yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Washikilie wanaokujali

    Kuna watu, ambao wapo na wewe wakati wa raha na huwamkaribu nawe kwa manufaa yao, Kuna watu wapo na wewe, wakati wa shida na huja tu endapo utakua katika wakati mgumu, Kuna watu wapo na wewe sababu tu kuna vitu mnafanya pamoja, yaweza kuwa kazini, masomoni, au kwenye shughuli mbalimbali za...
  2. D

    Baba, tumia mapumziko Yako ya week-end kwa kukaa na wanao.

  3. 'Matege Ndani' Baba yako aliyeondoka 'Mazima' aliwashindwa 'Coast Mafias' je, Wewe uliye Mwepesi utawaweza?

    Halafu acha Kuwaamini hao Waandamizi wako Watatu wa Idarani na Mmoja ni Mstaafu kwani Wanakuponza utaumia.
  4. N

    Uhusiano kati ya kipaji na mapendeleo yako

    Kipaji Ni uwezo yaani watu wanakuwa na maslahi na kile ulichonacho wakati hamu ni mapendeleo ni hisia ama tamaa unayokuwa na shauku nayo juu ya kitu /jambo fulani linalokuvutia. Ili kukitambua kipaji chako lazima uwe makini kwenye shughuli za kila siku au matendo unayoyatenda Kila siku yapi...
  5. K

    Azimu Dewji ndo wanahujumu simba, Ilisema Kocha aliyepita hakufaa, sasa yako wapi?

    Mzee azimu Dewji mda mwingi alimtuhumu mzee wa objective football eti kwa kuwa hajawahi kuchukua makombe makubw, akaongea na wachezaji fuani ili team ifungwe Goli Tano iliwamfukuze. Sasa wameleta huyu na kufukuza wachezaji bora wakaleta magarasa na sasa hamna kitu. Tunataka mzee Dewji...
  6. Kwa wale mnaolalamika kudhalilishwa na kampuni za mikopo mtandaoni, fanya hivi kuwazuia kuona taarifa kwenye simu yako

    Moja kwa moja kwenye mada.... Fanya hivi nenda setting>Privacy>permission manager>apps that can control your data....ukifungua huku utazikuta apps zote ulizo allow ku access simu yako then gusa kila kipengele kimoja kimoja kuanzia kwenye sms,camera,files,contacts utakuta hizo apps ulizoruhusu...
  7. Kama hujawa tayari kuishi na kuiheshimu ndoa yako ni bora ubaki peke yako na uhuru wako

    Tazama Hapa tukio la FUMANIZI la jamaa mmoja ambaye alifanikiwa kumfuma mke wake wa ndoa akijivinjari na mwanaume mwingine nyumba ya jirani. Angalizo: Punguza Sauti Kama upo kwenye watu wengi https://www.instagram.com/reel/C5pbVlzIiGv/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg== Kama mtu hujawa tayari kuitumikia...
  8. Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

    Najua humu sio kila mtu anagombania Daladala/Mwendokasi, niambie usafiri wako wa kwanza ulinunua ukiwa na umri wa miaka mingapi..? Mimi 25 niliagiza Mkoko toka Japan. Funguka Mkuu..!
  9. Kwanini Watutsi wa Congo wasichukuliwe kama Wamasai, Wakurya au makabila mengine ambayo yako mipakani?

    Hili wazo niliwahi kusikia speech moja ya hayati Nyerere. Kabla ya Ukoloni lilikuwa ni kabila moja ambalo liliambaa Rwanda hadi Congo. Kama Arizona iliwahi kuwekewa mipaka katikati na nusu ya waarizona wakawa US na wengine wako Mexico. Kama Wamasai wako Kenya na TZ, Wakurya wako Kenya na Tz...
  10. Bajeti yako ya sikukuu jana ilikuaje, umetumia kiasi gani kusherehekea ?

    Mm Mjanja M1 bajeti yangu ilikuwa ni nauli tu za kunifikisha kwenye majumba ya watu kuupiga Ubweche, maana nimezipitia nyumba kama 5 ivi kwa haraka haraka kuupiga kwenye sikukuu ya jana. Nilitumia Buku tu, 1000/= Vipi wewe bajeti yako ilikuwaje.?
  11. Video za ngono na wasanii ni ndugu?

    Habari wadau, kwanini wasanii na watu maarufu imekuwa kawaida kufanya ngono na kujirekodi tena kwa ujasiri? Je, serikali hailioni hili au na yenyewe imeamua kubariki utumbo huu? Leo Aslay naye katoa sexy tape yake akifanya uchafu wake na kahaba mmoja hivi. Hivi watu kama: Aslay, Gigy, Uwoya...
  12. P

    Kocha Benchika unaharibu CV yako

    Bila kupoteza muda moja kwa moja kwenye mada. Kwa mambo na mwendelezo wa jaribu tena FC aka makolo,kocha Benchika ni vema ukajitenga na timu hii kwa faida yako. Timu ipo kiuswahili Swahili sana na kuendeshwa kijanja janja. Msimuu huu hutaambulia taji lolote hapa utaenda kuchafua CV yako nzuri...
  13. B

    Je, unatafuta Vifaa (Accessories) kwa ajili ya Laptop au Desktop yako?

    𝗛𝗮𝗯𝗮𝗿i 𝗡𝗱𝘂𝗴𝘂, 𝗝𝗘 𝗪𝗔𝗝𝗨𝗔👉👉👉👉🔥🔥 𝗕𝗜𝗚𝗜𝗧𝗘𝗖𝗛 𝘁𝘂𝗻𝗮𝗸𝘂𝗹𝗲𝘁𝗲𝗮 𝗛𝘂𝗱𝘂𝗺𝗮 𝘇𝗮 𝗩𝗶𝗳𝗮𝗮 𝘃𝘆𝗮 𝗞𝗼𝗺𝗽𝘆𝘂𝘁𝗮 ( 𝗟𝗮𝗽𝘁𝗼𝗽 & 𝗗𝗲𝘀𝗸𝘁𝗼𝗽 ) 𝗽𝗮𝗺𝗼𝗷𝗮 𝗻𝗮 𝗦𝗶𝗺𝘂. 𝗧𝘂𝗻𝗮𝘂𝘇𝗮 𝗔𝗱𝗮𝗽𝘁𝗲𝗿, 𝗕𝗲𝘁𝗿𝗶, 𝗥𝗮𝗺, 𝗘𝘅𝘁𝗲𝗿𝗻𝗮𝗹 & 𝗜𝗻𝘁𝗲𝗿𝗻𝗮𝗹 𝗛𝗗𝗗 ( 𝘂𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝘁𝗼𝗳𝗮𝘂𝘁𝗶 ), 𝗠𝗼𝘂𝘀𝗲, 𝗞𝗲𝘆𝗵𝗼𝗮𝗿𝗱, 𝗩𝗶𝗼𝗼, 𝗦𝘆𝘀𝘁𝗲𝗺 𝗖𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲, 𝗛𝗱𝗺𝗶, 𝗩𝗚𝗔, 𝗗𝗩𝗜 𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲𝘀, 𝗖𝗮𝗺𝗲𝗿𝗮, 𝗟𝗮𝗽𝘁𝗼𝗽 𝗻𝗮 𝗗𝗲𝘀𝗸𝘁𝗼𝗽. 𝗣𝗶𝗮 𝘁𝘂𝗻𝗮𝘁𝗼𝗮 𝗛𝘂𝗱𝘂𝗺𝗮...
  14. Mara yako ya mwisho kupiga kura ilikuwa mwaka gani? Kwanini?

    Kuna watu wamepoteza ari ya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu. Wapo wanaosema waliacha kwa kuwa hawana imani kama kura wanazipiga ndizo zinaamua mshindi, wanaona kama uchaguzi ni kiini macho tu hivyo wamekata tamaa ya kushiriki. Wengine wakidai wanajichosha...
  15. INAUZWA Imarisha afya yako ukiwa nyumban na mashine za mazoezi

    ubusy wa kazi unafanya tusahau sana afya zetu,foleni barabarani unafika nyumban muda umeenda na unashindwa kutoka na kwenda gym au kukimbia barabaran, lakini vipi ukiwa na mashine ya kukimbia nyumban kwako na ukatumia dakika 25 mpaka 45 jioni au asubuhi kabla ya kutoka? Utakuwa umefanya...
  16. Mara yako ya Mwisho kumaliza dozi ulipougua ni lini?

    Je, unazingatia 'dozi' unapoandikiwa na Daktari? 'Kuzingatia dozi' hujumuisha.... Kutumia dawa kwa Kipimo sahihi Kumeza/Kunywa Dawa kwa wakati Kumaliza dozi kamili Kutotumia dawa nyingine kujitibu Kuzingatia dozi ya dawa kunajumuisha kufuata maelekezo ya daktari au maelekezo yaliyomo...
  17. Ukitaka kwenda mbali nenda peke Yako ukitaka kwenda mbali sana nenda na wengine

    Wakuu kichwa Cha habari kinajieleza vizuri ,wote tumeona yaliyotokea ijumaa ambapo team zetu pendwa ziliondolewa katika cafcl Ukweli ni kwamba hakuna vibe zuri kama la cafcc na Cafcl Sasa tumelikosa huku tukiwaangalia wengine wakisonga mbele Kwa Sasa ni wito wangu kwa Yanga na Simba linapokuja...
  18. B

    Je unaelewa haya Kuhusu Betri kwenye Laptop yako..?

    Dondoo Mbalimbali Muhimu kwa Kuhusu Betri ya Laptop..!! 1. Je unajua Kuwa Unaponunua Betri Mpya Yafaa Uichaji kwa Dk. 20 kabla ya kuanza kujaribisha? Maana Betri nyingi zinakuwa Hazina Chaji. Hii husaidia katika utunzaji wa Betri ya Laptop yako. 2. Je unajua Kuwa kupata Joto sana...
  19. Unasikiaga wanasema hakuna aijuaye kesho, si kweli. Nioneshe hivi vitu vitatu na mimi nitakuonesha kesho yako

    1. Nioneshe vitu unafuatilia mara nyingi mitandaoni au page unazo-follow (Insta, Facebook, WhasApp, TikTok n.k.) 2. Nioneshe marafiki zako angalau watano tu. 3. Nioneshe ratiba yako ndani masaa 24 ya siku
  20. Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

    Suala la Kuoa ama kuolewa bado litaendelea kuwa ni hitaji muhimu miongoni mwa Jamii ya watu wengi Ulimwenguni. Kwa Tanzania, tunazo Ndoa za aina mbalimbali ambazo zinatambulika kisheria ambazo ni Ndoa za Kidini, Kimila na Kiserikali. Mara baada ya kufunga Ndoa, maharusi wengi Kwa kushirikiana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…