yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini unahisi umetapeliwa pesa yako uliyoitafuta kwa tabu sana kwenye kampeni ya tone tone ya CHADEMA?

    Umegundua nini hata ukaamua kusita na kutoendelea kabisa kuchangia mpango huo wa chadema wa tone tone? ni kwasababu ya kufichwa kwa taarifa za makusanyo? au ni kwasababu ya matumizi makubwa ya kificho ya fedha za chama kwa viongozi waandamizi wapya chadema taifa? Je, ni kwasababu umeona...
  2. K

    JamiiForums Tanzania 🏗️🔥 KIPPAYA CONSTRUCTION – UJENZI WA KISASA,

  3. JamiiForums Tanzania Iwe heri kwako Bro Mabeste katika ndoa yako

    Hongera sana kwa kuanza ukurasa mpya wa maisha, tazama mbele brother na endelea kusamehe na kusahau yale ambayo yalitokea kipindi ulipojitoa kwa ajili ya Lisa. Karma is a bitch! Nature itakulipia bro wala usisumbuke na yaliyopita, waswahili wanasema YALIYOPITA SI NDWELE tazama mbele kuna maisha...
  4. JamiiForums Tanzania Sanamu Yako Ni Ipi? Raha? Nguvu na Mamlaka? Pesa? Au Heshima na Umaarufu ?: Tafakari Kuhusu Vitu Vinavyotufunga na Kutufanya Tujute

    Moja ya mambo magumu zaidi maishani ni kuelewa kwa nini tunafanya mambo tunayofanya. Kwa nini tunachagua njia fulani badala ya nyingine? Kwa nini tunavutwa na vitu ambavyo baadaye vinatuletea majuto? Kwa nini mara nyingi tunajikuta tunarudia makosa yale yale licha ya uzoefu wa nyuma? Swali hili...
  5. JamiiForums Tanzania Storia fupi J.K. ROWLING mwandishi nguli wa Harry Potter. Nimejifunza "its never too late" kubadirisha maisha yako

    Katika umri wa miaka 17, alikataliwa kujiunga chuo kikuu. Katika umri wa miaka 25, mama yake alikufa kutokana na ugonjwa. Akiwa na umri wa miaka 26, alihamia Ureno ili kufundisha Kiingereza. Katika umri wa miaka 27, aliolewa. Mumewe alimnyanyasa. Akiwa na umri wa miaka 28, alitalikiana na...
  6. JamiiForums Tanzania Pikipiki bila kupita karibu yako ajioni kama anaendesha pikipiki

    Hizi pikipiki ni kero sana japo kuwa zimesaidia ajila na usafiri sana. Unapokuwa barabarani au mtaani pikipiki ikipita lazima inataka ukifikie karibu wakati barabara yote kubwa. Huwa wanakuwa na nini
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jiandae kujimudu mwenyewe kwenye matatizo yako yakizidi wengi watakukimbia waende penye unafuu

    Huu ukweli ukubali kama ulivyo na utakuweka huru hasa pale unapokimbiwa kipindi matatizo yako yamezidi uwezo wao kuvumilia. Watu wengi hawaji kwako kupata hasara hata kama watasema wanakuvumilia jua kuna kesho wameiona ina manufaa hivyo wamepiga hesabu wakaona faida itakuwa kubwa kwao hivyo...
  8. JamiiForums Tanzania Tafuta hela Rais anashinda na mtoto wako ,wewe ukiwa busy na mambo yako ya kazini

  9. JamiiForums Tanzania Ni kweli watu wa Dar wanaongoza kwa roho mbaya na fitina kuliko mikoa mingine Tanzania?

    Jana niliongea na rafiki yangu akasema Zanzibar kupo poa sana, vitu bei rahisi na watu huko wana roho safi kuliko wa hapa Dar es salaam. Sasa tuambizane, je ni kweli Dar kuna fitina sana kuliko kwingine Tanzania? Toa maoni yako humu Pia soma Kufanyia mtu roho mbaya huumiza hata wasiokuwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Usithubutu kumshirikisha Ndugu kwenye Mafanikio yako, Utajuta. Yamenikuta

    Imeandikwa na mdau toka Mbeya:- Nilifungua Mini-Supermarket mahali ili kujikwamua kiuchumi. Nikaona si mbaya kumshirikisha ndugu yangu wa kike wa damu wa kuzaliwa tumbo moja mafanikio yangu ili siku moja moja naye anaweza kuja kuniungisha kununua mahitaji hapa kwangu. Alichokuja kunifanya...
  11. JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwatishia matajiri na wafanyabiashara ijaanza leo wakiwa upande wa vyama pinzani

    Kama mnakumbuka:Hiki kisa cha Katika miaka ya 1990, kulikuwa na tukio ambapo serikali ya Tanzania ilimwaga shehena ya ngano na unga wa ngano wa mfanyabiashara maarufu, Said Salim Bakhresa, ikidai kuwa bidhaa hizo hazikukidhi viwango vya ubora vinavyohitajika kuingizwa nchini. Kutokana na hatua...
  12. JamiiForums Tanzania Jipatie photocopy machine kwa bei chee, njoo na bei yako tumalizane.

    Njoo na bei yako tuyajenge. Call:- +255712302556 +255684240927 Hii fursa ni ya leo tu, simu na zianze kuita kwa ajili ya ukaguzi wa bidhaa na MANUNUZI.
  13. JamiiForums Tanzania Umewahi kusalitiwa na rafiki yako?

    Watu wengi wamekuwa na marafiki wanaowaeleza Siri mbalimbali. Siri hizo huweza kuwa za kimahusiano, kikazi na Mambo kama hayo. Je uliwahi mueleza mtu Siri yako na ukaikuta kwa mtu mwingine kama ilivyo. Ulichukua hatua gani?
  14. JamiiForums Tanzania Tafadhali sana piga kura yako hapa: Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi? Ndio au Hapana

    Katika Ufunuo 22:12 Yesu anasema: “Tazama, naja upesi! Thawabu yangu i mkononi mwangu, nami nitampa kila mtu sawasawa na alivyotenda." Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi kama alivyoahidi katika Maandiko hayo? Jibu NDIYO au HAPANA Maelezo ya Upigaji Kura: Huruhusiwi kubadili jibu lako...
  15. JamiiForums Tanzania Uzi Mahsusi kwa Wadau wa Siasa (Chadema/CCM): Malezi na Madaraka, Kwa Nini Familia Yako Inaweza Kutabiri Mwelekeo wa Taifa

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
  16. JamiiForums Tanzania Pendezesha kuta za nyumba/ofisi yako kwa taa hizi za urembo

    Bei ni 20,000/= kwa taa 1. Tunatuma nchi nzima. Utalipia baada ya kupokea mzigo. Karibuni. https://smarteaglescompany.blogspot.com/2025/01/hizi-ni-taa-za-kisasa-kwaajili-ya.html
  17. JamiiForums Tanzania Swali, Youtube huwa wanalipa kutokana na nchi uliosajili chaneli yako?

    Nimeona baadhi ya chaneli za Youtube, zinazomilikiwa na watu wa huko US, Canada, UK, Nigeria, SA n.k ambazo baadhi zina maudhui ya kusaidia wahitaji mbalimbali ili kuvutia watazamaji. Kinacho nishangaza zaidi, kila video wanazozitoa ni kusaidia tu watu; sasa najiuliza, ina maana huko kwao...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mke sio ndugu yako, siku ukifa, kwenda jela hata ndoa ikivunjika anaweza kupata mume mwengine lakini wanao na ndugu hawawezi kukubadili

    Hamjafika hata miaka 20 kwenye ndoa unapata wapi ujasiri huu wa kumpa mkeo hadhi ya undugu ? KWENU MLIOJISAHAU, TUNAKUMBUSHANA TU.
  19. JamiiForums Tanzania Ni aibu gani umeshawahi kupata kwenye maisha yako??

    Mimi niliwahi kuitwa mahali na mtu nikaenda hiyo sehemu nikakutana na marafiki zake, sasa huyo mmoja niliwahi kudate nae aisee hii aibu ilikuwa kubwa sana na huyu jamaa niliekuwa nae akawa ananiintroduce mimi mtu wake nini ana furahia😁😁 After hapo yule jamaa nadhani alipewa taarifa na rafiki...
  20. JamiiForums Tanzania Bajeti yako ya mwisho kabisa kwenye kununua simu ni shilinga ngapi?

    Huwezi kununua simu inayozidi sh ngapi? Tushirikishe…
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…