xi jinping

Xi Jinping (simplified Chinese: 习近平; traditional Chinese: 習近平; pinyin: Xí Jìnpíng, [ɕǐ tɕîn pʰǐŋ]; born 15 June 1953) is a Chinese politician who has served as General Secretary of the Chinese Communist Party (CCP) and Chairman of the Central Military Commission (CMC) since 2012, and President of the People's Republic of China (PRC) since 2013. Xi has been the paramount leader of China, the most prominent political leader in China, since 2012.
The son of Chinese Communist veteran Xi Zhongxun, he was exiled to rural Yanchuan County as a teenager following his father's purge during the Cultural Revolution, and lived in a cave in the village of Liangjiahe, where he joined the CCP and worked as the party secretary. After studying chemical engineering at Tsinghua University as a "Worker-Peasant-Soldier student", Xi rose through the ranks politically in China's coastal provinces. Xi was Governor of Fujian from 1999 to 2002, before becoming Governor and Party Secretary of neighbouring Zhejiang from 2002 to 2007. Following the dismissal of the Party Secretary of Shanghai, Chen Liangyu, Xi was transferred to replace him for a brief period in 2007. He subsequently joined the Politburo Standing Committee and served as first secretary of the Central Secretariat in October 2007. In 2008 he was designated as Hu Jintao's presumed successor as paramount leader; to that end, Xi was appointed Vice President of the People's Republic of China and Vice Chairman of the Central Military Commission. He officially received the title of "leadership core" from the Chinese Communist Party (CCP) in 2016. Xi has also been a member of the 17th, 18th, 19th CCP Politburo Standing Committee since 2007. In 2018, he abolished presidential term limits.
Xi is the first CCP General Secretary born after the establishment of the People's Republic of China. Since assuming power, Xi has introduced far-ranging measures to enforce party discipline and to impose internal unity. His anti-corruption campaign has led to the downfall of prominent incumbent and retired Communist Party officials, including members of the Politburo Standing Committee. He has also enacted or promoted a more assertive foreign policy, particularly with regard to China–Japan relations, China's claims in the South China Sea, and its advocacy for free trade and globalization. He has sought to expand China's African and Eurasian influence through the Belt and Road Initiative.
As the central figure of the fifth generation of leadership of the People's Republic, Xi has significantly centralised institutional power by taking on a wide range of leadership positions, including chairing the newly formed National Security Commission, as well as new steering committees on economic and social reforms, military restructuring and modernization, and the internet.He has often been described as a dictator or an authoritarian leader by political and academic observers, citing an increase of censorship and mass surveillance, a deterioration in human rights, the cult of personality developing around him, and the removal of term limits for the leadership under his tenure. Xi's political thoughts have been incorporated into the party and state constitutions.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Unawashauri nini viongozi hao wakubwa duniani

    Maoni yenu wadau
  2. Khanji kapoor

    Rais Xi Jinping amewafukuza kazi general CDF wake wawili kwa kuwasingizia wanatumika na Pentagon

    Dikteta na fisadi papa kiongozi wa china xi jinping amewafuta kazi na kuwaweka kizuizini general wa jeshi wawili kuwashutumu wanatumika na Trump, Pentagon (USA) kuihujumu china Anawasingizia kuwa wanaripot Pentagon kuhusu uwezo wa ki nuclear wa China Huu uongo wa dikteta xi jinping unakuja...
  3. L

    Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za mwaka mpya wa 2026

    Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba ya salamu za mwaka mpya wa 2026 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni hotuba hiyo: Hamjambo! Wakati wa zamani umepita huku maisha yakifungua ukurasa mpya. Wakati mwaka mpya...
  4. KING MIDAS

    Xi Jinping aitaka Dunia kuchagua amani au vita. Trump asisitiza gwaride la China halimtishi.

    #HABARI Rais wa China Xi Jinping ameonya kuwa dunia inakabiliwa na chaguo kati ya amani au vita siku ya leo Jumatano Septemba 3, 2025 alipokuwa akifanya gwaride kubwa zaidi la kijeshi nchini mwake, akiwa na Vladimir Putin wa Urusi na Kim Jong Un wa Korea Kaskazini. Wakati viongozi wa nchi za...
  5. J

    Kupotea ghafla kwa Xi Jinping katika Duru za Kisiasa kunatufunza nini?

    Kumekuwa na taarifa zinazoendelea kuhusu mvurugano wa Uongozi wa Juu wa Chama cha Kikomunist cha China (CCP) Kiasi kwamba Rais Xi kwa mara ya kwanza ameshindwa kuhudhuria Mkutano wa BRICS huko Brazil. Taarifa zilizopo ni kuwa Xi amezuiliwa kutoka nje ya nchi kwani alikuwa ana mpango wa kutorokea...
  6. X

    Baada ya kilio cha muda mrefu cha Trump hatimaye leo Xi Jinping amepokea simu ya Trump

    Kwa miezi kadhaa Trump alikuwa akijaribu sana kuongea na Xi bila mafanikio. Pia alikuwa akitamani sana atembelee China aongee na Xi Hatimaye leo ndoto zake zote 2 zimetimia kwanza ya kuongea na Xi kwa simu na pili amekaribishwa na raisi Xi atembelee China. Jambo la kushangaza ni kwamba hizi...
  7. Khanji kapoor

    Mtoto wa Xi jinping agomea kufukuzwa USA, asema hapendi kurudi Uchina

    Binti wa Rais wa china na mwenyekiti wa CCP Xi Jinping aitwaye Xi Mingze . Xi Mingze amapanga kugomea kufukuzwa USA kwa kutoa sababu kuwa yeye sio mfuasi wa sera za kikomunisti Mtakumbuka kuwa serikali ya Trump inapanga kuwafutia visa wanafunzi maelfu kwa maelfu kutoka China wanaosoma vyuo...
  8. Yoda

    Kumuona Xi Jinping akizungumza tofauti na kuhutubia ni sawa na jogoo kutaga

    Huyu mtawala wa China huwa ni kama roboti fulani, sijawahi kumuona akizungumza na viongozi wenzake au akifanya mazungumzo na waandishi wa habari. Huko Kremlin, Moscow ameonekana kama anazungumza na Putin japo camera bado imeficha kiupande na sauti yake kufigishwa
  9. Echolima1

    Xi Jinping na Vladimir Putin wakutana Kremlin, Moscow. Xi asema wataendelea kukabiliana na "ubabe" kutoka mataifa mengine!

    Rais wa China Xi Jinping akutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin katika Ikulu ya Kremlin mjini Moscow Rais wa Urusi alimpokea Xi kwa mazungumzo katika Ikulu ya Kremlin na katika kikao hicho Mascow inatumai itapata msaada wa kidiplomasia kutoka kwa China hasa katika vita yake na Ukraine. Rais...
  10. Nyani Ngabu

    China na Xi Jinping vipi tena?

    Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo China kwenda Marekani sasa ni 145%. Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo Marekani kwenda China ni 84%. Naona Mchina kashindwa kwenda sambamba Mnyamwezi 🤣. Nyie Wachina wa Kiuruwi na Tabata Sanene kujeni hapa mtoe maelezo [visingizio] yenu ni kwa nini...
  11. T

    Baada ya Trump kutishia kuiwekea vikwazo BRICS kwa kuachana na matumizi ya Dollar, India imesema yenyewe haina mpango wa kuacha matumizi ya Dola

    Nchi za Brics juzi hapa zilikuja na mpango wa kuanzisha sarafu yake na kuachana na matumizi ya Dollar kwenye miamala yao. Wiki iliyopita Trump alitishia kuwawekea vikwazo BRICS kama wataendelea na mpango wao wa kuachana na matumizi ya Dollar. Leo waziri mkuu wa India amesema wao hawajawahi kua...
  12. Roving Journalist

    Rais Samia azungumza na Rais wa China, asisitiza Mpango wa Kuendeleza Miundombinu na Kukuza Uwekezaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 3, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping katika Ukumbi wa The Great Hall of the People. Katika mazungumzo yao, Rais Dkt. Samia amesema uhusiano wa nchi hizo mbili ni...
  13. Roving Journalist

    Rais Samia akutana na Rais wa China, Xi Jinping na ujumbe wake

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mkutano na Rais wa China, Xi Jinping pamoja na ujumbe wake mapema leo, Septemba 4, 2024 katika ukumbi wa The Great Hall of the People jijini Beijing. Rais Samia amefanikiwa kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia ya...
  14. L

    Ziara ya Rais Xi Jinping barani Ulaya inaonesha kuwa nguvu ya kidiplomasia ya China inazidi kuimarika

    Mwanzoni mwa mwezi Mei 2024 Rais Xi Jinping wa China amefanya ziara ya kiserikali katika nchi tatu za Ulaya, ziara iliyomfikisha Ufaransa, Serbia na Hungary. Kimsingi ziara za Rais Xi katika nchi hizi tatu zililenga mahusiano kati China na nchi hizo, hata hivyo kilichoonekana kwenye ziara hiyo...
  15. L

    Kutuma salamu za pongezi kwenye mkutano wa AU kwa miaka saba mfululizo, ni mambo gani anayojali Xi Jinping?

    Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwenye Mkutano wa 37 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa saba mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano huo. Huu ni mkutano wa kwanza wa kilele kufanywa na Umoja wa Afrika tangu ulipojiunga rasmi na G20...
  16. L

    Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za mwaka mpya wa 2024

    Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba ya salamu za mwaka mpya wa 2024 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni hotuba hiyo: Hamjambo! Ukali wa baridi umeanza kupungua na mwaka mpya kukaribia. Wakati mwaka 2024 umewadia...
  17. benzemah

    Picha: Rais Samia Afanya Mazungumzo na Rais wa China, Xi Jinping Kwenye Mkutano wa BRICS

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa China Mhe. Xi Jinping kando ya Mkutano wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.
  18. L

    Kitabu cha Rais Xi Jinping kuhusu “Utawala wa China” toleo la lugha ya Kiswahili chatolewa

    Kitabu cha Rais Xi Jinping chenye jina la “The Governance of China” toleo la Kiswahili, kimetolewa kwa wasomaji kwenye hafla fupi iliyofanyika Agosti 14 mjini Nairobi. Hii ni juzuu ya kwanza ya mfululizo wa juzuu nne, kikiwa na mkusanyiko wa hotuba na maagizo mbalimbali ya Rais Xi Jinping katika...
  19. TPP

    Mzee Xi Zhongxun (Baba wa Xi Jinping) chanzo cha Special Economic Zones(SEZ) in China 1980

    Upi ni mchango wa Mzee Xi Zhongxun( Baba wa Rais wa sasa wa China Xi Jinping ) katika uanzishwaji wa Special Economic Zones katika kukuza uchumi wa China? Shenzhen, a miracle that began in 1980 Forty years after its establishment as China's first special economic zone, Shenzhen has emerged as...
  20. BARD AI

    Rais Xi Jinping kukutana na Rais Putin Moscow

    Taarifa kutoka Ikulu ya Kremlin nchini Russia, imeeleza kuwa Rais wa China Xi Jinping atasafiri hadi Moscow wiki ijayo kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin, kuhusu ushirikiano wa kimkakati. Kwa mujibu mtandao wa BBC, ziara hiyo inajiri baada ya Beijing, mshirika wa Russia...
Back
Top Bottom