wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Moshi: RPC afafanua vielelezo vya wizi kuibwa Kituo cha Polisi na Askari Polisi kuchangishana kumlipa mwenye mali

    Polisi wa Kituo Kidogo cha Polisi Uchira, Kata ya Kirua Vunjo Kusini, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wanachangishana kumlipa shilingi 560,000 mkazi wa eneo hilo kabla ya Agosti 5 mwaka huu baada ya kuibwa vitu vyake vilivyokuwa ndani ya kituo hicho. Vitu hivyo vilivyoibwa Julai 26, 2022 ni...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Ulimwengu wa Kidigitali, Nyuma ya pazi la Wizi wa Kimtandao na uuzaji wa DATA

    Wizi wa kimtandao umekuwa ni jambo la kawaida sana katika jamii yetu hii inatokana na ukuaji wa teknolojia na uelewa mdogo wa watu wengi katika mayumizi ya vifaa vya kidijitali vya mawasiliano, hii ni mbinu mpya ya kuwaibiwa watu kwa njia ya mtandao huku mwizi huyo akiwa amejificha nyuma ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mnachokifanya NACTE ni wizi

    Kwa jinsi Hali ya kiuchumi ilivyo ngumu, imagine mtu analipia maombi ya vyuo kupitia Nacte pesa ikishachukuliwa ndiyo kizungumkuti kinapoanza. Kulog in issue, ukiwapogia wanajibu watakavyo hebu tunaomba waheshimu pesa za watu. Hii no moja Kati ya taasisi za hovyo kabisa,HAINA SIFA YA KUWA...
  4. JamiiForums Tanzania Umasikini, mateso, wizi, mikanganyiko na unyanyasaji vinatokea CCM ikiwa Madarakani

    Baada ya kupata Uhuru wa Tanganyika, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwatangazia watanganyika kwamba nchi yao ilikuwa na maadui watatu ambao ni Umaskini, maradhi na ujinga. Ili kuyaondoa hayo mambo matatu, pia Mwalimu akasema kuwa tunahitaji watu, Ardhi, siasa safi na Uongozi bora. Tangu...
  5. JamiiForums Tanzania Wizi mpya waibuka

    Habari za leo wakuu. Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo husika. Kuna wizi mkubwa sana unaendelea kasi kubwa sana hasa kwenye mtandao wa Facebook Kuna jamaa wanatumia trick ya kupost laptop computers wakidai wanauza. Hawa jamaa wanauza computer kwa bei ndogo sana ukilinganisha na bidhaa...
  6. JamiiForums Tanzania Wahukumiwa kwenda Jela miaka 70 kwa wizi wa mifugo

    Watu sita ambao ni majambazi sugu wa mifugo wamehukumiwa kifungo cha miaka 70 jela kwa kosa la unyanganyi wa kutumia silaha aina ya bunduki na mapanga katika mahakama ya wilaya ya Tarime Mkoani Mara. Hukumu hiyo imetolewa na hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Tarime Hakimu Yohana...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Tunafanya mapitio ya vigezo vya polyclinics, nyingi ni vichochoro vya wizi dhidi ya NHIF

    Na Englibert Kayombo WAF – Dar Es Salaam. Serikali imesema haikusudii kufuta Kliniki za Kibingwa (Polyclinics) zilizopo nchini bali inapitia vigezo vya kuwa na Polyclinics ambazo hivi karibuni zimeibuka kliniki nyingi ambazo zimekuwa ni vichochoro vya udanganyifu dhidi ya Mfuko wa Taifa wa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kwenye kikao, RC akamata kila aliyetajwa kwa wizi na CAG

    Tunahitaji watu wenye kumsaidia Rais wetu wafanye haya, Huyu RC mwendo anaokwenda nao ingependeza sana kuona haya yakifanyika nchi nzima, Msikilize mpaka mwisho,
  9. JamiiForums Tanzania Akamatwa kwa wizi wa magari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam, Venance Ramadhani (36) kwa tuhuma za wizi wa gari aina ya Nissan Xtrail. Kukamatwa kwa gari hilo kulitokana na askari wa usalama barabarani walipokuwa wakifuatilia madeni ya faini za tozo la makosa ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti na Janja ya CCECC

    Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti kuu ya serikali, hotuba yako, ukurasa wa 44, unasema serikali imeanza mchakato wa kutafuta mkandarasi wa kujenga kipande cha SGR (Tabora-Kigoma) 514km kwa US$2.1 bilioni (Sh4.89 trillioni). Wakati tunajua umewapa kandarasi CCECC. Katika mfumo wa...
  11. JamiiForums Tanzania Wezi na Wizi wa Magari umerudi kwa kasi ya 5G ni wapi tunakosea?

    Ndani ya week 2 kuna gari tano (5) Zimeibwa Tabata, Gari Mbili zimeibwa Mlimani City. Moja ya Tabata imeibwa karibu kabisa na kituo cha Polisi. Mlimani City jamaa yangu kaibiwa Toyota Crown. Naambiwa pia Kimara kuna gari mbili zimeibwa moja ikiwa imepark nje Bar na nyingine Ndani. Naanza...
  12. JamiiForums Tanzania Epuka wizi wa taarifa zako binafsi kwenye simu kupitia nyaya za USB

    Salaam Wakuu, Katika kuendelea kukumbushana umuhimu wa kulinda taarifa binafsi, leo nimeona nieleze kwa ufupi suala la wizi wa taarifa binafsi unaofanywa kupitia nyaya za kuchajia simu (USB). Tazama kwenye picha hapa chini: Picha> USB Cables za aina mbalimbali Ni wazi kuwa kutokana na sababu...
  13. JamiiForums Tanzania Vodacom wameanza wizi wa hela za M-PESA

    Juzi asubuhi nilikwenda kwa wakala kutoa pesa kabla ya kuanza mihangaiko ya siku nikawa nimebakiza salio katika simu takribani Tshs.15,000+,,,, Cha ajabu jioni wakati natoka mishe mishe nikawa nataka nijiunge kifurushi cha kuongea na simu nikafanikiwa kujiunga kilikuwa cha Tsh.500. Ujumbe...
  14. JamiiForums Tanzania Wizi mpya, makufuli yanafunguliwa kwa gesi kimya bila kelele, tununue makufuli yapi?

    Ni kimya kimya tu, kufuli linapigwa moto wa gesi linaachia lenyewe ama kuyeyuka.... Nakumbuka kuna kipindi flani hapo miaka ya 2021 kuna mwizi alikuwa anahisiwa ndiye anaibia sana maduka ya mtaani kwa mbinu hii, alipoona watu wanamhisi ndiye ila hawana ushahidi ikabidi ahame mji, ni maduka kama...
  15. JamiiForums Tanzania Nini njia ya kukomesha wizi huu majumbani?

    Niende moja kwa moja kwenye mada kama maeneo nayoishi kumekuwa na vitendo vya wizi mchana na usiku ila style wanayotumia wizi ni kama aina mpya flani kwani kama miezi miwili kuna wezi walivamia usiku kwenye duka la vifaa vya ujenzi na kuiba bila kuvunja grill yaani walifungua kufuli kama kwao...
  16. JamiiForums Tanzania CAG: Kuna wizi wa Kalamu Ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi

    Moja kwa moja kwenye mada.. CAG abaini wizi na ufisadi kwenye mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi.. Wazalendo uchwara waje fasta maana 👇 === Miaka miwili kabla ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi haujakamilika, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amegundua...
  17. B

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Wizi huu Ushirombo una Baraka Zenu?

    Tembea uone mambo usingoje kuambiwa. Hii nchi wengi wakipenda kusema ni ngumu, kwa kweli ni ngumu sana. Ama kwa hakika huenda hata sheria zinazotumika kunakoitwa mjini ni tofauti mno na za huko shamba. Nimeyaona ushirombo ambako labda Waziri Bashungwa hata hajui wizara yake kuwa imeshikwa...
  18. JamiiForums Tanzania Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

    Wakuu Niko Arusha Kwenye Miangaiko Sasa Jana nikaenda Bar ya picnic Arusha, Sasa Wakati ñaenda Nikamwambia Mwenyeji wangu, yule Mwenyeji wangu akanambia kuwa makini Na picnic kuna wezi kama wote, nikamjibu Poa. . Lakini yule Jamaa akanambia watu wageni wanaogopa Sana Hapo maana ULINZI zero. ...
  19. JamiiForums Tanzania Sabaya ole Lengai dawa ya Mafisadi, karibu tuwatibu wagonjwa wenye ugonjwa wa ufisadi, wizi na wauza madawa ya kulevya

    Welcome back hero. Uliipigania nchi yako, ulisimama kizalendo kudeal na wauza madawa ya kulevya, waiba magari ya watanzania na kuyapeleka kwa jirani, wahujumu uchumi na wakwepa kodi. Uliipigania nchi yako ili mapato ya serikali yako yaongezeke Taifa lako litekeleze miradi yake kwa fedha za...
  20. JamiiForums Tanzania Ukraine yaishutumu Urusi kwa wizi wa nafaka

    Ukraine imeishutumu Urusi kwa kuiba Nafaka Nchini humo ikisema kitendo hicho kinaongeza tishio la hali ya Chakula Duniani. Wizara ya Mambo ya Nje imedai Urusi inaiba mazao kutoka kwa Wakulima katika eneo la Kherson Sehemu ya Taarifa ya Wizara inasema, "Kupitia vitendo vyake haramu, Urusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…