wote

  1. M

    Wamebana mwisho wamesalimu amri wote! Ni askari wa kinazi wa ukraine waliokuwa wamejichimbia kwenye kiwanda chuma pale Azovstal-Mariupol.

    Putin alisema hakuna haja ya kuwaingilia huko kwenye mahandaki yao, bali fungeni njia kiasi ambacho hata inzi hawezi kupenya!! Na kweli bwana leo askari wote wamenyosha mikono na kutoka wenyewe! Yule kamanda wao alibebwa kwenye gari la deraya badala ya bus alipokuwa akipelekwa utekani...
  2. M

    Wataalamu wetu wa afya (MDs, Nurses & Pharmacists) tunzeni maadili! Mheshimiane, msiingiliane na msihasimiane! Wote mnahitajika kila mmoja sehemu yake

    Kwa lugha rahisi, mfamasia ni mtaalamu wa madawa! kazi yake inahusisha kutengeneza, kuchanganya, kutunza na kufikisha dawa kwa wagonjwa zikiwa salama. Ndiye anayeweza kuya-handle madawa na anajua vizuri kwa undani mode of action ya madawa. Daktari/MD ni mtaalamu wa tiba! kazi yake ni kutibu watu...
  3. Taliban yaagiza Watangazaji wa kike wote kwenye TV kufunika nyuso zao

    Uongozi wa Taliban umeagiza watangazaji wote wa kike katika vituo vya runinga Nchini Afghanistan wanatakiwa kuziba sura zao wanapokuwa wakitangaza. Vyombo vya habari vimekiri kupokea maagizo hayo kutoka katika Wizara ya Maadili na inatakiwa kutekelezwa bila kuwa na mazungumzo yoyote. Waziri wa...
  4. Q

    Kesi ya Halima Mdee na wenzake, vigogo waliogushi nyaraka wote kuanikwa

    Gazeti la Raia Mwema limeandika kuwa kesi iliyofunguliwa na kina Mdee na wenzake 18 itafungua boksi ambalo limeficha siri kubwa la ‘vigogo’ waliohusika na sakata zima la wabunge 19 wa viti maalumu waliokuwa wanachama wa Chadema. Gazeti hilo linasema mchakato mzima unaihusisha Ikulu, vigogo...
  5. Wa Russia, Uingereza, China, Arab, German, Hindi, Afrika wote wanatamani kuishi USA

    Hata pro Russia, China wote wanatamani kuishi USA. Kwa hiyo tusidanganyane. Beberu USA ataendelea kututawala tu
  6. Ni suala la muda tu Fiston Mayele ataanza kuonekana Mchezaji wa Kawaida na Chukizo kwa wana Yanga SC wote

    Pini aliyopigwa na Mganga Hatari wa Simba SC katika ile Mechi ya Kariakoo Derby ambayo Gundu la Yeye Kutokufunga Goli ilianzia hapo kupitia Demu wake Mswahili (Mtanzania) wa Saluni yake Kubwa Magomeni Mapipa itamtesa mno Mayele na kumtesa zaidi Kisaikolojia.
  7. Ongezeko la 23.3% ni kwa watumishi wote au asilimia inashuka mshahara unavyopanda?

    ONGEZEKO LA 23.3% NI KWA WATUMISHI WOTE AU ASILIMIA INASHUKA MSHAHARA UNAVYOPANDA!? Leo 12:15 hrs 15/05/2023 Tangazo la kuongeza mshahara la Zanzibar,Kenya na Uganda vs tangazo la kuongeza mshahara Tanzania bara "Tanganyika" kuna maana mbili tofauti,Zanzibar,Kenya na Uganda wametangaza...
  8. Mimi naomba Ushauri Bibi Yangu yupo na watoto 09 wote are Mutured hila wanashindwa kumlipia bill zake zote.

    Wakuu hiko hivi I have a Grandmother Called Bibi Haya Kufupisha story siku ya Eaid Nilipewa taarifa kutoka Bukoba kwamba Bibi Hana Mboga ya Eid so niliombwa kutuma pesa kias Flani hivi kukamilisha Mlo mujarabu wa Eid. Kiufupi nilimtafta Jamaa yangu mmoja yupo kijijini mahali anapokaa my Bibi...
  9. SOLVED: Kwa wale wote waliotuma maombi NBS na hawajatumiwa e-mail ya password fanya hivi

    Sina muda, fanya hivi... Kwanza ingia Google tengeneza Email mpya(sipaswi kukukumbusha kukumbuka password) Rudi Google kwenye www.nbs.go.tz Anza kujaza fomu upya, Katika zile taarifa zako za mwanzo badilisha vitu vifuatavyo.. 1.Weka email mpya, 2. Badilisha Namba ya FM4 3. Badilisha Namba ya...
  10. Namba za Wanaotoa msaada kwa waombaji wa kazi za Sensa hazipokelewi muda wote

    Siyo malalamiko ya mtu mmoja au wawili. Namba za hao Applicants Support hazipokelewi. Leo ni siku ya tatu hawapokei simu zetu Namba ipo busy na baadae ikibahatisha kuita haipokelewi. Tunafahamu kwamba simu ya mezani ukihamisha kile kikamba uweke pembeni, simu itakuwa busy mfululizo. Mamlaka...
  11. Kelele za mafuta zingeelekezwa kwenye kilimo ningeelewa vingenevyo wote tuna tatizo la uono mfupi (myopic)

    Wakulima msimu huu wameteseka sana na mvua isiyo na uhakika, watapata hasara kubwa sana. Si Bunge, wanaharakati wala wasomi waliojitokeza kulisemea hili. Wote wanajua kabisa chakula chetu kinatokana na kilimo. Leo mafuta yanatupigiza kelele kana kwamba yakikosekana tunakufa. TUNAKWAMA WAPI...
  12. Hivi wenye magari wote tukaamua Mei 4 tupaki magari, itakuwaje?

    Nimeshtuka sana kusikia eti kesho mafuta yanapanda tena bei hadi kufikia 3,400/= kwa lita kwa baadhi ya mikoa. Hivi itakuwaje kama wenye magari wote watasusa na kupaki magari kesho. Au tuamue hapa hapa...
  13. Pendekeza jina la unayedhani ni mrembo kuliko wote hapa, mshindi baada ya comments 20

    Wadau mi nimeona ni jambo zuri warembo wetu tuwashndanshe, il tujue nan ni miss JamiiForums. Pga kura kwa mtu mmoja tu, kura yako itaharbka kama utapgia wawil au zaid, karbun wajomba.
  14. Jose Chameleon ndiye msanii bora wa muda wote wa Afrika Mashariki

    Habari zenu wana na wanawake, kwa upande wangu namuona Dr Jose kama msanii bora wa muda wote kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki, wewe unadhani ni nani anastahili kuwa katika pendekezo lako
  15. Wanasubiriwa raia watoke katika kiwanda cha vyuma Mariupol kisha vitu vizito vya Urusi vinadondoshwa kwa askari 2000 wa Ukraine waliopo

    Vita Ukraine: Raia wa Ukraine waokolewa katika kiwanda cha kutengenezea vyuma Mariupol ikumbukwe ni kama wiki mbili zimepita wakiwa chini ya handaki raia 1000 na askari 2000 na tangu Putin alivyotaka askari wa ukraine wajisalimishe wakagoma ndipo Putin akaagiza hakuna kitu chochote kutoka au...
  16. Tupia kikosi chako bora cha muda wote duniani

    Wasalaam Nakumbuka nlitengana na mpenzi wangu mmoja kisa , mpira Mpira ni furaha yetu , tuna furaha nyingi sana ila mpira hauna kifani . Mpira unatuumiza sana sometimes pale , timu zetu zinapokumbana na zahma tusiyoipenda Lakini yote kwa yote, Mpira ni muhimili wetu. Nakumbuka msemo wa...
  17. Kipindi cha Mr Right mabinti hawataki waume wako kuuza sura tu. Gara B kama uko serious na kipindi hiki fukuza wote

    Nimefuatilia kwa wiki mfululiza sasa kipindi cha Mr Right kinachorushwa na Station ya Startimes kinachosimamiwa na MC Gara B. Nilivyoangalia nimegundua mambo kadhaa ktk kipindi hicho 1. Wadada hawanauhitaji serious wa wanaume. Hivi kweli unaweza ku disqualify mwanaume eti kwa sababu anatumia...
  18. M

    Chama cha Mapinduzi na Mei Mosi 2022

    Chama cha Mapinduzi kinawashukuru na kuwapongeza wafanyakazi wote nchini kwa kuendelea kuitekeleza kwa Vitendo Ilani yao ya Uchaguzi 2020|25, Ifahamike kuwa kila mfanyakazi anayefanya kazi Serikalini lazima awe ni Mwana-CCM ,
  19. S

    Ripoti za CAG: Itungwe sheria wale wote wanaotajwa au kuhusishwa na ubadhirifu wa fedha katika ripoti za CAG wasimamishwe kazi kupisha uchunguzi

    Huu ndio ushauri wangu, vinginevyo ubadhirifu huu wa kila mwaka hautaishi kwani wanajua hata wakituhumiwa, hakuna kitachofanyika, na kama ni kuchukua hatua basi, itategemea na utashi wa Raisi. Binafsi siku hizi sina hata hamu tena ya kufuatilia ripoti za CAG kwasababu naona ni kama kutufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…