wuhan

 1. Sam Gidori

  Nyuma ya pazia ripoti ya chimbuko la Corona inayotarajiwa kutolewa wiki hii

  Baada ya subira ya muda mrefu, hatimaye ripoti ya timu ya wataalamu wa Shirika la Afya Duniani, WHO iliyopewa kazi ya kuchunguza chanzo cha maambukizi ya virusi vya corona inatarajiwa kutolewa wiki hii. Ujumbe huo uliwasili Wuhan mwezi Januari kufanya uchunguzi kwa muda wa mwezi mmoja katika...
 2. Ndombwindo

  Started in Wuhan as a virus, landed in Italy as a pandemic and now in Kenya as multi-billion Ksh corruption enterprise

  Ama hakika dunia hadaa ulimwengu shujaa, Asante sana Magufuli kwa kutuepusha na hii enterprises from Wuhan.
 3. sajosojo

  Wuhan Lab Had 3 Live Bat Coronaviruses, None Matched COVID-19: Report

  The director of the Wuhan Institute of Virology said that claims made by US President Donald Trump and others that the virus could have leaked from the facility were "pure fabrication". source Wuhan Lab Had 3 Live Bat Coronaviruses, None Matched COVID-19: Report
 4. Analogia Malenga

  China imeripoti visa vipya, mji wa Wuhan watangaza kisa kimoja

  China imeripoti visa vipya 17 vya #COVID19, 10 kati ya hivyo yakiwa ni maambukizi ya ndani. Mji wa Wuhan umetangaza visa vitanoa vya ugonjwa huo baada ya kuwa kimya kwa takribani mwezi mmoja - Mji wa Jilin umewekwa katika zuio la kutoka nje baada ya kuwa na visa 10 vilivyoripotiwa, Mei 10...
 5. beth

  Mike Pompeo: Kuna Ushahidi wa kutosha kuwa Corona imetokea maabara iliyopo Wuhan

  Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo amedai kuwa kuna ushahidi wa kutosha kuwa CoronaVirus imetokea maabara iliyopo Wuhan nchini China Akizungumza na Kituo cha ABC, Waziri huyo amesema Wataalamu wanaamini kuwa Corona imetengenezwa hivyo hana sababu ya kuamini vinginevyo. Hata hivyo...
 6. Mzalendo2015

  China lazima iwajibike kwa uzembe iliyofanya Wuhan kusababisha janga la covid-19 Duniani

  Wana JF, Janga la Covid-19 lilianzia nchini China katika mji wa Wuhan-Hubei Province mwezi Desemba 2019! Mpaka leo Taifa la China halijaweka hadharani nini hasa kilitokea kwenye Maabara za WUHAN Institute of Vilorogy(WIV) hadi kupelekea mlipuko huu wa Covid-19. China imeshakiri kuwa kabla ya...
 7. Neter

  COVID-19: Two Wuhan Doctors Turn Black After Spending Weeks In ICU

  Wuhan doctors who were critically ill with coronavirus wake up to find that their skin has turned black after virus damaged their liver Dr Yi and Dr Hu were left fighting for their lives after catching the virus at work Doctors saved them by hooking them to a life-support machine called ECMO...
 8. M

  Bombshell: Obama gave Wuhan lab Millions of Dollars to fund The Virus ..US intelligence ...

  His administration reportedly funded the lab in 2015. For once a reporter asked a pertinent question at a White House daily virus briefing. On Friday one reporter asked President Trump if he was aware of U.S. Intelligence reports that the Obama administration sponsored the Wuhan lab, the same...
 9. Tz boy 4tino

  Huu ndo mji wa Wuhan, Virusi vya Corona vilipoanzia

  Mji wa Wuhan , mji wenye idadi ya watu takribani milioni 6 . Mji wa Wuhan unapatikana katika jimbo la Hubei.Ni miongoni ya miji mizuri zaidi nchini China, Kwa mengine kuhusu mji huo 👇👇👇👇👇
 10. S

  China: Wakazi wa Wuhan kuondolewa zuio la kusafiri Arpil 8

  Baada ya wakazi wa China kuwekewa vizuizi vya kusafiri kwa wiki kadhaa, hasa kuingia jimbo la Hubei (lenye mji wa Wuhan, kitovu cha corona) kwa karibu miezi 2 ili kuepusha kusambaa kwa korona, zuio hilo litaondolewa rasmi April 8. Wakazi wa Wuhan watakuwa huru kusafiri popote nchini kuanzia...
 11. kidadari

  China yatangazi mwanzo wa ushindi vita ya dhidi Corona mjini WUHAN

  Mamlaka mjini Wuhan nchini China wametangaza siku ya tar 19/3/2020 kua ni mwanzo wa ushindi wa vita dhidi ya virus vya corona Mjini Wuhan jumbo la Hubei ambako ndio kiini cha mlipuko huo. -Siku ya Leo hukuna taarifa ya maambukizi mapya -hakuna kifo kipya kilichoripotiwa -hakuna washukiwa wapya...
 12. Influenza

  China: Mji wa Wuhan kulikoanzia virusi vya Corona kujenga Hospitali kwa siku 6 kusaidia katika kutibu Ugonjwa huo

  Mji wa Wuhan unaharakisha kujenga Hospitali mpya kusaidia kutibu Wagonjwa waliokumbwa na Virusi vya Corona ambavyo vimeshaua watu 80 na zaidi ya 870 wameambukizwa nchini humo Kusambaa kwa virus hivyo kulianzia kwenye Mji huo ambapo sasa Madaktari wanasema Waathirika wanapanga foleni kwa muda...
Top Bottom