Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,124
- 3,681
Ujanja Ujanja kwa maana nyingine ni UTAPELI.
Hongereni sana Timu ya Wananchi, Dar Young Africans kwa kuvunja MKATABA wa Ndugu Djuma Shaaban na kumleta Jangwani.
Hii ndiyo maana halisi ya uwekezaji. Kununua watu ambao wanakuja kufanya kazi straightaway na sio kujifunza kazi kama zile za kina Chikwende, Mnaijeria, Kahata na wengineo.
Uwekezaji wa Mo ndani ya Simba ni wa kitapeli na wenye kutengeneza manufaa binafsi juu yake, hata Uwanja wa Timu ameshindwa kuupa jina la KLABU, ndiyo mjue mikia ni zero brain.
Hamisi Kigwangala alimaanisha sana, Ila muda utaongea.
Ni Mchezaji gani wa maana ambae Mo amewahi kumsajili kama ilivyofanya Yanga kwa Djuma Shaabani? Klabu 3 zilimtaka Djuma Shabaan.
Djuma alikiri yeye yupo tayari kwenda kokote kwenye Competitive Offer, akaweka dau lake mezani, Madam aliposikia offer hakurudi tena, alidhani ni kina Chikwende hao.
The worst part ni kuwa Djuma hakutaka any negotiation ya mshahara wake, kwa sababu anaamini katika uwezo wake. Mikia imebaki kupika majungu, eti ni mchezaji mwenye majeraha anaekaa sana nje, kama ni hivyo Madam alienda kongo kimya kimya kufanya nini?
Bakini na upupu wenu wa Bilioni 20. Timu isiyokuwa na weledi, wachezaji kulaumiwa na kusimangwa eti kwa nini wamefungwa, tunawalipa vizuri lakini bado mnafungwa; unawezaje kulaumu wachezaji kwa kigezo cha kuwalipa vizuri. Barcelona inalipa watu Bilions na bado inafungwa, nyie KENGE wa msimbazi kwa mishahara isiyozidi mil 250 kwa mwezi msifungwe kama nani.
Naiona Yanga ikileta mabadiliko ya soka Tanzania, ni suala la masiku yanayohesabika tu upepo utahama.
Tunasikia Mo anakimbizana na Makusu mchezaji ambae alishapotea muda tu, tunajua kwanini, ni utapeli na hadaa ya bei chee na uwekezaji hewa ndio umetawala.
Tunawafundisha maana halisi ya uwekezaji.
Ni wakati wa Yanga sasa, Djuma shabani ni trailer tu, Yanga inaleta vyuma vya maana bila ya kujali bei. Yanga inatema Chechee. Wiki ijayo tunatema checheee.
Kigoma. KIMOJA tu.
kimoja tu mkavurugane mbele wenyewe.
Kimoja tu, tena dakika zile zile za mwanzo.
Kimoja tu
Kimoja tu, kikipenya pyuuuuu bila maumivu