wote

  1. J

    Kosa kubwa la watanzania na wafrika wote kwa ujumla ni kuabudu watu badala ya principles na integrity.

    ukiangaria siasa za Tanzania na afrika kwa ujumla kama ni mtu unaye fikiri vizuri utaona kunashida kubwa katika nchi zote za Africa. Shida kubwa sio tu kwa viogozi wa Africa tu bali hata raia wa Africa wote walisha kuwa watu wa kuabudu watu badala ya kuwalazimisha kufuwata...
  2. Walimu wote pitia makala hizi kujiandaa na usaili

    Kwa wale ambao wamekosa mambo ya msingi na taarifa muhimu kuhusu usaili hasa kada ya elimu, usijali! Zipo njia mbili za kuhakikisha hupitwi tena: 1. Tembelea Jamii Forums Hapa utapata makala zenye mwongozo wa kina na taarifa za msingi kuhusu usaili. Fuata link hii...
  3. Heri ya Mwaka Mpya kwa Wana CCM wote, kazi iendelee

    Kidumu chama cha mapinduzI Nawatakia hapoye new year Wana CCM wote katika Bwana Mkawe na MWAKA WA furaha na baraka
  4. Huyu Said ni nani humu JF ambaye wanaamini ndiye Baba wa members wote?

    Nimeona sehemu nyingi ukimjibu mtu basi juu kwenye msg yake anaandikwa mfano Komeo la chuma Said. Nikawa najiuliza kwa nini JF mliona jina la Said ndo liwe Surname ya members wote? Kwa nini basi isiwe Komeo la Chuma Ali au Ngendembwe John. Ila mmeamua iwe 1. Komeo la Chuma Said 2. Kizuio Said...
  5. Nawatakia wana JamiiForums wote heri ya mwaka mpya 2025

    Kwa heshima na taadhima, nichukue nafasi hii ya kipekee kuushukuru uongozi mzima wa jamii forums, wafanyakazi wake wote, na pia wana JamiiForums wenzangu kwa kuwa pamoja kwa mwaka wote huu wa 2024. Natambua fika tumepitia mengi ndani ya mwaka wote huu. Wako ndugu na jamaa zetu wengi kwa namna...
  6. R

    Mwaka mpya na mambo mapya JF: Nitawa-unblock wote niliowa-block nikitegemea nao watabadilika na kuwa waungwana katika maandiko yao JF

    Nina list ndefu. Tuanze 2025 na UUNGWANA zaidi katika kuwasilisha mada zetu na kujibu mada za wengine kiungwana bila matusi, dharau and the like. 2025 MOTTO: USICHOPENDA KUTENDEWA USIMTENDEE MWENZAKO. BY THAT PRINCIPLE, KILA MMOJA WETU AKIISHIKA, TUTAKUWA WATU WEMA THROUGHT 2025. Nawatakia...
  7. KANDA YA PWANI: Mwenyekiti mstaafu wa Kanda hiyo Baraka Mwago amewataka wajumbe wote wa mkutano mkuu wamchague Tundu Lissu ili chama kisife

    Allahmdulillah! Nilipata heshima ya kuhudumu kwenye nafasi mbalimbali za chama chetu kuanzia nyumbani Mkuranga, kisha Uenyekiti wa Mkoa wa Pwani. Niliiongoza Kanda ya Pwani kwa miaka mitano wakati wa mawimbi makali ya mwendazake, na nikahudumu katika Kamati Kuu ya Chama kwa miaka 5. Kwa uzoefu...
  8. RC Chalamila Jeuri kwa watu wenye kipato cha chini imezidi sasa, mamlaka ya uteuzi ikiendelea kumlea watavuna wote

    https://www.youtube.com/shorts/e-h8zzRwB44?feature=share RC Chalamila nazani madaraka yamemlevya ..amekua akiwadharau sana watu wa kipato cha chini ,hana lugha mzuri kundi ili la watanzania wenye kipato cha chini .amewashambulia sana wanaume wauza uduvi na kuwaambia wataolewa . Kumbuka...
  9. B

    Hongera Tundu Antipas Lissu kwa kutambua usalama wako unawajibika nao wewe mwenyewe, wengine wote hawaaminiki!

    Kwamba alisikika Wenje, kutokea Arusha Lissu aliugua sana tumbo! Kwa maneno yake kuwa: "alikuwa ana drive." Bila shaka alichokula Lissu alikula na wenziwe. Sasa kumbe vipi "food poisoning" kumuathiri mmoja tu katika kundi?! Ogopa sana kanda ya ziwa na ile nyongo pendwa ya mamba! Kwamba...
  10. Ushindi wa Lissu ni muhimu sana kwa wachaga wote, wachaga walihitaji sana kujinasua na ndoano ya kubambikwa uchadema.

    Miaka 20 iliyopita ya harakati za kiasiasa za Chadema, ama niseme ilitokea kwa bahati mbaya au ni kushindwa kwa viongozi wa Chadema, wachaga walijikuta wamejeuka kuwa 'collateral' ya kuvishwa uchadema isivo halali. Na ikaonekana na wengi kwamba, Chadema ni chama cha wachaga na wachaga wote ni...
  11. Hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke haitengenezwi kitandani. Ili mwanamke aridhike kitandani, ni muhimu kuhakikisha kuwa ana furaha wakati wote

    🏆🏆🏆 Hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke haitengenezwi kitandani. Ili mwanamke aridhike kitandani, ni muhimu kuhakikisha kuwa ana furaha wakati wote💜💜💜. Najua ni ngumu kwani kuna kausha damu, lakini mfanye atamani kukutana na wewe kwa kumuonyesha kwamba unamkumbuka❤️❤️❤️. Kwa mfano, uko kazini...
  12. Vijana wote iwe Chadema au Ccm wanakimbilia siasa ili kutafuta unafuu wa maisha .

    Huyu jamaa anajiita Mdude . Kwanza hana Elimu ya darasani , pili haelewi Kwa kina kuhusu siasa. Muda anaoutumia mitandaoni kuponda na kubeza wanasiasa bora angeutumia kuboresha Kazi zake za ufundi wa Simu na computer. Hao akina Mwambukusi sio wenzake hao wana Elimu kubwa Sana na wamempita...
  13. Hivi inawezekana mtu kuwa sahihi muda wote?

    Salaam wana bodi ,kwanza niwatakieni siku kuu njema ya krismas na heri ya mwaka mpya wa 2025.nirudi kwenye madam yangu.hivi inawezekana mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ,kuwa sahihi wakati wote,kwenye jambo lolote,kwenye kunena kote,kufanya mambo yake yote na kuishi kwake kote bila kuwa na...
  14. Benjamini Netanyahu awatakia wakristo wote Krismasi njema

    Marafiki zangu wapendwa Wakristo, mnapokusanyika pamoja na familia na marafiki zako Krismasi hii, ninawatakia jumuiya ya Wakristo katika Israeli na ulimwenguni kote baraka za Krismasi Njema kutoka Nchi Takatifu. - BENJAMINI NETANYAHU...
  15. N

    VIDEO: CHADEMA wote msikilizeni Mwl Nyerere

    Mwalimu Nyerere alishakataa mambo ya mtu kuongoza miaka kama ya baba Mkwe wake, R.IP BABA WA TAIFA LETU
  16. G

    Sekretarieti ya ajira: Kwa waombaji wote wa ualimu

    Happy mary Christmas to all Jobless teacher's waiting to be called for interview soon.
  17. L

    Mbowe ametumia ujana wake wote kuitesekea CHADEMA kwa jasho na machozi

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Mwamba apewe Maua yake tu,apewe heshima yake tu.Atambulike na watu wote angali hai kuwa ndiye Mwamba aliyetumia ujana wake wote Kuitesekea na kuijenga CHADEMA kwa jasho na Machozi.Ametumia Muda wake wote kwa ajili ya chama. Inasikitisha sana unapoona Mwana CHADEMA...
  18. Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote uone uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki

    Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote utambue uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki Amewaomba akina mama waliomlipia fomu wawaombee CHADEMA lakini pia waongeze maombi mengi kwaajili yake
  19. Abdul jitokeze hadharani usema ukweli wote wa fedha za mama Abdul. Kunyamaza kwako kunaleta sintofahamu

    Popote ulipo Abdul njoo hadhani kwa kuitisha press useme ukweli juu ya fedha za mama Abdul. Tundu Lissu na Wenje wameshasema ya kwao kuhusu fedha za mama Abdul. Sasa ni zamu yako na wewe kusema kinagaubaga tujue muongo ni nani kati ya Lissu na Wenje. Njoo baba hadharani ukate mzizi wa fitina...
  20. A

    Mpokeaji na mtoaji rushwa wote wanamakosa

    Analalamikiwa mtu mmoja tu mpokeaji RUSHWA lakini MTOAJI hasemwi hiyo iko sawa?Au siasa za kuchafuana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…