yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji: Jana tumefungwa Magoli, leo tumefungwa Midomo

    Siyo maneno yangu, ni ya big boss MO. Kesho kutwa Mo na Azam kama TFF haitawaonea huruma na kuhairisha mechi kwa kichaka kuwa mnashiriki kimataifa.
  2. JamiiForums Tanzania Kati ya Yanga na Simba ipi timu bora hapa Tanzania?

    Tuache ushabiki, tuambiane ukweli.Kati ya Simba na Yanga ipi timu bora hapa Tanzania?
  3. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Yanga, Je Huyu nabii wa Taifa apuuzwe?

    Kuna jamaa nimemuona kwenye Whatsapp anajiita nabii wa taifa, Anasema ili Yanga na Simba zishinde inabidi Watoe kwake sadaka ya Milioni 20 kuombea ushindi. Sasa kushinda kwa Yanga, najiuliza nani Muongo kati ya nabii na Mungu/Muungu wake? Ifike wakati watu wa Mungu washughulike na mambo ya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Yanga msisahau mpo Shirikisho Afrika baada ya kuondolewa Champions League ilipo Simba

    Yanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo Yanga haijawahi kucheza hatua ya Makundi kombe la CAF Champions League tangu mwaka 1997...Think about That Ni kama mashindano ya...
  5. JamiiForums Tanzania Mayele akiacha uchoyo wa pasi Yanga itakuwa inafunga magoli mengi kimataifa

    Kwanza niwapongeze wamanchi wenzangu kwa ushindi huu, Pili kwa vibunda tulivyoahidiwa kwa kila idadi ya goli 5M. Pili mayele ametufelisha sana leo, anachelewesha mipira, anataka kufunga magoli yeye kama yeye hata kama kuna nafasi ya kutoa pasi. Vionfozi wangu wa Yanga naamini mtamuelekeza...
  6. JamiiForums Tanzania Ni muda sasa wa kumsikiliza Komando Mashimo alichosema kuhusu Simba na Yanga

    Kipigo cha tatu bila kwa timu ya Simba kimenifanya niiangalie tena video ya Mchungaji Komando Mashimo kwa sasa anayejiita Nabii Mikaya aliyemuomba Rais Samia awalipie deni Simba na Yanga ili waweze kushinda katika michuano ya CAF. Nabii Mashimo alisema mwaka 2022 Mungu alitenda kwa ajili ya...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga msimwangushe Rais Samia jamani tupate tumwagilie. Magoli ya kutosha leo

    Kwa jinsi ilivyooo Naamini haitatuaibisha kama simba jana ile n aibu 3-0 na hela.Iko mezani Naomba tujitahidi magoli jaman na kama kaushindi kanawezekana mfanye hivyo kumpa nguvu raisi wetu nxtym.Atuwekee mil 10+ kila goli kama. Morali
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa mashabiki wa Yanga

    Yanga wanaogopa Nini? Mbona sioni shamrashamra kama za jana kwa wenzao Simba SC? Wasiwasi wa nini wajameni? Hebu jiaminini? Jana baada ya kutoka jumuiya asubuhi naona mashabiki wana shangwe na furaha wakipata pombe kuanza kushangilia. Leo mtaani kimya kama vile hamna timu kubwa inacheza mechi na...
  9. JamiiForums Tanzania Muda wa Wanasiasa kutafutia sifa Simba na Yanga umeisha. Kila wakitia neno tunapigwa

    Siasa za CCM zianze kuangalia vitu vya Msingi tu kila wakija kwenye soka always ni nuksi tu. Kwanza watu wanawekeza mabilion Alafu mwanasiasa anataka apate sifa kwa m 5 isiyotosha ata mshahara wa mwezi wa mchezaji. Kawaida Simba hununua away game kwa m 200. Sasa Hawa wanaomshauri mama...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mnaoomba kesho Yanga SC ifungwe ili kubalansi kuchekana na Maumivu mtaumbuka kesho kwani Yanga SC anamfunga TP Mazembe

    Mtabinya (Tutabinya) mno Mbupu zetu Kesho ili TP Mazembe isifungwe na Yanga SC (Yanga SC ifungwe ) ili tusichekane lakini Ukweli ni kwamba Kesho Yanga SC anashinda Mechi yake kwa Mkapa au atatooa Suluhu au Sare ila hatofungwa ng'o. Siku zote Dua la Kuku halimpati Mwewe. Mechi yako na Raja...
  11. JamiiForums Tanzania Ahadi ya Milioni 5 aliyotoa Rais itaziponza Simba na Yanga. Hazina bahati na wanasiasa

    Siasa za CCM zianze kuangalia vitu vya Msingi tu kila wakija kwenye soka always ni nuksi tu. Kwanza watu wanawekeza mabilion Alafu mwanasiasa anataka apate sifa kwa m 5 isiyotosha ata mshahara wa mwezi wa mchezaji. Kawaida Simba hununua away game kwa m 200. Sasa Hawa wanaomshauri mama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia acha kushughulika na Simba na Yanga kisiasa. Wekeza kwenye maendeleo ya Watanzania

    Unaumiza kichwa kutoa ahadi zisizo na tija. Toa ahadi ya Mil 5 kwa Mwl atayetoa matokeo mazuri. Toa ahadi kwa afande atakaye dhibhiti ujambazi. Toa ahadi kwa manesi . Ona sasa
  13. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga hazitofuzu kwenye makundi yao

    Wote wataishia kutolewa katika hatua ya makundi. Sioni timu yoyote ya Tanzania iliyovizuri katika michuano ya kimataifa. Kwahyo nawaomba mpunguze matarajio makubwa vichwani vyenu
  14. JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba atadroo wakati Yanga atashinda huko katika mechi za kimataifa

    Baada ya kupatia utabiri wangu wa wiki iliyopita leo tena nawasogezea utabiri wa mechi za weekend hii kwa wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kimataifa. Simba ambayo inashuka dimbani leo, itatoa droo ya 1-1 dhidi ya Raja Casablanca. Kutakuwa na red card pia katika mchezo huo. Yanga...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Msaada AZAM MAX APP. Nifanyeje kupata chaneli zinazoonesha mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Shirikisho za CAF za Simba na Yanga?

    Ninatumia AZAM MAX APP. Inapofika siku za mechi za CAF chaneli zinazoonesha zinaondolewa nakuwa zisizioni tena, afu mechi zikiisha zinarudishwa. kwa mnaotumia AZAM MAX APP naomba msaada namna ya kuipa ZBC 2 kwa sasa, leo niangalie games za CAF za Simba na Yanga
  16. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni timu masikini kifedha

    Nimeangalia game ya Mamelody Vs Cotonsport. Mamelody wametimia kila idara aisee. Wachezaji wapo sawa kuanzia akili na miili.nimefatilia nikagundua wachezaji wa Mamelody sio wachezaji wa bei rahisi na wa kuokoteza. Timu masikini azifiki nusu wala fainali CAF, kufika huko ni lazima kwanza kikosi...
  17. JamiiForums Tanzania Watani wa jadi watatoka salama wikiendi hii?

    Simba anakutana na Raja huku Yanga atachuana na Mamba wa DRC Tout Puissant Mazembe. Unafikiri kati ya wekundu wa msimbazi na wananchi wapi wana uhakika wa ushindi?
  18. JamiiForums Tanzania Million 5 kwa kila Goli Simba na Yanga mnaenda kupoteana

    Pesa haijawahi kushinda mechi hata siku moja, kama pesa ingekuwa kigezo cha kufanya vizuri kwenye mechi basi marekani ingekuwa na timu bora sana duniani. Mpira ni mbinu na ubora wa wachezaji, kumbu kumbu zangu zinaniambia timu zote ambazo hupewa ofa kama hizi huangaukia pua. Simba na yanga...
  19. JamiiForums Tanzania TASWA wampongeza Waziri Dkt. Pindi Chana kwa uteuzi, yatuma salamu kwa Simba, Yanga

    Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kinampongeza Dk. Pindi Hazara Chana kwa kuteuliwa na Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo mwanzoni mwa wiki hii. Pia TASWA inampongeza Said Othman Yakub kwa kuteuliwa na Rais Samia kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ningekuwa Kocha wa Simba na Yanga ningeanza ifuatavyo

    Mimi ni mzalendo. Pamoja na kunipenda sana Simba lakini linapofika suala la Nchi Tanzania Huwa naweka mbele maslahi ya Nchi. Japo hakuna hata SEKTA Idara, Wala Taasisi yoyote yenye Mafanikio. Kama Ningekuwa KOCHA WA Simba ningeanza Hivi. 1. Aishi Manura. 2. Shomari kapombe. 3. Mohamed...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…