yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Salamu za Rais Samia zafikishwa kwenye benchi la Ufundi ya Timu ya Yanga

    Naibu Waziri wa Utamaduni sana na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma usiku wa Mei 16, 2023 nchini Afrika Kusini, amepata nafasi ya kufikisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa wachezaji na benchi la ufundi la timu ya Yanga kuelekea kwenye mchezo wao wa...
  2. JamiiForums Tanzania Watani wa jadi Simba na Yanga

    Habari zenu wanakabumbu Hapa tufanye ndio sehemu sahihi ya kufurahia tamu za utani na kuuvumilia machungu ya timu hizi mbili nchini kupitia utani huo. Hizi ndio timu kongwe nchini zenye mashabiki wengi kuliko timu nyingine za humu ndani. Tetea timu yako kwa mazuri yake. Pondea timu ya jirani...
  3. JamiiForums Tanzania Naanza sasa Kumuamini aliyeniambia kuwa Kipa Msheri wa Yanga SC atapona Ugonjwa Usiojulikana Yanga SC ikiwa Bingwa wa CAFCC 2023

    Pole sana Kipa Msheri vumilia hadi Yanga SC itinge Fainali ya CAFCC leo ichukue na Ubingwa utapona kabisa tatizo lako lisilotibika Hospitali huku Ugonjwa wako ukifichwa na Suala lako likifichwa kwa kila namna ili lisijadiliwe kwani Kuugua Kwako huko ni Mkakati Maalum wa Babu ili mwaka huu Timu...
  4. JamiiForums Tanzania Mzee wa Jambia: Ukimtoa Mayele Yanga ubora unapungua kwa 50%

    Kupitia kipindi cha michezo cha efm, Wilson Oruma amekaririww akisema kwa kikosi cha Yanga ya sasa ukimtoa Fiston Kalala Mayele basi ubora wa Yanga unapungua kwa 50% Akaongeza zaidi, Mayele pekee yake kwa ubora wake anaibeba Yanga kwa asilimia 50%. Hivyo ili Yanga iwe vizuri inahitaji ubora wa...
  5. JamiiForums Tanzania Anayetaka pesa ya bure aweke bashiri hii mechi ya Yanga kesho.

    Yanga itashinda goli 2 kwa bila na ili upate pesa nyingi bashiri kuwa goli zote zitapatikana kipindi cha kwanza. Pesa nje nje, wataalamu wa betting mnisaidie , nikibeti kwa kutabiri yanga itashinda goli 2 kipindi cha kwanza na kuweka elfu 10 itazaa sh.ngapi? Nimeota, na inaenda kuwa kama...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Rekodi za Yanga dhidi ya Timu za Afrika ya Kusini

    Wasalaam. Ninaomba mwenye rekodi za Yanga akicheza na klabu za Afrika Kusini hasa mechi zinazochezwa ugenini Afrika Kusini kama hii ya kesho. Nawasilisha.
  7. JamiiForums Tanzania Yanga 3 - 1 Marumo

    Tusijihangaishe sana, mechi siku ya Jumatano imeisha kihivyo. Achana na tabiri uchwara zote ambazo umezisoma mahali, haya ndio matokeo ya Jumatano. #YoungFc35
  8. JamiiForums Tanzania Yanga kusare 1-1 na Marumo

    Jumatano hii yanga itashuka dimbani kukipiga na marumo mchezo wa pili wa nusu fainali. Habari njema nikuwa yanga watafanikiwa kupata sare na kusonga mbele kwenye michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa.
  9. JamiiForums Tanzania Jeff Leah: Yanga itafungwa 3-0 na Marumo na nina uhakika haitofuzu Fainal wala kuchukua kombe

    Mchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo. Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka
  10. JamiiForums Tanzania Sincerely kwanini nataka Yanga SC ifike Fainali ya CAFCC na Ibebe kabisa na Ubingwa?

    1. Ili wana Simba SC tunaodanganywa kila mara mpaka kutuletea Mchezaji Mhamasishaji, Majeruhiwa, Mwanasiasa ( hasa za Michezo ), Mpiga Kura, Msanii na kufanywa Wapumbavu tuumbuke. 2. Ili Uongozi mbovu na wa Upigaji mwingi ubadilike au uachie ngazi. 3. Itufanye Mashabiki wa Simba SC kuachana na...
  11. JamiiForums Tanzania Hongera Simba SC kupanda viwango vya ubora CAF

    Kwa mujibu wa mtandao wa IFFHS, ambayo imetoa orodha ya vilabu bora kwa bara la Afrika imeonyesha simba ikishikilia nafasi ya 10 huku kinara akiendelea kuwa Al ahly ya nchini Egypt. Hongera kwa kilabu cha Simba na benchi zima la ufundi.
  12. JamiiForums Tanzania Ikitokea Yanga kachukua kombe la Caf. Je, atashiriki klabu bingwa au atashiriki CAF ili kulitetea?

    Naomba ufafanuzi juu ya Hilo.
  13. JamiiForums Tanzania Tff na Bodi ya Ligi imeisadia Yanga kushinda ubingwa msimu wa 2022/23

    Habari kwenu nyote. Katika kile ambacho TFF na Bodi ya Ligi inakipinga kila siku suala la upangaji wa matokeo,lakini wao kwa namna moja ama nyingine wamekua wakikifanya kwa makusudi kabisa bila kushtakiwa na mtu yeyote. Hivi inawezekana vipi katika hali ya ushindani wewe unapanga ratibu Simba...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga ni bingwa 2023, ni darasa kwa wadau wote wa mpira nchini

    Mpira ni uwekeaji, uongozi wa vijana na usajili wa vijana wenye vipaji. Mpira unachezwa na vijana hivyo huwezi kuwa na viongozi wa mpira wazee waongoze mpira. Mpira sio ulozi na mizengwe bali sayansi ya mpira kama kama waliyonayo Nabi na kaze. Mpira ni coordination ya wadau wengi, sio mtu...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga kuwa mabigwa wa Ligi ya Tanzania bara na mabingwa wa kombe la shirikisho la CAF ni historia ya kipekee

  16. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya sisi Yanga kutojumuishwa African Super League ingawa tuna sifa ya kuwemo

    Hii dhambi waliyoifanya Simba itawatafuna, inafahamika kuwa Simba wametumia ujanja wa kuweka pandikizi la huyu mdada kule CAF ili aweze kucheza kazi zote chafu ikiwemo hii ya kuisagia kunguni Yanga SC ambayo ndio club inayofanya vizuri Africa Mashariki na kati kwa miaka hii ya sasa, Mwanadada...
  17. V

    JamiiForums Tanzania Siwaombei Yanga ushindi huko kwa Madiba

    Bila kupepesa macho, naomba Yanga wafungwe goli za kutosha huko South. Sababu ni kuwa wametukebehi sana sisi tusiowashabikia baada ya kaushindi kao ka juzi.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Yanga akishinda leo Anabeba Ubingwa ligi kuu 2022/23!

    Wananchi wanakipiga dhidi ya Dodoma FC leo! Wanahitaji point 3 tu watangaze Ubingwa! Unadhani kazi itakua rahisi kwa Yanga mbele ya wanaDodoma? Wanangu wa mikeka ya Sokabet, Cheki Odds hapa👇
  19. JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Mganga wa Kienyeji aliyemfanyia Kazi Tukuka Musiba akawa ndiyo huyu huyu wa Yanga SC inayoenda kuwa Bingwa wa CAFCC 2023

    Tafadhali Poti wangu Musiba kuna Demu Mmoja wa Kihaya na Kinyiramba si tu ananisumbua bali ananikondesha pia kwa Kunikatalia kunipa 'Tamu Baioloji' yake. GENTAMYCINE nipo chini ya Fito zako naomba unipe Namba yake / zake za Simu ili nimpigie anifanyie Kazi yangu ifanikiwe ning'oe Mzigo kama...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Marumo wanavyocheza, kuelekea mechi ya marudiano Yanga inapaswa kufanyia kazi mapungufu yao

    Jamaa wana spidi na wanafika hadi langoni na pasi ni za uhakika sana. Inatakiwa benchi la ufundi lije na muarobaini wa kuwazuia jamaa wasifike langoni. Maana mechi ya Dar ilikuwa ni almanusura jamaa wapate magoli maana wamefika sana langoni na Diarra kufanya saves kadhaa. Jamaa watakuja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…