Ali Kamwe, Haji Manara, Mtandao wao Klabu, Chawa wote wa Yanga SC, Mashabiki Wao Maarufu kama Rafiki yangu Carlos na wana Yanga SC wote wa hapa JamiiForums sijaona Kokote wakitucheka Simba SC kwa Kimoko cha Nguruwe tulichopigwa Jana huko nchini Guinea. Na hii siyo...
  11. JamiiForums Tanzania FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

    ⚽️ US Monastir🆚Young Africans SC 🗓 12 February 2023 ⏱ 11:00 Jioni TUN | 01:00 Usiku TZ 🏟 Uwanja wa Rades, Tunis 🏆 CAFCC Kikosi cha Yanga Usiku wa deni haukawii. Hatuondoki hapa mpaka usiku mnene tukifurahi ushindi Timu zinaingia uwanjani Mchezo umeanza 2' Yanga wameanza kwa kasi, Kisinda...
  12. JamiiForums Tanzania Mnakumbuka ya Yanga na Al Hilal Kule Sudan? Kwahiyo Msisifie Mpira Mzuri

    Siku za Hivi karibuni mpira umekua Ushindi sio kusema umecheza Vizuri. Na Mwasisi wa Mbinu hii ni Jose Mourinho alionekanaga mhuni mwanzoni ila baadae ameanza kueleweka yeye atakuacha ucheze Mpira ila hesabu zake mara zote zipo kwenye kikombe au point 3 na huo ndio mpira wa sasa. Mwaka Jana...
  13. JamiiForums Tanzania Quick Reminder: Ewe Shabiki wa Simba na Yanga punguza matarajio

    Yakiwa yamebaki Masaa yasiyozidi therathini kwa Timu zetu za Kariakoo kurusha karata zao katika mashindano ya kimataifa, ghafla nazinduka usingizini baada ya kuyakumbuka maneno ya mzee mmoja mwenye busara aliyesema; "SON, Football can kill you, A real death. Don't settle for less but lower...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya US Monastir kwa siku za karibuni, Yanga lazma afungwe

    Wamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja. Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation. Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni...
  15. JamiiForums Tanzania Utabiri: Weekend hii Simba na Yanga zote zitafungwa huko katika mechi zao za kimataifa

    Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0. Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini... Tupia na wako...
  16. JamiiForums Tanzania Simba waipiga Spana Yanga Instagram kwa kutumia logo ya Ligi ya Mabingwa Afrika

  17. JamiiForums Tanzania Hizi hapa mechi tatu kali za kimataifa Simba vs Yanga je ni nani atakusanya point nyingi kuliko mwenzie?

    Ligi ya mabingwa Africa pamoja kombe la shirikisho kutimua vumbi kuanzia week ijayo, huku Tanzania ikiwakilishwa na Simba na yanga. Ikumbukwe kuwa simba na yanga wote wataanzia ugenini, je ni nani atafanya vizuri katika mechi tatu hizi za awali? 👇👇👇👇👇👇
  18. JamiiForums Tanzania Yanga jiandaeni kuzinunua jezi mlizouza kwa mashabiki wenu

    Yanga wamefanya kosa kubwa kwenye mkataba wao na SportPesa kuliko wengi tunavyodhani na madhara yake ni makubwa sana kwa mdhamini wao yaani SportPesa. Yaani mimi ningekuwa mshabiki wa Yanga ningemtafuta huyu aliyetoa wazo hili maana ni msaliti mkubwa sana atakayeenda kuiharibia timu si tu...
  19. JamiiForums Tanzania Eng. Hersi Said angalia upya wanaouza jezi za Yanga

    Inawezekana GSM haioni tatizo kwenye mapato ya jezi lakini wadau wengine wengi wananung'unika sana kutokana na uuzaji wa Jezi. Jezi zinafichwa na kuuzwa kwa bei kubwa kwa mlango wa nyuma hapohapo klabuni.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kiburi, Dharau na Ujeuri wa Yanga SC ipo Siku utawagharimu, watajuta na kukosa wa kuwatetea

    Endeleeni kudhani mnavyowafanyia Wazawa/ Waswahili wenzenu na wananyamaza basi itakuwa hivyo hivyo pia kwa Wazungu hata kama Kampuni zao zilizoko nchini Tanzania zinaongozwa/ zinasimamiwa na Waswahili na wana Yanga SC Wenzenu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…