ya mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Messi aagwa Argentina, afunga bao na ku-assit katika mechi ya mwisho

    Lionel Messi ameaga soka la kimataifa akiwa na Argentina kwa hisia baada ya kucheza mechi yake ya mwisho dhidi ya Benin, huku mastaa wenzake wakimsifu kwa mchango wake mkubwa katika historia ya timu hiyo, akifunga ukurasa wa safari ya kipekee iliyomfanya kuwa mmoja wa wachezaji wakubwa zaidi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Maneno ya mwisho ya Tundu Lisu, leo 28.9.2026

    MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo: “Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have...
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaunga mkono kujumlishwa kwa matokeo ya Urais Kitaifa. Hii ina maana gani kwa mpiga kura?

    Mahakama Kuu imeamuru kuwa kujumlisha na kuthibitisha matokeo ya uchaguzi wa urais katika ngazi ya kitaifa(National tallying Centre) ni halali, na hivyo basi imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Seneta wa Busia, Okiya Omtatah, iliyopinga mchakato huo. Mahakama imeeleza kuwa masharti ya...
  4. JamiiForums Tanzania Lissu akubali yaishe Afunga Ushahidi tarehe 23 Majumuisho ya mwisho Final Submission

    Tulichokua tumetabiri sisi wengine aina ya Mashahidi wa Lissu katika kujenga kesi yake ndiyo kilichotokea na Leo Tundu Lissu ameomba kufunga Ushahidi hivyo kesi pande zote ushahidi umefungwa na Jumatano tarehe 23/09/2026 ni Final Submission kwa pande zote Final Submission inaweza kuwa ya...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi....Mahakama imemtaka kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi saa 2:30

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, ameachiwa huru kwa masharti na Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma baada ya Serikali kuondoa nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili. Kaijage ameachiwa leo, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Denisi Mpelembwa...
  6. JamiiForums Tanzania Tarehe ya Mwisho ya MOU ya Iran/Marekani ya Siku 60 Imeisha. Nini Sasa kitafuata?

    Tarehe ya Mwisho ya Iran ya Siku 60 Imeisha. Nini Sasa? Tarehe ya mwisho ya Iran iliisha na Iran haikujisalimisha, haikufungua Mlango-Bahari wa Hormuz, na kulingana na ripoti ya Wall Street Journal ilitumia dirisha lote la mazungumzo kufanya jambo moja ambalo hakuna mtu huko Washington alitaka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mpira wa Bongo sasa hivi brand kubwa inalipa; Fei anaandaliwa signing fee ya bilioni 4 na mshahara 120M, Okello kacheza nusu msimu tu kauzwa bilioni 2

    Mpira wa Bongo siku hizi unaonyesha wazi: ukijenga brand, fursa na pesa vinafuata. Fei Toto kwenye dirisha hili la usajili, dau la kuvunja mkataba wake lilifika hadi bilioni 3.5. Azam wameamua kumuwahi mapema wakijua amebakiza miezi 6 tu kwenye mkataba na timu zinaendelea kumnyemelea. Kuna...
  8. B

    JamiiForums Tanzania DOKUMENTARI - Usaliti kwa MAGUFULI Hadi Saa Yake ya Mwisho

    02 Agosti 2026 Dokumentari - Usaliti kwa MAGUFULI Hadi Saa Yake ya Mwisho https://m.youtube.com/watch?v=de8Zv6MMh8c 🔴MUHTASARI WA VIDEO ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ Rais John Pombe Magufuli alikuwa nani, na ni nini hasa kilitokea katika siku za mwisho za maisha yake? Makala hii inachunguza maisha...
  9. JamiiForums Tanzania IMF yaipatia Tanzania Dola Milioni 443.9 baada ya kukamilisha Tathimini ya Mwisho

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), limeidhinisha kutolewa mara moja kwa takriban dola za Marekani milioni 443.9 kwa Tanzania baada ya kukamilisha tathmini za mwisho chini ya programu za Extended Credit Facility (ECF) inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ewe mmiliki wa kampuni, unafahamu ya kuwa leo 30 Juni 2026 ni siku ya mwisho kuwasilisha hesabu za kampuni yako Kwenda TRA?

    Hakikisha unawasilisha hesabu za kampuni yako kwenda TRA kabla ya 30 Juni 2026, tofauti na hapo kampuni yako itakuwa hatarini kulipa faini ya Tshs 300,000 kwa kila mwezi ambao hujawasilisha hesabu zako. Hii ni kwa mjibu wa kufungu 89 (1) ya Sheria ya usimamizi wa kodi (R.E 2023). Epuka kuingiza...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndo kete ya Mwisho na hatari zaidi ya CCM kupambana na maandamo tukivuka tumeshinda japo tutaumia sana

    Mara.zote.watawala wakiishiwa nguvu hizi ndo mbinu wanazoweza kuzitumia maana kuua siyo suluhisho. 1. Divide them and rule.. 2. Fake Propaganda and illusions.. 3. If you can't convince them, confuse them rejea history ya ujenzi wa mnara wa babel (Mwz 11, 1-9) 4. Let them fight each other...
  12. JamiiForums Tanzania Natangaza kila Ijumaa ya mwisho wa Mwezi ntakuwa natoa sadaka kwa watu wasio na uwezo

    Jana nimewasema vijana kutopiga kazi na wengine kutojishughulisha na kuomba omba pesa Kwanini nilisema Kuomba omba pesa na ilinikera Mtu Ana bando Ana simu Ana contact kibao za kuwezo kumpa kibarua hata cha kufyeka apate angalau sh 4000 kwa siku ye anakuja Mtanzanoa kuomba 1000 ya kula ? Huo...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi siku nchi yetu ikifikia steji ya mwisho kama Zimbabwe. CCM wataongea nini na kumlaumu nani

    Tokea kupata uhuru ni CCM kipo madarakani. Taifa mumeligeuza mali ya chama.Siku nchi imekuwa corrupt ni nani mtamlaumu na mtawaeleza ninu wananchi.
  14. JamiiForums Tanzania Umewahi kula papa? Mara ya mwisho lini?

    Mi sikumbuki lini ni kama mwaka Sasa. Kinachonifanya nsipende sana ni shombo yake.dizaini naifananisha na mk*j*..Ina shombo Kali nisamehewe😒 Pili ni chumvi nyingi sana. Mie asili yangu ni pwani,hiyo ni kitu pendwa kule.wanapenda kavu au na muhogo.mhogo wa nazi au ugali wake wanaita bada. Na pia...
  15. JamiiForums Tanzania Tehran yakataa tarehe ya mwisho iliyowekwa na Rubio, yasema majibu na pendekezo la Marekani yatajibiwa kwa 'wakati unaofaa'

    Wanaukumbi. Tehran yakataa tarehe ya mwisho ya Rubio, yasema jibu la pendekezo la Marekani linakuja kwa 'wakati unaofaa' —— Iran imekataa amri ya mwisho ya saa 24 iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, huku msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Esmail Baghaei akisema kwamba...
  16. JamiiForums Tanzania Siku maalumu: Kila wiki ya mwisho wa mwezi Viongozi wawe wanatembea kwa Miguu kwenda Ofisini na kurudi majumbani mwao

    Habari Tanzania !.. Naomba wananchi tuamue na tuanzishe utamaduni maalumu; kwa kila kiongozi wa Taifa wawe wanatembea kwa miguu kutoka mahali wanakoishi kwenda Ofisini na kurudi nyumbani kila wiki ya mwisho wa mwezi. Yaani Jumatatu mpaka Jumapili. Faida 1. Hii itawawezesha kupata uzoefu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Wangapi tunasubiri mishahara ya mwisho wa mwezi?

    Leo tarehe 28 zimesalia siku 3 hivi kumaliza mwezi wa 3. Sasa kuna wale tayari wameshapokea mishahara yao tangu 22 ambao wengi wao ni watumishi wa Umma. Lakini private wengine tarehe 25 hadi leo wanapokea, halafu kuna wakina sisi hadi MUNGU AKIPENDA yani boss ajisikie kuingiza! Ila ajira ni...
  18. JamiiForums Tanzania Umepumzika lini mara ya mwisho? Ukaona "hapa kweli nimehema"

    Leo, baada ya muda usio na jina, nimelala mchana...nikaona uuuuuuf...mwili unasema "shukrani" Si afya kutokutuliza akili, nafsi na mwili. Hata hivyo kuna wakati hauna jinsi, nami nimekuwa kwenye "hakuna jinsi" kwa muda usio na jina, na huu mwezi uliopita ilikuwa kama kupita kwenye tanuri...
  19. JamiiForums Tanzania 2015 ndio ilikuwa mara ya mwisho Tanzania kuwa na uchaguzi, tusichanganyikiwe

    Tutaongea yote ila mara ya mwisho Tanzania kuwa na uchaguzi mkuu au serikali za mitaa ni mwaka 2015. Kumuhusudu na kumkubali aliyesababisha hali hii yote ya sasa huku unamlaani na kumkosoa mrithi na mwanafunzi wake ni sawa na kuchanganyikiwa na kuwa bumunda.
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kimara Kilungule mara ya mwisho tulipata maji ya DAWASA Oktoba 30, 2025

    Mimi ni Mkazi wa Kimara Kilungule kwa Mkua. Kero yangu inahusu DAWASA mara ya mwisho maji kutoka ilikuwa tarehe 30/10/2025. Je, ni kwamba hii mamlaka imetusahau kabisa? Maana tuliambiwa mgao wa maji umeisha tumesubiria lakini wapi, je hii huduma kwetu ndiyo basi? Napata tabu sana nanunua ndoo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…