wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Idara ya Uhamiaji sasa kuwa Jeshi kamili na litawajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu

    Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu Waziri wa Mambo ya Ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa Idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha...
  2. B

    Wizara ya Katiba na Sheria inasimamia mikataba na majadiliano yote ya kisheria ya Tanzania. Kabudi kashindwa hii kazi akiwa Waziri atawezaje nje?

    Wizara ya Katiba na sheria ni msimamizi wa majadiliano ,mikataba na maduala yote yanayohusu sheria. Kabudi alipokuwa Waziri alikuwa mshauri Mkuu wa mambo haya. Kutumbuliwa kwake means ameshindwa kutekeleza Wajibu wake. Najiuliza, kazi mpya anayoyokwenda kufanya ataifanya bila kuelekezwa au...
  3. Wizara zetu hazieleweki. Ila Elimu, Ardhi na Miundombinu "zitakufa" mapema zaidi

    Hakuna kiongozi wa wizara ya Elimu (hawa wapya) anayefahamu matatizo ya elimu yetu. Elimu yetu inaweza kufa kabisa. Soon, very soon, Presdent Samia atafanya mabadiliko tena. Kule ardhi mama ameshauriwa vibaya. Lukuvi anaweza kutolewa na ardhi isiyumbe. Ila katibu mkuu wake, yule Mary, hakutakiwa...
  4. Waziri Mkenda: Hii sio Wizara ya Elimu tu, bali Elimu Sayansi na Teknolojia kwa mapana yake

    Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amewataka Wafanyakazi wote kufanya kazi kwa ujasiri bila Uoga, Kwa utii Uaminifu na Uadilifu, Wasifanye kazi kwa nidhamu ya Uoga. Ameyasema hayo leo 10 Jan 2022 Jijini dodoma alipofika Ofisini kwake baada ya kuapishwa ma Rais Samia...
  5. Rais Samia kumuacha Dotto Biteko, kumpa Bashe Kilimo na Prof. Mkenda umeonesha ukomavu na uelewa. Mchengerwa naomba urudishe kombe la taifa

    Raisi Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambalo ni lilelile alolirithi kutoka kwa mtangulizi wake hayati Magufuli. Ni mabadiliko ambayo yanaonyesha kwamba anataka watu wataomsikiliza na walo tayari kufuata akitakacho na si kujitia ujuaji. Hivyo raisi kaamua...
  6. B

    Masauni Wizara ya Mambo ya Ndani haiwezi, soon atapambana kuwabadilisha wakuu wa vyombo vya ulinzi waliopo aweke anaoweza kuwadhibiti

    Masauni akiwa Naibu waziri aligombana na karibia viongozi wengi wa vyombo vya ulinzi vilivyopo Wizara ya Mambo ya Ndani. Tulimwona kwenye TV akigombeza askari bila kujali vyeo Wala umri wao. Leo amepewa full minister, hatuwezi kutegemea jipya zaidi ya kwenda kupambana Mhe. RAIS awafute kazi...
  7. M

    TUJADILI: Wizara ya Wanawake, Jinsia na Makundi Maalumu. Makundi Maalumu ni yapi hayo?

    Jamani kuna hii wizara mpya aliyopewa Dorothy Gwajima, inaitwa wizara ya wanawake, jinsia na MAKUNDI MAALU MU. Je, hayo makundi maalumu yanayowekwa pamoja na wanawake na jinsia ni yapi hayo? Isije ikawa ni mashoga na wasagaji na waliobadilisha jinsia! Ni vizuri ikawekwa wazi mapema. Huko...
  8. Wapi mkeka wa Makatibu Wakuu wa Wizara?

    Nimemsikia Katibu Mkuu Kiongozi akisema Rais pia kateua Makatibu Wakuu lakini hadi sasa sijaona Mkeka wa hao . Mwenye nao auweke hapa.
  9. M

    Tamisemi kupewa Bashungwa , hii imekaaje?!

    hii wizara inaitaji MTU mzoefu na mfuatiliaji kwelikweli..kumpa ndugu Bashungwa ni kama kumtega kwa Bomu dizaini ya lile la Hiroshima na Nagasaki... MTU aliyekuwa wizara ya burudani umuweke Tamisemi.. anyway ngoja nijiandae kwenda kuuza supu ya makongoro muda umefika.!
  10. C

    Wizara ya Fedha ifumuliwe upya, ufisadi wake ni msiba mkubwa

    Wakati watanzania wanalia kwa ajili ya tozo na wengine wakizozana kuhusu mikopo, na ugumu wa maisha, Wizara ya fedha inaufisadi wa kutisha. Waziri mkuu alitangazia taifa kugundua wizi wa mabilioni ndani ya miezi 3. Kuanzia March 2021, hadi Mei 2021. Miradi mingi imekwama, na mashirika mengine ya...
  11. B

    Ushauri: Rais utakapobadilisha Mawaziri, badilisha na Makatibu Wakuu wa Wizara husika

    Ni maoni yangu tu, maana hao makatibu wakuu ndio watendaji wakuu wa wizara. Kama waziri hayupo sawa, maana yake hata katibu wa wizara atakuwa hayupo sawa Ni mtazamo wangu tu
  12. Wizara ya Kilimo ndio wizara mbovu kuliko zote awamu hii ya sita, ni bora ifutwe tu!

    Hii wizara ipo Kama haipo. Tunaelekea January Bei ya mbolea nikama tunanunua dhahabu, haijawahi tokea tangia uhuru.naona wanakula kiyoyozi tu hapo wizarani. Nimepita sumbawanga vijijini watu wanauziwa mbolea 150000"watu wameamua kuachana na kilimo Cha mahindi wanalima maharage kwa sababu...
  13. Wizara ya Afya, hii inakuwaje?

    Hello JF... Naomba kuuliza kwa nini wizara ya Afya haiko responsive kukitokea milipuko ya magonjwa??..... Week iliyopita karibu kila mtu Dar es Salaam alikua na mafua, nilitegemea serikali kuja public kama ni kitu serious tujue jinsi ya kujikinga, ama ni kitu tu cha kupita. Sometimes we just...
  14. M

    Taarifa ya Waziri Mkuu na ile ya katibu Wizara ya Afya juu ya uviko zote ni sahihi

    Wizara ya Afya imesema kuwa taarifa ya Waziri Mkuu kwamba hakuna wimbi la 4 la UVIKO19 na ile ya Katibu Wizara ya Afya, kuhusu kuongezeka kwa maambukizi ya UVIKO19, zote ni sahihi. Kwani kuongezeka kwa maambukizi au visa hakumaanishi kuwa tayari ni wimbi jipya la maambukizi. Prof. Makubi...
  15. Tofauti ya wahuni na wazalendo/wanamapinduzi kuongoza wizara

    Utasikia 'rea kuna utapeli mwingi ukome mara moja. Kazi hazikamiliki vifaa vinaibiwa. Kampuni hizo zisipewe tena kazi' 😂😂. Usanii mtupu akisema hivyo ndio imetoka. Wananchi wanahitaji mawaziri wenye uchungu wanachukua hatua. Kwanza kutolea maelezo kinagaubanga mapungufu na hatua za papo kwa...
  16. Wizara ya Elimu iwasaidie wazazi katika hili waache kuibiwa

    Wakuu habari! Tukiwa tunaelekea mwezi Januari ambapo wazazi wengi wenye watoto wanaosoma sekondari watatakiwa kuhakikisha wanawanunulia watoto mahitahi yote muhimu ya shule kabla ya shule kufungua ikiwa ni pamoja na kulipa ada ya masomo. Sasa Kuna mahitaji mengine wanayoagizwa watoto wa...
  17. Wizara ya Afya: Hali iliyopo ni mafua ya kawaida

    Wizara ya Afya imesema watu wengi wamekuwa wakiripoti kuwa na dalili za mafua na homa kwa siku za karibuni Wizara imesema uchunguzi umebaini hayo ni mafua ya kawaida ya kila mwaka yanayosababisha na vipindi vya hali ya hewa Wananchi wameshauriwa kufika vituo vya afya kwa matibabu sahihi, ikiwa...
  18. Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

    Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake? Bonus 🤣🤣
  19. Rais Pongezi kwa kuona umuhimu wa kuwa na wizara mpya. Tunaomba iwe Wizara ya Jinsia na Watoto na sio Wanawake na Watoto

    Sijui kama ni waandishi wetu au ndio mpango ila Maendeleo hayachagui jinsia Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote KAZI IENDELEE
  20. IKULU mkianzisha Wizara ya Gender, basi mpeni Ndalichako, ateuliwe Mtu Mwamba kwenye Elimu.

    Leo Mhe. Rais amesema ana mpango wa kugawa wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ili kuanzisha wizara mahsusi kwa ajili ya mambo ya jinsia(ilikiwepo kabla ya 2015), naamini itakuwa wizara ya Jinsia, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto. Kwanza Hongera kwa kuona ukubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…