wizi wa kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    PreGE2025 Zitto: Wizi wa kura ni uhuni

    Zitto kabwe kupitia ukurasa wake wa X alipokuwa akimjibu Sativa ameandika kuwa "Kanuni imehalalisha wizi wa kura? Wizi wa kura ni uhuni. Mtu anayefanya uhuni na hatendi kwa mujibu wa sheria hushughuliki naye kinyonge na kwa mujibu wa sheria. Oktoba #LindaKura Tunayo njia. #MuhuniHasusiwi"
  2. Genius Man

    Wasimamizi wa uchaguzi wazalendo wanapaswa pia kupiga picha wizi wa kura kwenye uchaguzi kama njia ya kufichua uovu na kuchochea mabadiliko ya haki

    Nitoe wito kwa Wasimamizi wa uchaguzi wazalendo wanapaswa pia kupiga picha wizi wa kura kwenye uchaguzi kama njia ya kufichua uovu na kuchochea mabadiliko ya haki. Lazima tuwe waasi dhidi ya uovu, wizi na ufisadi ili tusonge mbele msifumbie macho suala hili kwa mchango wenu mnaweza kulisaidia...
  3. S.M.P2503

    Adhabu ya kuiba kura katika uchaguzi Mkuu (Rais na Wabunge)– adhabu iwe kunyongwa hadi kifo kama suluhisho la wizi wa kura Tanzania. Ni pendekezo tu

    Katika mataifa yanayojitambulisha kama ya kidemokrasia, uchaguzi huru na wa haki ni uti wa mgongo wa utawala bora. Lakini pale ambapo kura zinaibiwa — kwa hila, ujanja ujanja au nguvu — si tu kwamba haki ya wananchi inapokonywa, bali msingi mzima wa taifa unatikiswa. Katika muktadha huu, hoja ya...
  4. N

    Wanaoutufundisha kasoro za Tume ya Uchaguzi na Wizi wa Kura wanashindwa tu kusema "no reform no election"

    Nimemsikia Kitima na viongozi wengi wa Dini na hata wanasiasa wengine wa uoinzani na hata WanaCCM wenzangu, wanawafanya watu waone wanatenda dhambi sana kushiriki Uchaguzi ambao straight forward kuna madosari kibao. Kailima anajua fika mikono yake itakuwa na harufu ya damu mwaka huu. So bad...
  5. Dr Adam Francis

    PreGE2025 Wizi wa kura; tathmini yangu ya ibara ya 8 ya katiba yetu

    Kuelekea uchaguzi mkuu 2025, kumekuwa na mijadala mingi, mkubwa katika hiyo ni vuguvugu la "No reform, no election" lililoasisiwa na CHADEMA. Yapo madai mengi yaliyotolewa na CHADEMA katika vuguvugu lao hili, miongoni mwao likiwa ni hili la wizi wa kura. Mjadala wa uwepo au kutokuwepo kwa...
  6. and 998 others

    WHO Afrika hawana wizi wa kura

    Tusiwe na wasiwasi WHO Wana utaratibu mzuri wa upigaji Kura. Hamna wizi au Kura Mchongo. Prof atashindwa kihalali
  7. and 998 others

    Biometric Voter system na wizi wa Kura? Imekaaje?

    Wapo wapinzani Wanadai kuna Kura za Mchongo. Lakini Tume HURU ya Uchaguzi inatumia mfumo Bora wa Biometric Voter System kuandikisha, kuhuisha taarifa za mpiga kura na kuhakiki taarifa hizo siku ya kupiga Kura haya yote yanafanyika ili kuhakikisha Kura zote ni halali. Tunawapongeza Tume Huru kwa...
  8. R

    Ni kipi rahisi, kuombea uchaguzi au kuzuia mifumo ovu ya wizi wa kura?

    Hello! Yaani tunao uzoefu, watu kabisa wanatia kura fake ndani ya masanduku ya kura na wanaonekana wazi wazi, sasa hawa ndio wanaoharibu uchaguzi wa haki. Sasa wanapita wanasiasa wakitwambia tuombee uchaguzi uwe wa amani. Sasa ni amani ipi wanaiongelea? 1. Je ni amani ya kuiba kura bila...
  9. upupu255

    PreGE2025 POTOSHI Kigogo avujisha video ya wizi wa kura ulivyokuwa ukifanyika 2020

    Kigogo anadai video hii inaonesha jinsi afisa wa uchaguzi walivyokuwa wakichagua viongozi katika vituo vya kupigia kura huku ulinzi ukiendelea nje kwa lengo la kuhakikisha hakuna Mwananchi atakayeshuhudia
  10. Mr Why

    Kigogo avujisha video ya wizi wa kura ulivyokuwa ukifanyika 2020

    Kigogo avujisha video ya wizi wa kura ulivyokuwa ukifanyika 2020. Kigogo anadai video hii inaonesha jinsi afisa wa uchaguzi walivyokuwa wakichagua viongozi katika vituo vya kupigia kura huku ulinzi ukiendelea nje kwa lengo la kuhakikisha hakuna Mwananchi atakayeshuhudia ===== JamiiCheck...
  11. T

    PreGE2025 CHADEMA hoja yenu iwe ni kuzuia wizi wa kura na siyo kuzuia uchaguzi

    Kwa jinsi ninavyoiona hoja ya CHADEMA ya no reform no election haija kaa vizuri inalenga kukiua chama moja kwa moja. Hoja ambayo ni practical na ingekuwa na mashiko ni kuelemisha wananchi wazuie wizi wa kura kwa namna yoyote ile. kuzuia uchaguzi ni kujindaganya ni bora CHADEMA washiriki lakini...
  12. K

    Je wizi wa kura na kunyima haki ndiyo utamaduni wetu?

    Wanaosema Tanzania tuna utamaduni wa chaguzi na twende tu hivyo hivyo hata kama tunajua kabisa kura hazijesabiwi kabisa toka 2019. Lissu na team yake wametoa data za kila kitu lakini cha kushangaza unakuta wasomi kabisa wa media wanasema . Lissu Mama anakupenda sijui nini sasa hayo mbona...
  13. U

    PreGE2025 Wizi wa Kura, Uvunjaji katiba, Covid 19, Jeshi na Jeshi la Upendeleo Vyote vinafanywa na CCM

    Ukiangalia kwa undani, CCM na serikali yake kila kitu kinachohusu wananchi wanataka watumie dola na ubabe kifanyike, wananchi wanajua kabisa CCM kupitia serikali wanaiba kura, na kwasababu ccm inalazimisha watumishi wa serikali kuwa wao ni waajiriwa wa CCM hivyo lazma kiwatumikie, Vivyo hivyo...
  14. W

    PreGE2025 Askofu KKKT, Isaac Laizer: Tunatakiwa kuombea roho za wizi wa kura na utekaji nchini

    "Wizi umeota mizizi katika nchi yetu watu wanaiba kila kitu, wanaiba kura. Na ninyi mmeshuhudia juzi tu kwenye mambo haya ya kura kura pamoja na kwamba tumesikia ucaguzi umekuwa huru na wa haki, si kweli. Na wengine kwa ajili ya kutaka kupata nafasi wamewaua wengine, ndugu zangu tunapaswa...
  15. Waufukweni

    PreGE2025 Tundu Lissu: Ili tuweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa Kura!

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu akizungumzia harakati za 'No Reform No Election' amedai kuwa "Ilituweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa kura" "Watu wetu wa leo ni welevu kuliko miaka 10 iliyopita, mwaka...
  16. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge wa Itilima asema alijiunga CCM baada ya Mzee Manyoni kugushi saini yake, CCM wanazidi kuuthibitishia umma huwa wanafanya umafia kwenye uchaguzi

    Mbunge wa Itilima amesesema alijiunga CCM baada ya Mzee Manyoni ambaye kwa sasa ni katibu wilaya ya Itilima kugushi saini yake, CCM wanazidi kuuthibitishia umma huwa wanafanya umafia kwenye uchaguzi hapa wanaonesha kuwa huo ndio utamaduni wao. Hata kura feki ambazo huwa zinakamatwa kipindi cha...
  17. Roving Journalist

    PreGE2025 Special Thread: Matukio ya Rafu za uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, Wakati tunaeleka kwenye Uchaguzi Mkuu ambao tutachagua Madiwani, Wabunge pamoja na Rais mengi hutokea kabla ya kuwapata viongozi hao. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
  18. Waufukweni

    Heche: Mgombea wa Msumbiji alikuja Tanzania kujifunza wizi wa Kura

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche akizungumza kwenye mkutano na wanahabari tarehe 5 Januari, 2024 katika ukumbi wa Nyakahoja uliopo jirani kabisa na ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mwanza, mkoani Mwanza amasema: "Rais wa Msumbiji juzi alikuwa hapa kujifunza kabla ya uchaguzi jinsi ya...
  19. Akilindogosana

    Wapinzani wa nchini Namibia walalamika juu ya wizi wa kura kwenye uchaguzi wa Namibia. Wasema ushindi wa SWAPO ni haramu

    Dkt. Panduleni Itula, mgombea urais wa chama cha Independent Patriots for Change (IPC), ametangaza kuwa chama chake hakitakubali matokeo ya uchaguzi mkuu unaoendelea, akidai kuwa kuna kasoro kubwa katika mchakato huo. Akihutubia mkutano na waandishi wa habari mchana huu, Dkt. Itula alieleza...
  20. Cute Wife

    LGE2024 Kigoma: Polisi kufanya uchunguzi wa tukio la mwenyekiti wa kitongoji cha Muyanga C kukutwa barabarani akiwa hajitambui

    Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma linafanya uchunguzi wa tukio la Onesmo Simon, miaka 40, askari wa Kampuni binafsi ya ulinzi Kiwango Security na Mwenyekiti wa kitongoji cha Muyaga "C", Kata ya Kitahana, Wilaya ya Kibondo kukutwa akiwa hajitambui amelala kando ya barabara...
Back
Top Bottom