Kuna tuhuma kwamba wachezaji wa mpira wa miguu wa Singida Big Stars wamepewa uraia wa Tanzania kukwepa wasilipe vibali vya kufanya kazi Nchini. Naamini hii ni skendo kubwa na Mamlaka ya NIDA au Uhamiaji zinapaswa kujibu la sivyo taarifa hizi zinaleta uchonganishi kwa serikali.
Sheria ya Uraia...
Ni zaidi ya miaka 5 sasa toka Rais JPM alipoagiza Wizara zote za Serikali kuhamia jijini Dodoma yalipo makao makuu ya nchi. Agizo la rais ni sheria, hibyo lilitekelezwa kwa ukamilifu na sasa Wizara karibu zote zimehamia Dodoma ambapo zina majengo katika mji wa serikali Mtumba.
Kwa miaka yote...
Habari wana JF.
Kuna suala linaloendelea juu ya app za kukoposhe ONLINE. Hii mikopo imekaa kiunyonyaji sana.
Mtu anakopa pesa online anapewa lakini mwisho wa siku usumbufu unakuja kwa watu ambao hawahusiki na huo mkopo.
Nimekuwa nikipokea message kutoka kwa hawa jamaa wakidai nimewekwa kama...
Kuna tatizo kubwa kwenye ubora wa elimu yetu, mimi siyo muandishi mzuri ila nimeona mfumo wetu wa elimu unajenga watu kukariri ili ufaulu mtihani na siyo kujifunza au kuelimisha
Hii imepelekea mashule yamejikita kufanya njia yoyote hata ya haramu ili mradi wanafunzi wao wapate ufaulu wa juu na...
Mbona kama utalii unaendana sana na masuala ya utamaduni na sanaa kama vile nguo na vinyago vya wamasai??
Sasa vinyago vya wamasai na habari, wapi na wapi wakuu?? Au sanaa za wamakonde na michezo ya Simba na Yanga ni wapi na wapi??
Hivi hawa wanaopanga hivi vitu ndani ya Wizara huwa wanawazaga...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Balozi Mahamoud Thabit Kombo, tarehe 14 Januari 2025, amepokea kombe la ushindi kutoka kwa timu ya Wizara yake, Nje Sports Club, baada ya timu hiyo kushinda katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2025 yaliyofanyika Mkoa wa Unguja Kusini...
Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imekutana na Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi na kuwasilisha mapendekezo ya maboresho yanayoigusa moja kwa moja Wizara ya Mambo ya Nje na wadau wake katika kikao kazi kilichofanyika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore imeandika maneno makali sani kwa wanachi wao wanapotaka kutembelea Tanzania, Tanzania inayojulikama na wanachi wengi kwamba ni nchi ya amani umoja na upondo ni tofauti ni iliovelezwa na Wizara ya mambo ya nje ya Singapore.
Unaweza kujisomea hapa...
Habari wakuu!
Mwanzoni wa mwezi wa Desemba waziri wa fedha wa Marekani alituma barua bungeni kuarifu ya kuwa wizara yake imedukuliwa yaani (hacked) na mdukuzi anayefadhiliwa na serikali ta China.
Inaripotiwa ya kuwa mdukuzi huyo aliweza kupitia nyaraka ambazo hazikuizinishwa na vituo vya kazi...
Kuna watu hawapendi maneno mengi.
Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo.
Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu.
Akimuondoa mhalifu...
Nimeenda nimerudi, hawa jamaa wapo, hawahamishwi, tofauti na mahakama za kawaida.
Sijui kama Wizara wana utaalamu na mila za kuendesha mahakama kwamba hawa watu wa maamuzi hawatakiwi kuwa miaka 10 au 15 kituo kimoja
Taifa linapoteza nguvu kazi kwa kasi ya mchongoko si kwa mapenzi ya Mungu bali kukosa maarifa. Ni mwendawazimu pekee anaweza kujiaminisha kuwa hizi ajali tunazozishuhudia ni mapenzi ya Mungu.
Nchi serious ninazozijua kuruhusiwa kuingia barabarani na chombo cha moto ni mchakato very strict na...
Waziri Mkuu wa Georgia, Irakli Kobakhidze, atangaza kwamba maafisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani wa nchi hiyo ambao hivi karibuni wamewekewa vikwazo na Marekani na Uingereza, watapewa tuzo ya heshima ijulikanayo kama Order of Honor.
Uamuzi huu, uliohakikishwa wakati wa mkutano wa waandishi wa...
Wakuu,
Tanzania ndio nchi pekee ambayo mtu anapata madaraka kwanza alafu mafunzo yanafuata baadae
===========================================================
Wizara ya Katiba na Sheria imetoa elimu ya utawala bora na masuala ya kisheria kwa viongozi wa serikali za mitaa na kamati za usalama...
Hii imekaaje,CEO Mrwanda aliyeletwa na Simba amekula shavu katika serikali ya Rais Kagame ameteuliwa kuwa katibu waziri wa michezo.
Ikumbukwe hakupata vibali vya kazi tangu Simba imlete,naona serikali hapa iliona mbali.
Habari ndugu zangu, kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina changamoto kubwa sana.
Chuo hakina wakufunzi wakutosha kwaio wanatumia wakufunzi wa part time ila cha ajabu...
Anonymous
Thread
changamoto
chuo
course
diploma
electrical
habari
hapo
kina
kubwa
mechanical
mjini
morogoro
ndugu
ndugu zangu
sana
ujenzi
wizarawizara ya ujenzi
Mh Mchengerwa amekuwa hafanyi vizuri sana kama waziri, ameharibu wizara zote 3 alizohudumu
1. Akiwa wizara ya mali asili na utalii.
Huko alitamba na campaign yake ya kuwapeleka Masai wa Ngorongoro huko Msomela
Masai waliteseka kutoka kwenye eneo la asili japo kampeni ilikuwa ya kuhama Kwa...