yafuatayo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stroke

    Baada ya Velentine kuisha hongereni kwa kupeana yafuatayo

    Ukimwi, Gono, Uti , Na mimba. Kwa mliochepuka mkumbuke kwenda leo kanisani kutubu. Happy belated Valentines day.
  2. I

    Mwanaume: Usijaribu kujitoa kafara kwa mambo yafuatayo

    1. Usijaribu kumfia Mwanamke: Usivimbe kichwa kwa jinsi mwanamke anavyokusifia eti unamkuna kisawasawa,eti unajua mapenzi, au akikuambia jinsi unavyojali familia yao, au kwa jinsi unavyomhudumia. Hayo yote ni mbwembwe tu za kuhakikisha anaendelea kula mpunga wako na kujihakikishia security ya...
  3. Lancashire

    Mh.Rais Samia nakushauri utekeleze yafuatayo kurudisha Imani ya watanzania katika Serikali yako

    1.Tekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 90 ambayo uliahidi katika ilani ya CCM 2. Fanya restructuring katika vyombo vya ulinzi na usalama hass polisi .nimeona umemuondoa waziri wa mambo ya ndani ila sijajua sababu lakini jeshi la polisi linahitaji kubadilishwa .yaliotokea oktoba 29...
  4. Rungwe88

    Watanzania kilio chenu tayari kimesikika duniani na mbinguni, futeni machozi sasa, ila fanyeni yafuatayo

    Watanzania ( Tanganyika) tumelia sana na mateso, mauaji, kutekwa, udhalilishaji, uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu uliofanywa na unaoendelea kufanywa na watawala wa sasa akiwemo Raisi feki na vibaraka wake wakiwemo viongozi wa vyombo vya usalama n.k Mateso hayo kwa watanzania yamefanyika...
  5. Its Pancho

    Eng Hersi usimfukuze Folz wala kumleta Nabi wala hamdi ila fanya yafuatayo

    I salute you kinsmen Nimeona kelele nyingi sana zikitaka Romain Folz afukuzwe Well kila mtu ana lake ila kwa mtazamo mkali kabisa nimeona tatizo kubwa lilikuwa hapa.. Kilichomsaidia Miloud Hamdi ni kitu kimoja tu Yule jamaa aliyekuwa mkurugenzi wa ufundi msomali bwana Moalim. Katika yanga...
  6. The Father of All

    Ndoto za chizi natamani yafuatayo baada ya Samia kutawazwa

    Natamani yafuatayo Mohamed Nchegerwa aka mkwe awe waziri mkuu, Ridhiwan Kikwete awe naibu waziri mkuu Wanu Hafidh awe waziri wa mambo ya nchi za nje Salma Kikwete awe waziri wa ulinzi Kunje ngombale-mwilu awe waziri wa kilimo Ongeza wako. Nafikiri kimya kimya na kichokonozi japo mazwazwa...
  7. The Father of All

    Unayaongleaje majina yafuatayo katika siasa za Tanzania?

    Tanzania, kama nchi nyingine duniani, ina viongozi. Yafuatayo ni majina ya baadhi ya viongozi ambao, kama utaombwa kuyaelezea au kuwaelezea unavyowakumbuka, wapenda, wachukia, ubora, uhovyo, nk, utawaelezeaje? Julius Kambarage Nyerere, Abeid Aman Karume, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa...
  8. U

    ANAYEJUA HAYA YAFUATAYO NINAOMBA UFAFANUZI!!!

    Namna ya kufungua na kumiliki akaunti benki kuu ya Tanzania ,namna ya kununua na kumiliki bondi ,faida zake nakadhalika!Nimeuliza hivi kwa sababu ninataka nimshauri kaka yangu afanye nini hasa akijiandaa kustaafu kazi ndani ya miaka 5 ijayo
  9. Hyrax

    Ukitaka kuwa mtu mwenye Nguvu juu ya ulimwengu huu usifanye mapenzi

    Hawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani. Hawa binadamu wa hivi shetani na malaika zake humwogopa kuliko unavyoweza kufikiria kwasababu ukiacha kufanya mapenzi ya...
  10. Hamissi Hamza Jr

    Ukitaka kuoa zingatia yafuatayo

    Duniani Hutaambiwa kila kitu ila Ishi Humu itakusaidia 1.Usioe Mwanamke aliewahi Kuwa na Mahusiano na Wanaume zaidi ya wawili 2.Usioe Mwanamke anaetumia Tiktok au Snapchat 3.Usioe Mwanamke Single mother ambae baba wa mtoto wake yuko hai na akikuambia amekufa ukathibitishe Kabisa kwenye kaburi...
  11. Joshua Mbezi

    Ukitaka Kuishi Tanzania kwa Aman Fanya yafuatayo

    1;Husiende kumdai mtu /kikundi Cha watu waliopokonya kilicho chako waache wakitumie siku wakikichoka watakurudishia wenyewe 2;Ungana na watesi wako ata kama moyo wako unavuja Damu 3; hakikisha unakuwa mjinga ata kama una kiwango Cha juu Cha uelewa 4; mwisho , subiri miujiza ya wagalatia siku ya...
  12. third eye chakra

    Haya ni mambo madogo sana kwa wengine, ila kwangu ni magumu sana kiasi cha kushindwa kuyafanya au kushiriki kabisa

    1- Kwenda sokoni kununua bidhaa za nyumbani. Kwangu hili jambo nigum sana kwasababu nashindwa kufanya mamuzi sahihi. hii nibaada ya kundi kubwa la wafanya biashara mmoja baada ya mwingine kua kwenye tabiri yenye matarajio kwamba pesa yangu mimi mteja niyeye mwenye kustahiri kuipata kuliko...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Kushindwa kwa Iran dhidi ya Israel kunatupa mafunzo yafuatayo;

    Mpo salama! Tunajua kabisa Iran inaonewa na kudhulumiwa lakini ndivyo mambo ya falme na tawala za dunia zilivyo. mdogo kumtii Mkubwa. Na kama mdogo akikaidi basi njia zozote hata zisizo halali hutumika. Mwanadamu ni Mnyama aliyechangamka. Mifumo yake ya utawala haiko mbali na wanyama wa...
  14. Z

    Jaji Mkuu George Masaju baada ya kuapishwa anza na mambo yafuatayo;-

    Kwanza nampongeza Jaji Masaju kwa kuaminiwa na Mhe. Rais na kumteua kuwa Jaji Mkuu mpya wa Tanzania. Mara baada ya kula kiapo tunashauri aanze na mambo yafuatayo;_ 1. Ondoa uonevu na upendeleo ndani ya muhimili wenyewe, jenga umoja na mshikamano. tenda haki kwa watumishi wote bila upendeleo...
  15. Dennis Robert Shughuru

    Kwanini mimi Dennis Robert Shughuru post/threads/nyuzi zangu hazipati engagement kubwa hapa JamiiForums, yafuatayo ni majibu

    Kuna watu huku ni member wanaogopa kusema na kushare ambitious zao wanajua wakifanya hivyo watakutana na ukosoaji mkubwa sana matokeo yake tuna kizazi cha watu waoga kupita maelezo 👉👉nashukuru mimi nimeshavuka natamani na wengine wavuke Yafuatayo ñi majibu kifupi ila maelezo zaidi yapo kwenye...
  16. B-2 STEALTH BOMBER

    Mungu. Alikataza mambo yafuatayo katika amri zake kumi. Sasa hawa wanasiasa wanataka kutuambia au kutudanganya katika mambo yaliyo wazi

    Wakuu kwa namna baadhi ya viongozi wa dini wanavyo tumika kutetea watu flani wale wa kikindj cha utekaji nk. Wanaposimama pale madhabahuni na wanapo hubiri au kuungamisha waumi hivi wana jua uzito wa amri ile ya kwanza (kwa wakristo) Ni aibu na fedheha yenye kusononesha kwa mkuu wa kanisa kama...
  17. Bhaghosha

    PreGE2025 No Reforms No Elections Campaign, zingatieni na muongeze yafuatayo kuwaelimisha wanainchi

    1. Pamoja na umasikini wa kuletwa, lakini hata hicho kidogo kinaishia mikononi mwa wachache. sasa hao wachache ndiyo wanahakikisha hakuna uchaguzi huru. siyo CCM yote. 2. Matumizi mabaya ya serikali. Toeni mifano halisi kwa nini pesa ya wanainchi inavyoliwa. Tumieni mifano rahisi kueleweka...
  18. Rorscharch

    Yafuatayo ni makundi ya watu (wengine siwezi kuwaita binadamu) ambayo sina huruma nayo kabisa

    Kuna mipaka ya ubinadamu ambayo baadhi ya watu huivuka kwa makusudi, wakiacha nyuma maumivu, mateso, na chuki inayowasha moto wa hasira moyoni mwangu. Kuna makundi fulani ya watu, hata wakilia mbele yangu, wakilia kwa machozi ya damu, bado sitaweza kusikitika. Na kama ningekuwa na lita 20 za...
  19. Smart Eagles

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo Morogoro mjini (bajeti 300,000/=)

    1. Eneo la Kilakala isiwe mbali na kituo cha Tushikamane. 2. Eneo la Kola (iwekaribu na barabara ya pangawe) 3. Eneo la Bigwa (iwekaribu na barabara ya pangawe) Iwe na vyumba 3 vya kulala. Ijitegemee maji na umeme.
  20. K

    Lissu fanya yafuatayo kukomesha huu upuuzi wa kutishana

    1. Kataa kuwekewa mawakili wowote wa kukutetea. 2. Usijitetee kwa vifungu vyote vya sheria ili kuepusha kupoteza muda mahakamani. 3. Kiri mahakamani kuwa maneno yote uliyotoa kwenye hati ya mashitaka ni wewe umeyatoa na bado unaisimamia kauli yako. Kwamba uko tayari kufanya uasi na kuhamasisha...
Back
Top Bottom