wosia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wosia wa William Lukuvi: Wazanzibari hawatupendi Watanganyika. Tukiwaacha Uhuru Watatusumbua na siasa kali

    Hata saa mbovu kuna muda inasema kweli mara mbili kwa siku. Kila mtu ana jinsi anamkumbuka Mtu. Mimi Wosia wa Lukuvi ambao nimeuweka moyoni ni tahadhari aliyotoa kuhusu Watu kutoka Zanzibar. Yaliyotokea 29 Oktoba 2025, yalifanya niamini kauli ya William Lukuvi. Aliwahi kusema kwamba hatuwezi...
  2. Trump aacha wosia endapo atauliwa na Iran

    Trump amesema kuwa ameshaacha WOSIA/maelekezo endapo Iran itafanikiwa kumuua. Wosia huo unawaambia jeshi la Marekani nini cha kufanya baada ya kifo cha Trump! Mikwara mingi kumbe dingi muoga, aaaagh! --- President Trump said he's "left instructions" if Iran assassinates him "That would be a...
  3. Kama ulitumia hili Daftari shule ya msingi anza kuandika wosia

    GT. Lazima umri umeenda mda wowote malaika watakuita ukafurahi nao.
  4. Wosia wa Dorothy Gwajima Kwa mabinti wa kitanzania

    Kupitia mtandao wa kijamii wa facebook dorothy Gwajima amechapisha akileza kuwa wewe binti ambaye, fikra zako zinakutuma uwe mvivu mvivu kusoma au kujishughulisha na masuala ya maendeleo na kuwekeza kwenye harakati za yuko ambaye, Mungu alishamwandaa kwa ajili ya maisha yangu mimi, atanipa kila...
  5. Wosia wangu kwa vijana CCM ni chama kinacho thamani uwezo wa vijana wenye uwezo

    Wewe dogo JF ni sehemu ya kuruka viunzi vya mtaani na wahusika kukupima uwezo wako. CCM ina vijana luluki kutoka vyuoni, inabeba watu kutoka sekondari na vyuoni. Kama umesahaulika huko; JF ni sehemu ya wewe kuonyesha unaweza, jenga nchi. Be it in the process make CCM first and be yourself on...
  6. Waliotajwa na Polepole na Gwajima kuwa mlizungumza nao andikeni Wosia kabisa

    Vita ya Wanamtandao na Sukuma Gang imefika sehemu mbaya sana. Tatizo kubwa walilo nalo sukuma gang ni kutokuwa na kifua. Wanaongea sana. Na kwenye kuongea sana Wanauzana sana na kujiweka hatarini sana. Wanamtandao sifa yao kuu ni kutoongea mipango yao na mambo yao waziwazi. Huwezi kusikia...
  7. H

    Polepole akumbusha Wosia wa Hayati Nyerere Akiwa Hospitalini, Kuwa Tusikubali Nchi Yetu Itekwe, Tutajuta. Nchi Inaelekea Kutekwa

    Polepole, leo kwenye wasilisho lake live, ameeleza mambo mengi mazito juu ya hatari ambayo Taifa linapitia. Katika kufikisha ujumbe wake, ameelezea majadiliano mbalimbali aliyoyafanya na watu mbalimbali wenye uzalendo wa hali ya juu kama Mzee Warioba, Butiku na hayati Mkapa hapo mwaka 2015. Na...
  8. Leo Tujifunze kuhusu wosia: hati yenye nguvu kisheria kuhusu mgawanyo wa mali baada ya kifo.

    Wosia ni tamko au maandishi ya mtu akiwa hai, yanayoeleza namna mali zake zitakavyogawanywa kwa warithi wake baada ya kifo. Ni nyaraka muhimu ya kisheria ambayo husaidia kuzuia migogoro ya familia na ndugu baada ya msiba. --- AINA ZA WOSIA KISHERIA: 1. Wosia wa Maandishi – huandikwa na...
  9. M

    Zambia: Familia ya Hayati Lungu yasema aliacha maelekezo Rais Hichilema asihudhurie msiba wala kusogea popote ulipo mwili wake

    Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu, ambaye alifariki wiki iliyopita akiwa nchini Afrika Kusini, imedai kuwa marehemu aliacha maelekezo mahsusi akitaka Rais wa sasa, Hakainde Hichilema, asijihusishe kwa namna yoyote na shughuli za msiba wake wala kuwa karibu na mwili wake. Kwa...
  10. R

    Tujikumbushe wosia wa Nyerere kuhusu udikiteita

    JE TUMEFIKA HUKU?
  11. Wosia kutoka kwa Babu yale aliyefundishwa na Wahenga juu ya maisha: Yale Mwanaume anatakiwa kujua

    "Wakati mwingine, wewe ndiye tatizo." Kuna baadhi ya kweli katika maisha ambazo ni ngumu kumeza—lakini kuyakwepa hakuyabadilishi. Yanauma, lakini yakikubaliwa, yanaweza kukuokoa. Ukitaka kuwa mwanaume wa kweli, si kwa umbo wala umri, bali kwa busara na uwezo wa kutambua makosa yako na...
  12. Nataka kufuta wosia niliondika nikifa nitajizika mwenyewe

    Hii ilitokana na stress na dipreshen Kali sana iliyonikumba 2017/18 kwasababu binafs sitaziweka hadharani. Na kupelekea kuandika wosia nikifa nitajizika mwenyewe kenge yoyote asithubutu kujaribu kunizika. Ila nimekaa nikatafari nimeamua niufute huu wosia. Ilikuwa hali ya mihemko ikapelekea hii...
  13. Wosia wa Babu: "Enzi Zetu Tulikuwa Wanaume—Nyinyi ni nini hiki?

    Wanawake wenu wanaharibika. Watoto wenu wanapotea. Na si kwa sababu yao pekee—bali kwa sababu nyinyi mmejigeuza watu wa hovyo! Mmekaa kimya mkiona kila kitu kinaporomoka, mnaigiza kutoona, mnapunguza uzito wa majukumu yenu kwa kisingizio cha "siku hizi mambo yamebadilika." Mmejificha nyuma ya...
  14. Nawakubali sana Waislamu kwenye kuzika, nawaza niweke kwenye wosia wangu nikifa nizikwe isizidi masaa 24

    Naifikiria sana hii kitu pale mtu anapoachwa wiki nzima hajazikwa, huwa inakuwaga huzuni mara mbili kwa wafiwa. Solution ya hii kitu nimegundua ni mtu kuzikwa fasta fasta na sio kuchelewa zaidi ya siku mbili. Mwaka jana kwenye family yangu kuna mtu aliumwa kinoma, nikajisemea hapa akifa nazika...
  15. Hivi kwanini baadhi ya Wazazi/Walezi Tanzania ukiuliza umeandika Wosia anaona kama unataka kumuua?

    Wakuu Hivi kwanini Tanzania ukimuuliza Mzazi au Mlezi umeandika Wosia? Anaona kama unataka kumuuwa vile, kumbe ni wajibu wake kuandika ili kuepusha usumbufu na migogoro hapo baadae.
  16. Barua ya wazi kwa wanangu wote

    MWANANGU nisikilize kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha yanataka kupetiwa ili...
  17. Nimetoa Wosia kwa Mwanangu, usomeni hapa!

    WOSIA WA MAMA KWA MWANAYE KUHUSU NDOA 1. Mwanangu, ukiona unatumia pesa kwa mwanamke na hajawahi kukuuliza kama unaweka akiba au kuwekeza, na anaendelea kufurahia tu, usimuoe huyo mwanamke. 2. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mke mzuri kwako, wengine wanaweza kuwa mama mzuri kwa watoto wako...
  18. Ili Wosia uwe halali ni lazima uwe umezingatia vitu gani vya Msingi?

    Mara nyingi tunaona na tunasikia kwenye vyombo vya habari kuhusu Wosia kupingwa Mahakamani kutokana na utata wa wosia huo. Hali hii husababisha kesi ya Mirathi kutumia muda mrefu hadi kukamilika kwake. Huku ukizingatia Mali ambazo walipaswa kugawana katika familia kukaa tu na pengine...
  19. Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

    Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi ameangukia pua baada ya mahakama kutupilia mbali rufaa yake. Ntuyabaliwe aliitaka mahakama iutambue waraka wa wosia wa marehemu Mengi ambao ulikataliwa na mahakama kuu. USSR --- Mahakama ya Rufani imetupilia...
  20. Wosia wangu wa mwisho

    Wapendwa, Ninajua kwamba maneno haya yanaweza kuwa magumu kusoma, lakini naomba myakubali kama sehemu ya safari yangu. Nimejaribu kwa muda mrefu kupambana na mawimbi ya huzuni na maumivu ambayo yamekuwa yakinizonga. Nimepata wakati mgumu sana kuelezea hisia zangu, na hata sasa, si rahisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…