yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. Ijue Ajenda ya Siri juu ya Yanga SC 'Kutishia' kutocheza Mechi yao na Simba SC 03 July, 2021

    Juhudi zangu za Kuchimba kutoka Jikoni nimeambiwa na Mmoja wao kuwa si Kweli kuwa Yanga SC hawataleta Timu Siku hiyo ila Kutishia kwao huku mara kwa mara kutoitambua au kutocheza 'Derby' ni kutaka 'Kuidhoofisha' Klabu ya Simba Kimapato kwakuwa Mechi hii ijayo Simba SC ndiyo Mwenyeji. Hivyo basi...
  2. K

    Drama za viongozi wa Yanga

    Hawa watu wana mbinu nyingi sana za ku-survive katika mazingira yoyote kwenye nafasi zao. Sakata la wazee wa Yanga unaeweza kufikiri viongozi hawajui. La hasha! Wanafahamu sana na ukweli inaonesha anayelengwa hapo ni GSM. Viongozi hawamtaki na kwa vile wameshamwona Manji, wanatengeneza fitna...
  3. Kama Mwanayanga SC siwezi kumpigia kura Abbas Tarimba kwa nafasi yoyote TFF

    I declare Interest. Mimi ni Mwanayanga mpenzi wa mchezo wa Mpira wa Miguu. Nmemsikia Tarimba Abas akiwa Bungeni na pia akihojiwa na vyombo vya habari. Ukimwona Bwana Tarimba kabla hajaongea unaweza sema atakuwa na Busara au Akili. Akija kuongea utasikitika na kujiuliza kwa nini ameongea? Ni...
  4. N

    Picha ya wachezaji wakubwa huko south africa wanaoomba kujiunga yanga sc

    Kitendo cha yanga sc kuwepo kwenye top 100 ya teams bora afrika ikishika nafasi ya 74 nyuma kidogo ya namungo iliyo namba 60 kimeipa umaarufu mkubwa huko south africa huku wadau wakisema ni kitendo kinachopaswa kujivunia haswa ukifikiria bara hili lina maelfu ya teams Sasa unaambiwa wachezaji...
  5. Rasmi: Yanga SC yaishinda Mabavu ya Kifedha Simba SC kwenye usajili wa Masoud Djuma

    Masoud Djuma (umri 28) akamilisha usajili wake ndani ya Yanga SC kwa dau la USD500,000 (Bilioni 1 & Milioni 150) Yanga imefanikiwa kuwashinda wapinzani wao Simba SC Tanzania baada ya offer yao ya USD 399,000 (Milioni 850) kutupiwa kapuni. Simba SC Tanzania ilimuhitaji Djuma kama mchezaji pacha...
  6. N

    Simba ya 13, Yanga 74, Namungo 60 na mchakato wa kupata points

    hii ni hadi 23 may 2021 nahisi caf wamesahau kuweka kombe la mapinduzi tukufu
  7. Kwahiyo wana Yanga SC duniani kote tumekubali hii ' Kashfa ' isiyovumilika kutoka kwa Injinia Hersi Said wa GSM dhidi yetu?

    " Tumeitoa Yanga SC Uswahilini pale Manzese wakiwa na hali mbaya, Njaa wakila Maharage na Ugali wa Kugombania na Wanang'atwa na Mbu na sasa tumewaweka pale Avic Town Kigamboni wanakula vizuri sana " Yaani wana Yanga SC wote kama kuanzia Usiku huu na mpaka Kesho hatujamfukuza Injinia Hersi Said...
  8. Kama tu Injinia Hersi wa GSM na Yanga SC yake anaonyesha 'Udhaifu' huu kwanini Yanga SC isiwe na Matokeo mabaya na ya hovyo hovyo?

    Yupo Studioni sasa EFM kwenda ' Kuzurula ' na ' Kuwadanganya ' wana Yanga SC na ameulizwa Swali dogo lenye Kuhitaji jibu fupi tu na Mtangazaji Tunu Hassan Shemkome na Majibu yake ( Injinia Hersi Said ) yakawa hivi ( haya ) .... Swali Mtangazaji Tunu... Je, bado Injinia Hersi anadhani Yanga SC...
  9. Simba SC ni matumaini yangu mmejiandaa vilivyo kuhusu Sakata la Yanga SC na Mchezaji Morisson kwani naona limekaa vibaya Kwetu huko CAS

    Kitendo tu cha Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani ( CAS ) kutupilia mbali Ombi la Mchezaji Bernard Morrison kuwa Wasiisikilize Kesi yake ni ' wake up call ' kwa Simba SC kuwa kuna ' HATARI ' inaenda Kutuangukia na huenda tusiamini na tukaja Kujuta pia. Tafadhali upesi sana Simba SC...
  10. Mbunge Tarimba Abbas (CCM) je, wana Kinondoni tulikutuma Bungeni kuzungumza matatizo yetu au kuizungumzia Yanga SC yako tu?

    Leo ni mara ya Pili (kama siyo ya Tatu) nakuona kila ukipewa muda wa Kuongea Bungeni Wewe Kazi yako ni Kuisemea tu Yanga SC yako na Kuonyesha pia chuki zako za wazi wazi kwa Rais wa TFF Wallace Karia na Klabu Hasimu Kwako ya Simba SC. Hivi Wewe Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas (CCM) ulipigiwa...
  11. Kwanini Maulid Kitenge na Sports Arena yake ya Wasafi FM hawayaongelei haya yanayoendelea Yanga SC?

    1. Nidhamu mbovu ya Wachezaji Watatu Lamine Moro, Metacha Mnata na Michael Sarpong huku wengine wakipigana, kurogana hadharani na hata kutukanana. 2. Tabia mbaya ya Usodoma na Ugomola aliyonayo Kocha Mmoja kutokea kwa Wakikuyu iliyomkera Kipa Metacha. 3. Mwenyekiti Msolla na Injinia Hersi...
  12. B

    Yanga mnunueni Kahata, Kagere, Ame, Dube na Mkude

    Yanga kama wanataka kuongeza kikosi chao waongeze wachezaji wafuatao kutoka Simba. Kahata ni bonge la mchezaji ila Simba hana namba, Kagere the same, ame bonge la beki tatizo namba ni issue, mkude kupata namba tangu aje lwanga imekuwa shida. Striker mchukue Dube, kutoka Azam, mchukueni striker...
  13. Je, magoli Mawili ya 'Mipango' aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania na Yanga SC yamezingatia Goal keeping Principles Wadau?

    Hata Mimi GENTAMYCINE na Uzee wangu huu wote wa sasa sifungwi Magoli ya Kizembe kama yale aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania. Na kilichonishangaza zaidi ni kwamba pamoja na Kipa huyo wa JKT Tanzania Kufungwa leo Magoli yale Mawili na Yanga SC ukimuangalia Usoni wala haonyeshi ama Kusikitika...
  14. Rekodi za Yanga dhidi ya Kaizer na wengine

    Maandishi hayafutiki wala hayaongopi, hii ndio historia ya UTOPOLO FC kwa timu za nje. Sasa wanapomcheka na kumbeza mnyama wanajifariji tu.
  15. Yanga tuna la kujivunza kutokana na mafanikio ya timu ya Simba

    Ushindi wa mabao 2-1 walioupata Simba jana dhidi ya Vita Club umewapeleka robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika. Hakika wanastahili pongezi kwa mafanikio hayo Watani zetu wametufundisha jambo kubwa sana, ili kuweza kufanikiwa tunahitaji uwekezaji wa fedha, akili, muda...
  16. F

    Mimi Nikipewa Yanga au Simba tunasumbua sana Champions League kwa style ya Enyimba, Mamelodi Sundows, Diamond Platnumz

    Habari wadau, binafsi ni mshabiki wa yanga miaka mingi. Simba ni watani wangu japo tabia zetu zinafanana ndio maana tunaishia kushindana wenyewe kwa wenyewe mchangani huku Natamani sana kabla sijafa nije nione mechi ya simba na yanga ambayo sio ya ligi kuu wala kombe lolote local natamani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…