wote

  1. U

    Nayaona mafanikio ya Taifastars siku wachezaji wote wa JKT Tanzania watakapochaguliwa kuitumikia!

    ... 👂 𝗠𝗠𝗘𝗦𝗜𝗞𝗜𝗔 𝗛𝗨𝗞𝗢 ?😀 "Nayaona mafanikio ya Taifastars siku wachezaji wote wa JKT Tanzania watakapochaguliwa kuitumikia. Rejea ushauri wa Rais wa awamu ya tano" ©️ Masau Bwire. Afisa habari wa klabu ya JKT. Tom Cruz
  2. Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi.

    Wanabodi Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA CPA Paul John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi. Watch https://www.youtube.com/live/BwSqvxL7YVw?si=q1MXVglKZ3cZTPdF Walalaze amekumbusha mwezi September ni mwezi wa kulipa awamu ya tatu ya kodi...
  3. J

    Archraf Hakimi: Hii ndo sababu ya mimi kuhamishia mali zangu kwa mama yangu mzazi nilipoona dalili za kutopendwa na mke wangu wa zamani

    Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kuanzia 2020 hadi 2023 Lakini niligundua kuwa alikuwa akitafuta pesa zangu miezi...
  4. Watanzania Wote ni ndugu, anayeteka ndugu zako ni adui yako

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akitaka kuamsha ari ya kila mtanzania kupigania haki za Mtanzania mwenzake, alisema kuwa "WATANZANIA WOTE NI NDUGU" Sentensi hii moja, kivitendo ni majumuisho ya matendo mema msululu. 1) Ndugu yako huwezi kumwua. Hawa viongozi wa CCM wanaowaambia polisi kuwa...
  5. Watanzania wote tuachaneni na mwandishi huyu Mghana

    I salute you kinsmen Wakuu nadhani wote mnajua kutokana Ghana la michezo bwana micky JNR. huyu bwana tunajua wazi yupo kwenye payroll hasa kwenye team za kiarabu ikiwemo ahly ahly ya Egypt pia wydad na hapa East Africa ikiwemo team ya hovyo simba ambayo wote tunajua ni demu tu wa yanga...
  6. Iwepo sheria kuwalazimisha wafanyabiashara wote wenye turnover ya zaidi ya Tsh 400m kwa mwaka wawe na wahasibu angalau ngazi ya certificate.

    Hii ninashauri ili kupunguza tatizo la ajira na pia kusaidia kupunguza migogoro kati ya serikali na wafanyabiashara. Kuna kutokuelewana pakubwa kati ya serikali na wafanyabiashara kwenye hesabu zao. Mamlaka zinaona wafanyabiashara wanakwepa kodi huku nao wakiona mamlaka wanawaonea. Kupunguza...
  7. LHRC yatoa wito Tanzania kuridhia Mkataba wa Kimataifa wa Ulinzi kwa Watu Wote dhidi ya Kupotea na Kutekwa, 1994

    MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA WAHANGA WA MATUKIO YA KUTOWEKA NA KUTEKWA (ENFORCED DISAPPEARANCES) Dar es Salaam, Agosti 30, 2024 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo Agosti 30, 2024 kinaungana na wadau wote wa Haki za Binadamu Duniani katika kuadhimisha siku ya Kimataifa ya...
  8. Bongo fleva top 5 yangu ya muda wote

    Baadhi ya nyimbo zinakuwa zina capture moments...yaani nyakati Fulani hivi ...na mood ya Taifa au ya walio Wengi wakati huo... 1. Nipe Tano - Daz nundaz.. Huu Wimbo unawakilisha nyakati ..kama birth hivi ...ndo kwanza Taifa linapata TV special Kwa bongo flava na vijana ...Nani angejua channel 5...
  9. Kuua ni laana hata vitabu vya vidini vimesema hivyo, usikubali kubebeshwa dhambi hiyo

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nafahamu kuna Watu hawajui Jambo hili. Nimeandika ili wajue. Hata hivyo hata kama hawajui lakini wakafanya mauaji haitaondoa Laana Kwa namna yoyote. Elewa kuna Makosa àmbayo kamwe Mungu hawezi kukusamehe hata ungetubu kwa namna gàni. Sheria za Mungu zîpo wazi...
  10. Napenda kufanya biashara muda wote ninashika pesa tofauti na kusubiri mshahara mwezi hadi mwezi

    Biashara yangu ndogo bado haijakua kiviile lakini vichange change mkononi haviishi hata kama ni vya rejesho la kila wiki lakini vipo mkononi. Vipi wewe mdau unaipendea nini biashara yako? Au kama ni muajiriwa unaipendea nini ajira yako?
  11. U

    Imamu sheikh Mbwana Haji - muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa wengine wanafanya ubaya kwake

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa hapo chini: Mtoa hotuba wa Ijumaa ya leo msikiti Sunni Dodoma (Nunge) Imamu sheikh Mbwana Haji amesema muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa watu wengine wanafanya ubaya kwake au kutoa kauli mbaya mbele...
  12. S

    Je, ni wafanyakazi wote wa serikali wamelipwa mishahara mwezi huu wa August?

    Nauliza swali hili kwa lengo la kujiridhisha kuhusiana na taarifa fulani ila kwa sasa naona sio busara kuzitaja ila majibu yatanisaidfia kupata walau picha halisi. Naomba tujuzane kama kuna watumishi ambao bado hawapata mishahara mpaka leo hii.
  13. A

    Jamiiforum mnataka tuwashe data (Internet) muda wote?

    Sio kila mtu anapenda kuwasha data muda wote anapoperuzi mtandao, JF zamani kama unasoma bandiko refu basi ulikuwa na uwezo wa kuzima data
  14. N

    Hongera kwa wanawake wote

    Napenda kutoa hongera kwa wanawake wenzangu wote ambao wanadate kimya kimya bila showoff kwenye social media. Hakuna picha hakuna video wala hakuna story yoyote tunayoshea social media kuonesha tupo inlove sie twala kimya kimya. Mungu atubariki ili tendelee kuajiri tuendelee ku hire hivi...
  15. Feni ya laptop inazunguruka mda wote

    Nina laptop dell 5289 Nikishaiwasha tu feni inaanza kuzunguruka mda wote Ilianza inwzunguruka baada ya kama dakika 10 au 15 inaacha Sasa hivi ndio imezidi mda wote inalia tu kwa sauti Naombeni msaada wenu nifanye nini ikae sawa
  16. Mkikutana na mpenzi wako mkafanya ngono bila kupeana chochote na wote mkatoka mmefurahi hilo ni penzi, kama mmoja akikasirika hapo hamna penzi

    KAHABA ni mtu ambaye anafanya ukahaba. UKAHABA ni kitendo cha mtu kufanya ngono ili apate malipo. Wapenzi watapendana tu bila sababu yoyote , wapenzi watapeana pesa na vitu vingine. Wapenzi hawapo kama kiatu na rami, maana kiatu mara zote ndio kinaliwa. Wapenzi watakutana mahali popote, wakiamua...
  17. Video clip: Akili mnemba zimefikia level za hatari sana, tukizubaa, binadamu wote tutapoteza ajira

    Hebu angalia hizi slide mbili za video zilizotengenezwa na akili mnemba ndani ya dakika chache tu.., fully rendered. Kwa sasa wasanii na maprodyuza wa muziki ndio wanaipata pata.., ila huko tuendako, hata wahandisi na wabunifu majengo lazima tutakwenda na maji. Hata madaktari (Medical)...
  18. Huu uzi uwafikie wale matonya wote wanaopambania kupata vocha za bure

    Kama unajijua kuwa huwa unapandwa na pressure unapoona Sandakalawe basi huu uzi unakuhusu kwa asilimia 100. FACT - Ewe Matonya! Usipende vya bure tambua kuwa wenzako hizo vocha wamezitafuta kwa jasho na kufanya kazi. Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
  19. B

    Hii inchi ni ya wote, siyo CCM

    Nipende kusema kuna kasumba inaonekana Kama kuna kundi linahaki miliki ya Inchi ya Tanzania kwa kupitia mgongo wa CCM, na kundi hili si wasafi bali ndiyo wanayoihujumu inchi yetu kuanzia rasilimali zetu mfano kuingia mikataba mibovu,wizi wa rasilima za inchi, uuzaji wa madawa ya kulevya,ukwepaji...
  20. Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

    Habari wapendwa. Leo naanza kwa kumshukuru Maxence Melo kwa kuanzisha hii platform ambayo leo nitaitumia kusema kitu ambacho nikikisema ktk maisha yangu halisi nitaonekana wa ajabu na nina hakika kuna wapendwa wangu watanitenga hivyo nitawaambia nyie japo najua mtanipopoa sana leo ila nataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…