wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Matumizi ya Kadi za Malipo ya Wizi katika Malipo ya Serikali ni nini kifanyike?

    Matumizi ya kadi za malipo katika mfumo wa malipo ya serikali ni hatua muhimu kuelekea kuboresha uwazi na ufanisi katika usimamizi wa fedha za umma. Hata hivyo, tatizo la wizi wa kadi za malipo limekuwa kikwazo kikubwa katika kufikia malengo haya. Kadi hizi zinapotumiwa vibaya, zinachangia...
  2. PreGE2025 Lissu: CHADEMA ikiondoka kwenye misingi iliyonifanya nijiunge nacho, nitaondoka. CHADEMA siyo mama yangu wala dini yangu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA- Bara, Tundu Lissu amsema iwacha CHADEMA itaacha misingi yake ailiyomfanya ajiunge na chama hicho basi ataondoka katika chama hicho na sio dhambi kufanya kuvyo kwani Chama cha Siasa sio mama yake wa dini yake Akizungumza kupitia Mtandao wa Clubhouse amesema "Mwalimu...
  3. P

    Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako

    Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako. Wizi ni miongoni mwa vitu vyenye kurudisha sana nyuma Biashara zetu. Kuweza kudhibiti wizi kwenye Biashara sio kazi nyepesi kabisa. Lakini unatakiwa kupambana sana mpaka ukae sawa kwenye Biashara yako. La sivyo wewe utateseka kisha wafanyakazi wako...
  4. Watanzania na Wizi wa Miavuli, au majini ndo yanaiba?

    Salaam Wakuu, Unakuta mtu kila msimu unanunua miavuli miwili au Mitatu. Lakini yote huwezi jua hatima yake. Watu gani wanaiba miamvuli Tanzania? Wanaifanyia kazi gani? Kila nikinunua Mwavuli huwa sijui unaenda wapi. Na kila ninaye muuliza anasema hata yeye kapoteza au kasahau sehemu. Je...
  5. S

    Vifurushi vya tigo Internet, ndio vinaisha kwa kasi kiasi hiki au ni wizi?

    Jana usiku niliweka kifuruahi cha siku 7 cha net, sma na dakika ambapo nilipara MB 400 na nilitumia zaidi ku-browse ila nashangaa muda huu net imeanza kususua na kuangalia salio naona zimebaki MB 19 na point. Sasa najiuliza hii speed ya bando kwisha ni haki au ni wizi? Sidhani hata kama...
  6. Wizi wa udanganyifu wa tiketi katika SGR umenikumbusha walafi enzi za shule. Hakika "samaki mkunje angali mbichi"

    Katika shule za secondary nilizosoma nyama na wali vilikuwa vyakula adimu sana hivyo siku vikipikwa ilikuwa ni harakati kubwa mithili ya "survival for the fittest". Nyama ilikuwa inapikwa mara mbili au mara moja kwa wiki, hivyo pia kwa wali. Watu wengi ambao walikuwa wanaonekana wastaarabu siku...
  7. D

    Ili jamii iweze kuendelea kiuchumi, wizi ni lazima. Efficient Market Mypothesis (EMH) haipo na wala hai-exist

    Ukiona rais anayeingia madarkani anasema atakomesha wizi huyi ni mwongo wala ukweli haumo ndani yake. Hata Mungu amesharuhusu wizi pale aliposema mwenye nacho ataongezewa na asiyenacho hata kile anachoamini anacho atanyanganywa (ataibiwa)
  8. R

    PreGE2025 Asiyepiga kura hana haki ya kuhoji wizi wa kura, tujitokeze 2024 na 2025 kupiga kura na kuzilinda

    Salaam, Shalom!! Nachukua wasaa huu kuwaamsha wote waliokata tamaa, wote walioapa hadharani kuwa hawatashiriki kupiga kura wengine wakachoma kadi za kupigia kura, baada ya matumaini Yao ya kumuona ndugu Edward Lowwassa anakuwa Rais wa nchi 2015 kupotea. Uchaguzi wa 2020 pia ulichagizwa na...
  9. Sababu Kanda ya Ziwa kuwa kinara wizi wa watoto

    Mnatia aibu kina Ngosa madhara ya kudharau elimu ndio haya mnatia aibu taifa letu. Najua itawagusa lakini huo ndio ukweli watani zangu Acheni ujinga huu mungu amewapa utajiri wa asili utumieni ila shule nayo ni muhimu sana Chanzo cha kichwa cha habari ni gazeti la mwananchi la leo
  10. B

    TANESCO hiki mnachofanya tuite wizi, ukwapuaji, unyang'anyi, au uhujumu uchumi

    TANESCO kwa nini mbona mnakwapua pesa za wanyonge bila huruma. Mwanzo wananchi walipiga kelele kuwa mmepandisha kodi ya jengo kutoka 15,000/= hadi 2,000/=lakini mlikuja kukanusha huku ukweli mkiujua. Sasa hivi kuna uhuni unaofanywa wakati wa kununua umeme kuliko hapo awali. Sasa hivi karibu...
  11. Benki yabariki wizi fedha za chuo cha Kanisa la Biblia Moshi

    Mgogoro wa madaraka Katika kanisa la Biblia Tanzania Kanda ya Kaskazini ,Sasa umefikia pabaya baada ya kundi linaloongozwa na Legius Nchimbi kuwasilisha nyaraka za kughushi za mabadiriko ya watia saini kwenye benki moja hapa Moshi na kuchota kiasi kikubwa cha fedha. Kundi hilo kwa kumtumia...
  12. R

    Kukomesha wizi wa kura wa NAPE, kwanini tusipige kura kwa utaratibu wa kujipanga nyuma ya mgombea

    Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo. Kila mgombea anakuwa na box lake la kutumbukiza kura. Hivyo hakuna kura zitakazo toka nje. Kuhesabu tunahesabu wote...
  13. N

    Tanesco kuendelea kukata Tsh 2000 kwenye LUKU kama tozo ya serikali ni wizi wa pesa za Watanzania.

    Hivi karibuni Watanzania kupitia mitandao mbalimbali walionesha ghadhabu juu ya ongezeko la kodi kwenye LUKU kutoka Tsh 1500 mpaka 2000 pasipo kutoa notice kwa umma. Baadae TANESCO walitoa maelezo kwamba ongezeko hilo ni deni la nyuma kwa baadhi ya wateja, cha kushangaza mambo yamekuwa tofauti...
  14. RC Makonda: Anayemjua mwizi aje ofisini kwangu kusema, nitampa laki moja

    Ili kuendelea kupinga vitendo vya uvunjifu wa amani mkoani Arusha Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amewaahidi wananchi wa mkoa huo hususani Bodaboda kuwa yeyote anayemjua mwizi na mwenye viashiria vya wizi basi akifika katika ofisi yake (yaani ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha) atapatiwa Tsh...
  15. KERO Nimepiga simu Tanesco kuhusu makato kodi ya Jengo, hata wenyewe hawajui kwanini wamenikata. Huu wizi!

    Nimepiga simu Tanesco, wamesema mita yangu ilikuwa inadaiwa 18,000 kwa mwaka wa fedha ulioisha(2023/24) hivyo wamekata pesa hiyo niliponunua umeme leo. Nikawauliza mbona wamekuwa wakinikata kila mwezi, hili deni wanalosema sijalipa mwaka mzima limetokea wapi? Majibu(TANESCO ): Hizi taarifa...
  16. A

    KERO Responded Wizi wa mita za maji Mbezi Mtaa wa Luis (Upendo)

    Habari za leo, Ninatokea Mbezi mtaa wa Luis kitongoji cha Upendo. Hivi karibuni kumeibuka wizi wa mita za maji hapa mtaani kwetu bila kujua wanaoiba wanazipeleka wapi, Dawasa tumewapa taarifa lakini hawana majibu. Sasa cha kushangaza hizi mita zina namba zake ambazo ni za usajili. Je, hawa...
  17. KERO Askari wa kituo cha Dumila Morogoro wamulikwe.

    Mkuu wa police Tanzania,hawa askari wako wa kituo cha police Dumila,Morogoro weredi wa kazi umekuwa jiwe kwao. Kwanza Dumila ni sehemu ambayo askari wake rushwa imetawala sana,dumila ni mji wenye wizi usio na mfano,bangi inavutwa hadharani tu. Achilia mbali matukio hayo,sehemu ya njia tatu...
  18. R

    Masheik mahubiri ya maadili yasiishie kwenye ushoga, jumuisha HAKI, WIZI WA MALI ZAUMMA- REPORT ZA CAG, siasa safi, uongozi bora na mambo kama hayo

    Mahubiri yenu yanaikumbatia serikali. Hubirini HAKI, wizi wa mali za Umma , uuzwaji wa rasilimali za nchi, MaDc, RC, kuwaonea watu , report za CAG na vitu kama hivyo. Maadili si ushoga/ubakaji tu. Hubiri na kusema uongo si maadili ( Magufuli yuko ofisini anachapa kazi, kumbe yuko mortuary)...
  19. A

    KERO tiGO Mbagala Zakhiem branch kuna wizi unafanyika kupata namba ya Lipa kwa simu

    Kuna mchezo mchafu unafanyika kwenye branch ya Mbagala Zakhiem upande wa Lipa kwa simu, HQ wanasema ni bure kupata number ya Lipa kwa simu ila ukifika kwenye hii branch Wanatoza 10,000 kwa ajili ya hii huduma. Je, huu wizi umebarikiwa na manager wa branch?
  20. SI KWELI Hakuna wizi Serikalini kama alivyosema Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba

    Waziri wa fedha alisema hakuna wizi serikalini ndio maana maendeleo yanaonekana. Je, ni kweli hakuna wizi Serikalini? Kauli yake ina ukweli kiasi gani? Jamiicheck tunaomba mhakiki suala hili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…