wizi wa kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Matola PhD

    LGE2024 Kabla ya kulalamikia wizi wa Kura, Chadema walitimiza wajibu wao?

    Hakuna miujiza yoyote wanayofanya ccm, wakati wa uandikishaji wakala anatakiwa kuwa na idadi ya wanaoandikishwa kila siku mpaka siku ya mwisho orodha kamili awe nayo na ifikishwe chamani. Pili Wakala siku ya upigaji kura ahakikishe hakuna mtu anapiga kura zaidi ya moja kwenye sanduku moja, ni...
  2. R

    Tetesi: Rais Nyusi wa Msumbiji atoroka kwa helcopter kukimbia maandamano ya wizi wa kura

    habari hizi ni za kweli? Kutoka Tweeter (x)......@lifeof mshamba MaCCM yaliwapa Teknick ya kuiba kura huko Msubiji bahati Mbaya Raia wa Msubiji Wanajitambua Sasa hivi Wanachinjana Huko' Chama Tawala sasa kinataka Waunde Serikali ya Mseto Raia Wamegoma Wanataka Ushindi Wao.. Mambo ya Serikali...
  3. Cute Wife

    LGE2024 Kigoma: Vijana wawekwa chini ya ulinzi kwa wizi wa kura baada ya polisi kuingilia kati

    Wakuu, Uchaguzi huu umekuwa disaster! Mkuu utakuaje kwa trela hili? Pia soma: LGE2024 - Kigoma: Wananchi wafanya vurugu kituo cha kupiga kura Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote...
  4. BLACK MOVEMENT

    Mbinu mpya ya CCM kuingiza kura fake vituoni ni kutumia Plice na magari yao.

    CCM ni sawa na yale magenge ya Madawa za kulevya kule Mexco, ambako kila mbinu ikijulikana huingia chimbo na baadae kuja na mbinu mpya ya kusafirisha Dawa za kulevya. CCM baad ya kugundua mbinu nyingi za wao kuiba kura hasa kura fake zinajulikana now day sana wanatumia police hao hao kuiba...
  5. Suley2019

    LGE2024 Kigoma: Zitto Kabwe aonya wizi wa kura, atoa rai Wananchi kuzilinda

    Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe, amewataka watendaji wa Manispaa ya Kigoma Ujiji kuacha kukikumbatia chama cha CCM kwani ni chama ambacho kimeshindwa kuwalinda watendaji wa manispaa na watendaji wa kata hivyo katika uchaguzi wa Novemba 27, wasiingize mguu wao uwanjani...
  6. G

    Marekani kuna wizi wa kura, vitambulisho haviruhusiwi kupiga kura kwenye majimbo ya Democrats, Ni Majimbo pekee aliyoshindwa Trump.

    hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na picha NON PHOTO ID - Mpiga kura anahitaji nyaraka yoyote isiyo na picha kuthibitisha utambulisho...
  7. Superbug

    Marekani uchaguzi uko wazi hata mtu akishindwa ni rahisi kukubali. Kwetu maafisa na viongozi wanashiriki kuiba kura

    Assistants Returning Officers ambao wengi ni maafisa watendaji wa kata wakishirikiana na wakurugenzi polisi na usalama waliwashurutisha walimu kuongeza majina ya wapiga kura hewa kwenye vituo sasa katika mazingira kama hayo hata aliyeshinda anajua kwa dhati uhalifu uliofanyika mpaka yeye...
  8. JanguKamaJangu

    LGE2024 Wanachama wa CCM Dar waandamana Ofisi ya Mkoa wakidai kuna Rushwa na wizi wa Kura katika Kura za Maoni

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam wamendamana wakiwa na mabango katika ofisi za makao makuu ya chama kwa kile wanachodai kuwepo kwa wizi wa kura na rushwa katika uchaguzi wa kura za maoni. Wanachama hao kutoka Chanika, Buguruni, Tandika, na...
  9. tpaul

    PreGE2025 Mbinu za wizi wa kura zinazotumiwa na CCM zabainika; ni hizi hapa

    Ikiwa leo ni siku ya mwisho ya uandikishaji wa watu watakoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, CHADEMA wanahamasisha wananchi wajitokeze kujiandikisha lakini CCM wanaendelea kuimarisha mbinu zao za wizi wa uchaguzi. Kama ulikuwa hujui mbinu za wizi wa uchaguzi zinazotumiwa na CCM, hasa kwenye...
  10. jiwe angavu

    DOKEZO Wizi wa kura unaua morali ya wapiga kura

    Wale wezi wa kura wasioheshimu sanduku la kura,wanaishi kwa mbeleko Msijione washindi kwa wizi wa kura kimsingi mnaua morali ya wapiga kura kushiriki katika chaguzi mbalimbali hapa nchini. Imefikia hatua wanachi hawataki kujitokeza kwenye mikutano na wala hawataki tu kusikia habari za uchaguzi...
  11. Allen Kilewella

    PreGE2025 Hivi ndivyo CCM huiba kura na CHADEMA wasijue wameibiwaje kura

    Mwaka 2020 wakati wa Kampeni za uchaguzi Mkuu, nilikuwa nawaambia viongozi wangu kuwa ni lazima CCM watatuibia kura kwa mtindo Mpya kabisa. Sababu ya kusema hivyo ilikuwa ni jinsi CCM walivyopunguza matumizi ya mabavu ya dola dhidi ya CHADEMA kwenye Kampeni za uchaguzi ule. Hapo chini nimeweka...
  12. Heparin

    PreGE2025 Fadhili Maganya: CCM hatuna mpango wa kutoka madarakani, ushindi kwetu ni lazima

    "Kuna kitu naona kinapita mtandaoni ninafikiri cha katibu wa wilaya fulani, watu wanapiga kelele sana oooh ushindi ni lazima, sijui hivi sijui vile, hiyo inajulikana mbona! Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni lazima, na CCM haina mpango wa kutoka madarakani kesho, kesho kutwa na miaka huko mbele...
  13. Determinantor

    PreGE2025 Askari wa Jeshi la Polisi athibitisha jinsi wanavyosaidia kuiba kura ili CCM ibaki madarakani, ni aibu!

    Haya yanayotokea sasa hivi ni Kwa bahati mbaya, mazoea au ni planned? Polisi mwenye cheo kikubwa kama huyu anawezaje kutamka maneno mazito kama haya? Huku akifanya demonstration? Pia soma: ~ Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi...
  14. Subira the princess

    PreGE2025 Ni mtu asiye kawaida anayeweza kuiamini hii tume ya uchaguzi isiyo huru

    Wasalaam. Ndugu zangu wadanganyika hakika sisi ni wadanganyika na tumekua tukidanganyika tangu kuanzishwa kwa vyama vingi vya siasa mwaka 1992. Hapo nyuma kulikua na chombo cha kusimamia uchaguzi kilichoitwa tume ya uchaguzi Tanzania ambapo viongozi wake wote walichaguliwa na mwenyekiti WA CCM...
  15. R

    PreGE2025 Asiyepiga kura hana haki ya kuhoji wizi wa kura, tujitokeze 2024 na 2025 kupiga kura na kuzilinda

    Salaam, Shalom!! Nachukua wasaa huu kuwaamsha wote waliokata tamaa, wote walioapa hadharani kuwa hawatashiriki kupiga kura wengine wakachoma kadi za kupigia kura, baada ya matumaini Yao ya kumuona ndugu Edward Lowwassa anakuwa Rais wa nchi 2015 kupotea. Uchaguzi wa 2020 pia ulichagizwa na...
  16. J

    PreGE2025 CHADEMA haina Uwezo wa kuweka Mawakala kwenye vituo vyote vya Uchaguzi kwahiyo kilio cha kuibiwa kura hakitaisha hata wasipoibiwa!

    Huo ndio ukweli Chadema haina Uwezo wa kusimamisha Wagombea Ubunge Majimbo yote achilia mbali kuweka Mawakala Fikiria Majimbo kibao Wabunge wa CCM wanapita bila kupingwa maana yake kulikuwa hakuna washindani Nini kifanyike? Chadema ishushe Ruzuku hadi majimboni Ili kuhamasisha Wapiga kura...
  17. Mystery

    PreGE2025 Nape kuendelea kung'ang'ania madarakani na Rais Samia kuzidi kukaa kimya kunazidi kuiangamiza CCM

    Kwa matamshi ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape aliyoyatoa majuzi huko Kagera, kuhusu mbinu anazozijua yeye ya namna ya kupata ushindi Kwenye chaguzi zetu na mbinu hizo hizo, akamfundisha Mbunge Byabato, kuwa kushinda uchaguzi hapa nchini, inategemea ni nani anahesabu...
  18. Bams

    Kauli ya Nape kuhusu ushindi katika uchaguzi ni kauli ya serikali nzima

    Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, na Wateule wote wa Eais, ni wasaidizi wake Rais. Hao wateule wa Rais hawakuchaguliwa na wananchi kwenye hizo nafasi zao bali Rais amewateua ili wamsaidie kutimiza majukumu ya Serikali. Ndiyo maana haiwezi kutokea wateule hao wakafanya yaliyo kinyume...
  19. Nyendo

    PreGE2025 Taarifa za kuwepo kwa uchakachuaji matokeo zinaweza kuwa na lengo la kuwakatisha tamaa waliopanga kupiga kura kwa upinzani

    Kila kitu kichachofanywa na wanasiasa mara nyingi huwa kinakuwa na sababu nyuma yake, tayari kinakuwa kishapigiwa hesabu kuona nini faida yake na hasara yake. Kauli au taarifa za kuwepo kwa uchakachuzi wa matokeo ya uchaguzi, au wizi wa kura huemda ni moja ya mbinu ya kupunguza idadi ya wapiga...
  20. T

    PreGE2025 Wizi wa kura ni mchakato mrefu, wapinzani mmejipangaje?

    Tatizo la wapinzani huwa kama kondoo wenye kujipeleka kwenye kundi la simba kuliwa au mbwa kujipeleka kwenye mdomo wa chatu bila kujitetea. Acheni kulalamika tu mna mbinu gani za kufuatilia na kuzuia msiibiwe kura. Msisubiri hisani ya CCM eti wawape ushindi kwenye sahani. haiwezekani. Wakeup men
Back
Top Bottom