Mwamnyeto
huyu uwezo wake umeshuka sana, limekuwa beki la hovyo mnoo..hili pazia likicheza watu wanafinya mbupu mwanzo mwisho..Lifukuzwe
Ikangalombo
Wakati mwingine sio lazima timu iwe nawachezaji wote 12 wakigeni , niheri kutosajili kabisa ikiwa hakuna mchezaji wa maana sokoni ..hili jamaa...