Achana na habari ya kushuka daraja, lakini performance ya hawa Gallants ni moto, wako vizuri sana. Kama kuna watu weshuhudia game ya jana kati ya Pyramid dhidi ya Al Ahly wataona moto wa pyramid ulivyo. Binafsi niliona kama pyramid pengine wameshuka kiwango hadi kupelekea kutolewa na Marumo...