yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hatuba ya Rais mwisho wa mwaka 2025 haina mvuto, anarudia rudia ya siku zote, hakuna creativity

    Wala salama. Za mwaka mpya sio mda wake . Bi msumi wala asingejichosha kuongea maana sijaona la.maana Zaidi ya kutukumbusha machungu ya October 29,30 and 31 October. Eti tume ya maridhiano. Umeharibu nchi ,alafu unataka kuridhiana ,swali dogo ulikuwa hujui unachofanya kwamba huko unakoelekea...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bajaj za umeme kwa mikopo na cash

    BAJAJI ZA UMEME KWA MIKOPO NA CASH weka oda Yako sasa Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Nikiwa kama wakala wa mauzo Toka kampuni ya JAHA ELECTRIC VEHICLE INTERNATIONAL COMPANY LTD. Nspenda kuwatangazia kuwa kuna promotion ya bajaji au pikipiki za miguu mitatu zinazotumia...
  3. JamiiForums Tanzania Ukikaribia mwisho wa maisha, utagundua vitu vyote ulivokuwa unapigania havina maana. Familia na afya ndo vyenye maaana zaidi

    Kwanza nimpongeze alieandika huu uzi: https://www.jamiiforums.com/threads/kuna-umri-ukifika-vitu-vingi-vinakosa-maana-isipokua-pesa-familia-na-afya-njema.2324044/ ukwel ni kwamba katika ujana, unaweza kudhan una vitu vya msingi sana vya kupigania kama mali, fedha, wanawake lakini kwa sisi...
  4. JamiiForums Tanzania Ni uhakika kuwa Waafrika tumeshindwa kusoma vitabu, lakini kuna fursa tunayo mikononi mwetu, 2026 simu yako iwe na networks hizi ili tujihimalishe

    Tunaweza kuwaza kuwa mabadiriko na uhasishaji ni process ndefu ila inaweza kuwa ni spark!, ghafla mindset yako ikawa infected na mageuzi. Najua algorithm zetu zimejaa mademu wenye makalio makubwa na stori za skendo, sawa ni burudani ila fikiria miaka 5 mfululizo wa porno unafikiri mindset yako...
  5. JamiiForums Tanzania N haramu kumtakia heri ya xmas ndugu yako mkristo ila si haramu tumia iphone CEO Gay

    Ebu jaribu kunielezea ili nielewe.
  6. JamiiForums Tanzania Kuna wana JF humu wanajitapa kama "GREAT THINKERS", ila ni wahanga wa itikadi ya kumezeshwa na kuletewa waliofanya izidi utashi na tafakuri yao

    Sina mengi ila nina mfano tu mdogo, Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga" Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha kabisa kumpiga huyo mwana. Lakini kuna huyu "great thinker" nafsi itamsuta lakini ataanza kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Jichimbie huko dongobeshi hutuba zako zaleta taharuki. Bila kauli yako nchi yaongozwa heheee

    Mwaona! Nchi yaenda kama dege lisilo na rubani. Heheheee! Kama mazuri na bado sijacheka. Hutuba zako hakuna wakusikiliza na walahi Kila ukijitokeza utazua taharuki. Mayii! Watu hawakupendi na wajua hilo. Siku hizi wewe ndio wataka picha na wasaidizi wako ili upate trending hehehe na zote zabuma...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute pesa,Sura yako sio kigezo kwa mwanamke

    Hoya jamaa kama angekuwa maskini sijui ingekuwaje. Julius Malema with his wife at Victoria Falls .
  9. JamiiForums Tanzania Iheshimu sehemu yako ya kazi

    Kuna watu tuna idharau sana sehemu tunazo fanyia kazi Sehemu unayo fanyia kazi watu hawataki kujua maisha yako kabisa punguza story nyingi na watu kuna baadhi akifa kazini ana anza kuhadithia yaliyo tokea jana kwake yaan ana kusanya watu na kuhadhia hii mbaya sana Epuka madeni una weza ika...
  10. JamiiForums Tanzania GenZ chondechonde, wajumbe wa Serikali za Mitaa na vijiji mtawaonea bure kushambulia familia zao. Achaneni na mpango huu

    Hii ni link ya audio video ya GeZ wakijadiliana namna ya kulianzisha tena pengine kabla hata 25/12 na kuendelea.... https://youtu.be/oLG8oqkpG5c?si=8NzhnwgIimcza0Es Kinachopangwa na kujadiliwa ni maandamano ya kuanzia 25/12. Lakini kilichonishitua zaidi mimi si maandamano yenyewe..... Ni kile...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali mikoani, serikali inajali usawa kulingana na uhitaji katika kutekeleza miradi l?

    Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote. Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ? Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
  12. JamiiForums Tanzania Nauza Stock Management System ya kusimamia Mauzo na manunuzi katika biashara yako kwa 300, 000 TU

    .
  13. JamiiForums Tanzania Kijana mpambanaji, hatma yako ipo mkononi mwako

    Nitaandika kwa kifupi sana hii mada. Kuna vijana wanajitafuta kutoka kiuchumi ili kukizi mahitaji muhimu kama chakula, malazi(nyumba), na mavazi kwake binafsi, familia, ndugu n k. Sasa yameongezeka mahitaji muhimu mengine kama gari, simu za gharama n.k Sasa kijana mpambanaji hakuna kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso unajiharibia CV yako nzuri

    Hakuna waziri nilikuwa namkubali kama aweso Ila kwa sasa amenishangaza Sana hivi unawezaje kumnyima mtu maji zaidi ya week mbili,tatu au nne Waziri kweli unapokea mshahara Ofsini mnaenda kabisa nyie dawasa Jamani kama kwako kuna maji naomba location nihamie Kwa muda .this is too much Hakuna...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Renew leseni yako Mapema

    Ndugu Mjasiriamali, Hakikisha una Renew leseni yako ya biashara Mapema. Kama leseni yako huisha December.
  16. JamiiForums Tanzania Umepata mapesa mengi kupitia mama yako ila umekuwa wa kujificha sana mpaka kwenye mitandao

    Hakuna ulichokosa tokea mama yako kawa raisi. Kwa kutajwa tajwa kwako kila matukio yanayoendelea hapa. Umekuwa wa kujificha sana yani kama umejifungia mwenyewe uhuru wako. Hata ukaenda kuishi nchi za nje kumbuka kuna watu wanandugu zao uliowafanyia mabaya wewe na mama yako
  17. JamiiForums Tanzania Mwanasiasa yeyote, Hakikisha unajua hesabu ya Matendo na maneno yako kabla hujazungumza

    Tunatarajia kushuhudia mwanasiasa hasa yule mashuhuri(public figure), kuzungumza hoja zilizofanyiwa utafiti na zikathibitishwa kwa uchambuzi wa kina na scope pana. Weledi katika hutuba unahitajika sana, kamwe usije ukajitolea tu maneno kichwani mwako utaharibu mambo. Hayohayo maneno unayotamka...
  18. JamiiForums Tanzania Mwananchi: Mwigulu tunaona unatufokea kisa hatuwasapoti wasanii. Kama wanakufa njaa waajiri kwenye mabasi yako wawe wanapiga show

    Mwananchi huyu amemchana Waziri Mkuu Mwigulu baada ya kauli yake kuhusu wasanii kutoungwa mkono na wananchi. Amesema; "Tunaona unatufokea kisa hatuwasapoti wasanii. Sasa, kama unaona kwamba wasanii watakufa njaa na mliweza kuwaajiri wakati wa kampeni, hata sasa hivi unaweza ukawaajiri kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Uhai wako si Mali ya jumuia ni mali Yako binafsi. Ukifa kwa kujitakia utasahaulika na maisha yataendelea, acha kushiriki matendo maovu utakufa

    Binadamu mwenye akili hulinda nafsi yake dhidi ya kifo, huepuka vitu hatarishi vinavyoweza kumsababishia kifo. Acha kujihusisha na makundi hatarishi kama vile wapanga vurugu, wanaotaka kufanya maandamano yasiyo rasimi, kujihusisha na wizi wa Mali za watu, acha kushiriki kwenye upotoshaji wa...
  20. JamiiForums Tanzania Maisha yangu, Maisha yako

    We have being a lot in our lives, any of us can tell a very interesting story but May's it's crazy, just hold on what you think of having people who helped you a lot and suddenly they wish you to fall! Funny right, yes it is then why they helped you to the point, a point that will light Avery...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…